rais

  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Vituko AFCON: Timu ya Cameroon yaita vikosi viwili tofauti, kimoja cha kocha aliyetimuliwa, kingine kaita Etoo kama Rais wa Shirikisho

    Afrika kivyetu vyetu. Huko Cameroon kuna vituko vinaendelea kwa timu yao ya taifa. Kocha wa timu hiyo Marc Bris, aliyefukuzwa kazi na Samuel Etoo amegoma kuachia ngazi baada ya kusikika akisema kuwa yeye ameajiriwa na Wizara ya Michezo ya Cameroon na sio Etoo. Akaenda mbali zaidi akatangaza...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jenista Mhagama alikuwa 'Kiraka'

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema aliyekuwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama alikuwa mstari wa mbele kuwatumikia Wananchi, Mwalimu wa uongozi na Mtu mwenye hofu ya Mungu na kwamba yeye alimuita kiraka kwakuwa kila Wizara aliyomuweka aliifanya kazi yake...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video: Mjomba wa Bibi harusi apokea kipigo kizito akidaiwa kumsifia Rais Samia kwenye harusi

    Wakuu Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia Rais Samia kwa kusema "Samia ni rais mzuri"
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwamba tangu tumepata uhuru huyu ndie Rais ambae wananchi wanamchukia na hawamkubali?

    Nimefuatilia mijadala ya watu sehemu mbali mbali na kugundua kuwa huu wa utawala wa Mama watu wanasema hawaukubali. Mbaya zaidi wanasema tangu tumepata uhuru huyu ndie mkuu wa nchi anayechukiwa na raia wake ! What is going on?
  6. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Samia ni Rais pekee Afrika anayeukataa ukoloni mambo Leo (neo-colonialism) waziwazi

    Husika na mada tajwa hapo juu. Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu. ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa. ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa? Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema? Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu? Yuko wapi Samia?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Guinea-Bissau yapitisha katiba inayomzuia Rais wa mpito kugombea uchaguzi

    Utawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau, umepitisha Katiba ya mpito ya miezi 12 ambayo inawazuia Rais wa mpito na Waziri Mkuu kugombea katika uchaguzi ujao, wiki mbili baada ya maafisa wa Jeshi kufanya Mapinduzi ambayo yaliisimamisha Katiba. Kwa mujibu wa Shirika la habari la Reuters, hati hiyo...
  9. Miti7

    JamiiForums Tanzania Marekani waionya ICC juu ya Rais wao Trump

    Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, kuachana na mipango yoyote ya kumchunguza na hata kumshtaki Rais Trump na maafisa wa utawala wake pale watakapomaliza muda wao mwaka 2029. Utawala wa Trump umeitaka mahakama ya ICC kufanya...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 MV Kazi yasitisha kutoa huduma leo Desemba 9

    Kulingana na Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umemem Tanzania TAMESA imetaarifu Umma kuwa Kivuko cha MV Kazi kinachotoa huduma katika eneo la feri kimesimama kutoa huduma zake kuanzia leo December 09 kutokana na Kupata hitilafu kwenye mifumo yake ya Uendeshaji. TAMESA imeshauri watumia wa kivuko...
  11. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunakuomba Rais wetu atupungie hata Mkono siku ya Uhuru leo tusikie hata sauti yako

    Jamani nikiwa kama Mtanzania kada mwaminifu wa CCM naomba Mama angalau atupungie mkono, maana kwa mara ya mwisho tumemuone siku akiongea na wazee wa Daresalamu, tumekumisi
  13. Traxtion

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 List: Rais Samia ni namba 4 kwa watu wenye nguvu zaidi duniani

    Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne. Mnaionaje hii list? Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,036

    Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi watakuwa wanafungiwa ndani kama kuku mpaka Rais Samia na Mstaafu Kikwete wanyooshe mikono juu?

    Kila kona leo isipokuwa vijijini watu wamekaa ndani na hawatoi hata pua nje. Ila Waandamanaji wamesema wataandamana mpaka Rais Samia aachie nchi. Sasa tutaishi maisha haya kila mara wakiitisha maandamanl?
  16. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mo29; Ole wake atakayeandamana. D9; Nimetumwa na Rais niwaombe msiandamane. Kwa kinyonge sana

    Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee. Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa tuambie Bilioni 200 za vijana alizotoa Rais amezikabidhi kwa nani? Tunazipataje? Au mpaka tuvae nguo za kijani?

    Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate? Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae nguoza kijani tuonekane CCM tukakutane na vibaka walioajiliwa Halmashauri wakiongozwa na wakurugenzi...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ujumbe wa Rais Samia kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025

    "Ndugu wananchi Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Desemba, aidha serikali inawashauri wananchi wote ambao tarehe 9 desemba 2025 hawatakuwa na dharura kuitumia...
  19. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Ya Rais Samia Suluhu Haitaki Tarehe 09.12.2025 Watanzania Kusherekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
Back
Top Bottom