rais

  1. JamiiForums Tanzania Huwenda hizi ndizo zama za mwisho kwa CCM kuiongoza Tanzania, nikitafakari kifo cha Rais John Magufuli na hili la Machinga nafsi yangu inaniambia kitu

    Kwa mambo hayo mawili naiona Tanzania mpya ikija kwa kasi ya ajabu, na tuelewe ya kwamba watu wa chini kama hawa machinga ndio wamekuwa chachu ya kuleta mabadiliko katika nchi za wengine. Tujaribu kukumbuka kilichotokea tunisia december 17/12/2020 baada ya machinga anayeitwa “Mohamed Bouazizi”...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia atangazie upya suala la Kikokotoo cha Mafao

    Wakuu: ✓Ifike mahali tukubaliane kuwa hakuna anayeijua kesho yake. ✓Ifike mahali tukubaliane kuwa kila mtu anazalisha ili ajikwamue kimaisha akiwa bado hai! ✓Ifike mahali tukubaliane vile vile kuwa kuna haja ya kupitia upya suala zima la matumizi ya Kikokotoo kwenye mafao ya wafanyakazi wa nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Ndege kwa matumizi ya Rais wetu

    Mwaka 2004, kulizuka mjadala mkubwa sana miongoni mwa wananchi, baada ya Serikali ya awamu ya tatu, chini ya hayati Rais Benjamin William Mkapa, kufanya maamuzi ya kununua ndege maalumu kwa ajili ya matumizi ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, kwa safari za ndani na nje ya nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu mlinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan ananivutia sana

    Kama kichwa cha habari kinavyodai, kwa yeyote ambaye anaweza niunganisha na huyu mwanamama anayemlinda Mh. Rais naomba aweze kunipa connection ni wapi nitampata amekuwa akinivutia sana jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kiusalama kwa Mama yetu. Nipo tayari kumpa shamba langu la urithi la...
  5. JamiiForums Tanzania Usalama wa Rais ni muhimu kuliko usalama wowote ule katika Nchi

    Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais. Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi. Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi. Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Usiseme 'umejenga' sema Serikali imejenga, tumpunguzie majukumu Rais

    Siasa ni mchezo mbaya umejaa unafiki wa kila aina. Ninawasikiliza wanasiasa wanavyosema Mama umejenga, Mama umetenga, Mama unakusudi jema sana. Yote hayo ni maneno mabaya kwa maana ya kumtwisha mzigo mzito rais na kama akikosa hekima basi anaenda kuvimba kichwa na kupoteza mwelekeo. Nawashauri...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia akimsifia Waziri wa Maji, huku mtaani hatuna maji siku ya 3 leo

    Raia Samia huenda ni kweli Waziri wa Maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza. Lakini bado wananchi tunapata kero za maji za mara kwa mara. Kwa wiki mbili zilizopita huku mtaani ninapoishi maji yalikuwa yanatoka kwa presha kama ya mkojo, huwezi hata kupandisha...
  8. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia atoa TZS 520BL sawa na 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka

    Hakika mahaba ya Rais Samia kwa watu wa Kaskazini usipime, ametoa TZS 520BL za maji Arusha ikiwa ni zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka. " Hakuna kama Samia " Hakika kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan haikamatiki,Rais ametoa Jumla ya Tshs 520BL zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia wape meno TFS, anzisha kampeni ya upandaji na utunzaji Miti Tanzania nzima. Iongozwe na vijana wa kujitolea JKT

    Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama! Kwanza nikupongeze kwa Mafanikio makubwa yanayoonekana kwenye suala la kuwahamisha Machinga na kuwapeleka maeneo rasmi. Na furaha nchi sasa imeanza kupendeza hasa majiji yetu! Nimepita Posta mpya leo na Kweli nimeiona Posta niliyoijua...
  10. JamiiForums Tanzania Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

    Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi. Pia msafara wake una magari zaidi ya 70...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA kujadili ulinzi wa Rais ni upuuzi na kukosa kazi za kufanya

    Vijana wa CDNM huko twitani wamerukwa na wazimu, mmekosa ajenda mnaanza kujadili kuhusu ulinzi wa Rais, mlitaka Rais alindwe na nani tutaacha lini ujinga wa kupinga kila kitu, wapumbavu wameanza kutaka Mama samia afanye kila anachofanya Rais wa zambia Chilema, yani Chilema msafara wake...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ukibahatika kuwa Rais wa Tanzania unatakiwa Uwaongoze Watanzania katika Mfumo gani Bora kati ya hii ifuatayo?

    1. Kwa Kufuata Katiba? 2. Kwa Nidhamu na Utu? 3. Kwa Kuwazidishia Madeni IMF na WB? 4. Kwa Kuwadanganya kama Watoto? 5. Kiupole ila Moyoni ukiwa Mnafiki? 6. Kwa Kubambikia Wapinzani Kesi? 7. Kwa Jicho la Huruma la Wine? Nasubiri majibu nikijiandaa kuwa Rais.
  13. JamiiForums Tanzania Je, uwezekano wa kukutana na bodyguard wa Rais Samia mtu apige naye story tu za kawaida au utaratibu ukoje

    Huyu mdada ambaye ni bodyguard wa Rais Samia ni mlimbwende yuko vizuri kabisa ila nauliza kama kuna uwezekano wa kukutana naye mtu apige naye story tu za kawaida walau tu kwa dka 20 ili mtu afaidi aone anavyo cheka tabasamu na kufurahia tu story za hapa na pale kuhusu mambo ya kawaida sana...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia kama Rais wa Watu, Sisi Tunakwama Wapi?

    Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha: Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini 😁😁. Si mnakubalika? Si...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kufungua kesi dhidi ya mhe. Samia (alitenda kosa kabla hajawa rais)

    Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali". Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia mtu mkweli asiyeyumbishwa

    Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa. Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

    Kwamsiofahamu, Rais wetu katika kuitegemeza bajeti ya Serikali tayari taratibu ameanza kupunguza misaada na mikopo ya wahisani mfano kwenye bajeti yake ya 2021|22 amepunguza kidogo kutoka 8.2% hadi 8.1% || Nikweli Tanzania tunapokea misaada ila hatuitegemei. " Hakuna kama Samia " Sisi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ataleta siasa muafaka.Ni mtaalamu wa siasa ila wengi hawajui

    Nimefuatilia Sana nyendo za Rais Samia Suluhu Hasan,anajua siasa Sana Ila anajua namna ya kuwa mtulivu na anajua kuwasoma wapinzani ndani na nje ya chama chake,subirini muone
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuchanja kunatupunguzia gharama kubwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuchanja kunaipunguzia Serikali gharama za matibabu na za kupoteza nguvu kazi ndani ya Nchi. Amesema, "Tukikaa bila kuchanja maradhi yale yakiingia, yanaingia kwa kasi" Amesema, "Nimeingia Kilimanjaro nikawa nawaambia wenzangu mbona huku watu hawana habari...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hii ahadi ya Rais Samia kujenga msikiti Chato imekaaje?

    Nimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti. Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!? Na kama ni utekelezaji wa ilani ya chama inamaana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…