Obama amtania Biden ni Vice President, Biden ashangazwa kuona watu wakijazana kwa Obama huku akibaki pekeyake

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,026
Yani kilichotokea hapa ni kama vile ex wa mke wako anakuja nyumbani, anapewa attention kubwa kuzidi wewe, atachinjiwa kuku, watoto wanamwita baba, duuhh!!

Dah hadi huruma, hapa Biden amekosa wa kuongea nae alafu anageuka anamcheki Obama ana kundi la watu wamejazana kwake...Biden anamcheki Obama huku amejawa hasira na wivu halafu wanapiga mziki wa huzuni Kwa nyuma

Biden anaamua kumfata nyuma Obama na kumshika bega lakini Obama hata hageuki kumsikiliza Biden ambae ni raisi, Hapa Obama kafanya maksudi kabisa kutoa ujumbe kwa Biden kwamba yeye ndie yupo in charge.

Hapa kamtania Biden ni Vice President ila ni kijembe kabisa hiki ukitazama Biden alivyohaha katika hii hafla.

Biden kapigwa kanzu hapa, aibu sana kwa biden hii. Obama kam over-shadow Biden
Ni personality issue!.
Obama anasifa ya ushawishi na kuvutia haswa tukiangalia kisaikolojia kuanzia voice tone the way he sounds.. kwenye issue za mvuto hichi pia wengi huwa wanakisahau pia body language yake akiwa mbele za watu he seems to be confident simama yake,kifua mbele na pia anapoongea huhusisha na ishara panapotakiwa.. na huongea kinachotakiwa kwa wakati sahihi Biden hawezi mfikia huyu jamaa kwenye hivyo vitu.

Obama anafaa katika nafasi za ushawishi.
 
Kitu alichofanya Obama jana ni maksudi kabisa.....

alikuwa anaweka wazi kwamba yeye ndie yupo in charge, Biden ni kama puppet tu,

Biden is ignored because everyone knows he's not the one running the show.
 
Haha! Wrong mkuu!.. U.S.A sio Africa kwamba akiondoka mtu basi anaongoza bado ipo system kweye ile nchi ndio inafanya maamuzi makubwa hayo madogo madogo ndo wanaachiwa wengine!.

Mkuu issue ya body language huwezi nielewa ila tambua hii ni sayansi nyengine ya kitabia.. hizi ni gift ambazo mtu anazaliwa nazo ni kama kipaji. Kama unapenda saikolojia uje uifatilie kidogo utaelewa.
 
Nadhani huzijui siasa za marekani wewe, huyu Biden yupo hapo akiwa dhaifu mno kuliko raisi yoyte wa marekani kwenye 21st century hii.

Yeye kama Raisi ana ugonjwa wa Dimentia wa kusahau sana, hivyo hapa ndipo Obama kawa raisi kivuli.

Media zinamlinda sana kwa kumsafisha ila bado anabugi mno,

Dah Kuna Ile Biden amekosa wa kuongea nae alafu anageuka anamcheki Obama Na kundi la watu Dah...anakaa kama dakk 2 ivi anaangalia uku anajawa Na hasira Na wivu halafu wanapiga mziki wa huzuni Kwa nyuma

It's sad and funny at the same time
 
watu wapo bize kwamba obama ni charisma, dadeki, obama anafanya maksudi kabisa hapo.

kuna sehemu Biden anamshika Obama bega ila Obama hageuki, ndio nini sasa hii kwa president wa Marekani
 
Haha! Wrong mkuu!.. U.S.A sio Africa kwamba akiondoka mtu basi anaongoza bado ipo system kweye ile nchi ndio inafanya maamuzi makubwa hayo madogo madogo ndo wanaachiwa wengine!.

Mkuu issue ya body language huwezi nielewa ila tambua hii ni sayansi nyengine ya kitabia.. hizi ni gift ambazo mtu anazaliwa nazo ni kama kipaji. Kama unapenda saikolojia uje uifatilie kidogo utaelewa.
Mkuu uko sahihi hii kitu nilikuwa najiuliza sana.

Na hata mimi napenda sana kumsikiliza obama japokuwa kwenye maneno 100 huwa namuelewa 10 tu kwa namna anavyoongea kama ana maji mdomoni.

Ila navutiwa sana na uongeaji wake Sojui why.

Mimi napenda sana kujifunza kuhusu mambo ya saikolojia mkuu sijui unanidirect wapi sehemu sahihi ya kujifunza haya mambo
 
Back
Top Bottom