rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, angalia viwanda hivi vilivyofungwa hapa Morogoro

    RAIS Samia. Morogoro tunashida hizi; KIWANDA CHA MAZAVA KUFUNGWA Kiwanda hiki kilikuwa kinatengeneza nguo(jezi), kiliajiri zaidi ya watu elfu kumi(10000) Kwa sasa kimefungwa kwa kile kinachoelezwa kuwa kutokuelewana na serikali ya awamu ya tano katika suala la ulipaji kodi. Kimsingi hakuna...
  2. JamiiForums Tanzania Haiti: Rais Jovenel Moise auawa akiwa nyumbani kwake. Mkewe ajeruhiwa

    Rais wa Haiti, Jovenel Moïse ameuawa katika shambulio lililotokea kwenye makazi yake huku ikielezwa Mkewe amejeruhiwa Taarifa za kifo chake zimetolewa na Waziri Mkuu wa Mpito, Claude Joseph ambaye anaongoza Nchi hiyo kwa sasa ======== The president of Haiti, Jovenel Moise, was reportedly...
  3. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Ziara ya Rais Samia Mkoani Morogoro

    Wakuu salaam, Leo Julai, 7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili katika maeneo ya Msamvu manispaa ya Morogoro, Dumila wilayani Kilosa na wilaya ya Gairo. Aidha Mkuu wa mkoa wa Morogoro...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba Katiba hii mbovu inamruhusu Rais kuteua Watu wa familia yake kushika vyeo mbalimbali?

    Kwa katiba tuliyo nayo mhe Samia anaweza kuteua familia yake yote na kuipa vyeo tofauti tofauti. Anaweza kumpa mtu yeyote cheo cha aina yeyote muda wowote. Uwe unataka ama hutaki. Kwa mfano anaweza kuamua kumteua:- - Mumewe kuwa waziri wa fedha. - Mwanawe kuwa mhazini mkuu wa serikali -...
  5. JamiiForums Tanzania Belarus: Mpinzani wa Rais ahukumiwa kifungo cha miaka 14

    Mpinzani wa zamani wa Urais wa Taifa hilo, Viktor Babaryko, amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela baada ya kukutwa na hatia kwenye mashtaka ya kupokea rushwa na utakatishaji fedha. Babaryko ni miongoni wa Wapinzani wakuu wa Rais Alexander Lukashenko ambayo wamefungwa au kulazimika kukimbia Nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Mali matatani akihusishwa na tukio la kutoweka kwa mwandishi 2016

    PICHA: Karim Keita Mtoto wa Rais wa zamani wa Mali Shirika la Interpol limetoa hati ya kimataifa ya kumkamata Karim Keita, mtoto wa rais wa zamani wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita, akihusishwa na tukio la mwaka 2016 la kutoweka kwa mwandishi wa habari za uchunguzi, watu walio katika duru za...
  7. JamiiForums Tanzania Katuni ya Kingo na Tafsiri rahisi ya kivuli kirefu cha madaraka ya Rais

    Hii ndo tafakari niliyoielewa toka kwa bwana Magiri. Je, ni nini unachokiona kutoka kwa mchoro huu wa Bwana Kingo?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar, naomba nikukosoe kwa staha; usingilie Mahakama

    Udhalilishaji na Madawa ya kulevya ni tatizo kubwa katika nchi yetu, sote tunawajibu wa kuwafichua wadhalilishaji. Natoa maagizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini yoyote atakae kamatwa kwa kosa la madawa ya kulevya au udhalilishaji nasisitiza asipewe dhamana. Ziara: Donge Chechewe Huu ni ujumbe...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kwa Hali ilivyo sasa Katiba na Rais wapo vitani

    "Hoja ya katiba mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya ukuu wa katiba na ukuu wa Rais. Kwa hali ilivyo, Rais na katiba wako vitani" Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe.
  10. JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA: Umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30

    Habari Tanzania! Kwakuwa taifa tunakwenda kutengeneza mifumo mizuri na sio watu au chama imara katika nchi. Nashawishika kwa kutoa wazo la umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30 na kuendelea kwasababu zifuatazo; 1. Vijana ni wengi sana kuliko idadi kundi rika lolote Tanzania kwa umri tajwa. 2...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM kwa busara, sikiliza na ikiwapendeza mfuate ushauri huu juu ya katiba mpya

    Mhe, Rais, Mhe. Palagamamba M.A. Kabudi waziri mwandamizi katika serikali yako mwaka 2012/13 katika viunga vya Nkurumah Hall chuo kikuu cha Dar Es Salaam, alitoa ushauri huu juu ya katiba Mpya, Mhe. Rais, Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, na kiongozi mwandamizi katika serikali yako na sasa ni...
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ukuu wa Katiba VS Ukuu wa Rais

    TULIENI MIOYONI: Ukuu wa Katiba Vs Ukuu wa Rais. Hoja ya Katiba Mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya Ukuu wa Katiba na Ukuu wa Rais. Kwa hali ilivyo, Rais na Katiba wako vitani. Nawasihi wanaojadili, watulize mioyo yao. Wasikilize...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia Suluhu ndo Deng Xiaoping wa Tanzania?

    Amani iwe nanyi wadau Leo ninakuja na Swali hili, Je, Rais Samia Suluhu Hassan ndo Deng Xiaoping wa Tanzania? Kwa wale msiojua Deng Xiaoping ni Rais wa China aliyechukua usukani wa Uongozi wa China baada ya kifo cha Rais wa Kwanza wa China Mao Zedong. Mao Zedong alijulikana kwa wachina kama...
  14. JamiiForums Tanzania Shaka amvaa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar; "Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya Serikali unahudumiwa kwa kila kitu''

    "Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo" "Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Wasaidizi wake wapunguze pressure; support aliyonayo ni kubwa sana

    Tukio la juzi la police kuvamia wa mama wa chadema ilikuwa ni aibu sana, yaani wame react baada ya Mbowe kusema atapeleka watu barabarani? Trust me hata leo Chadema wakisema wanaingia barabarani hawatapata sapoti ambayo polisi wanadhani itakuwepo, punguzeni mihemko ya kitoto. Tena kama...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe hajaweka bayana hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya

    Freema Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Mbowe hajabainisha hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya Kazi mojawapo ya Kurasa za Mama Amon ni kutathmini siasa za kitaifa kwa kukusanya ushahidi kutoka vyanzo vya kuaminika, kuhakiki hoja za mfumo tawala na hoja za mfumo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Masahihisho kwa Wapotoshaji: Mdude Nyagali aliishinda Serikali Mahakamani, hakutolewa jela kwa Msamaha wa Rais

    Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani. Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya...
  18. JamiiForums Tanzania USHAURI CHADEMA: Mdude Nyagali amemkosea adabu Rais Samia, mtakeni amwombe radhi

    Clip hii inayomuoneesha Mdude Nyagali akiapa kutumia wembe kumnyoa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (sijui ni kwa namna gani) inaonesha kiwango cha juu cha ukosefu wa adabu wa mhusika kwa mamlaka za nchi na watu waliomzidi umri. Kauli ya Mdude kwa Rais si tu ni ya kishenzi isiyopaswa kuvumiliwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nini kinachotuongoza? Sheria na Katiba au hila na fadhila za Rais?

    Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani. Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa? Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili ukiichambua kwa undani utabaini haina mantiki kabisa. Ah! Hayo ya misemo ya Kiswahili tuyaache kwa leo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Maagizo mawili ya Rais Samia yamepuuzwa na wahusika

    Rais kwa nyakati alitoa Maagizo mawili kwanza ni kuhusu bei za vifurushi zipunguzwe lakini wahusika hawajalifanyia kazi kwa mfano ukiangalia vodacom bado gharama zipo juu sana Pili alilitoa juzi kati akiwa Mwanza alipokuwa anafungua Tawi la Benk Kuu alisema benk zipunguze riba ya Mikopo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…