rais

  1. JamiiForums Tanzania Nilimnyima siti mtoto wa Rais Rutto( Charlene)

    Week hii miongoni mwa story kubwa mitandaoni ni kuchumbiwa kwa mtoto wa Rais Samuel Ruto na ndugu yetu wa kitanzania Isaya Yunge. Kupitia story hiyo nikakumbuka kisa changu cha sekunde kadhaa na binti huyo. Mwaka 2023 October nilikwenda Mombasa kushiriki mkutano mkubwa wa program ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa TEC na Rais Samia Ikulu Chamwino: Je, ni Toba ya Kweli na Kukiri Makosa ya Serikali, au ni 'Geresha' la Kisiasa Kupoza Nyoyo?

    Wakuu wa jukwaa hili, Mkutano wa tarehe 10 Agosti 2026 kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) huko Dodoma haupaswi kuchukuliwa kama kikao cha kawaida cha kunywa chai na kupiga picha za tabasamu za Ikulu. Huu ni mkutano uliogusa donda ndugu la taifa letu...
  3. JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo kwa Rais wa Syria inatuma ujumbe gani kwa wahusika wa October 29?

    #HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad. Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo kwa kutokuwepo rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa makosa yanayohusiana na uhalifu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hawa mashabiki wa Simba wanaosema wakawashitaki viongozi wao kwa Rais Samia wana akili kweli?

    Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu. Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu? Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu kwao bhana! Tabasamu la Rais Samia akiwa zenji, hajawai lionesha akiwa bara tangu alipoapa kuwa Rais, nais lipo jambo.

    Mwenyezi Mungu Baba alituumba kwa mfano wake yeye mwenyewe, hii sio KAULI yangu ni ya Mungu mwenyewe, nenda kasome maandiko matakatifu. Sambamba na kufanana nae, pia alimpa mwanadamu akili za kutawala viumbe vyote ILA hapo si kwamba ukiwa Rais UNAKUWA na akili kuliko mpaka viumbe wenzako yaani...
  6. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Kuna Rais atajiudhuru Urais hapa Afrika Mashariki.

    Si maneno yangu Bali ni Civilian-Coin Nalimi Kisandu (CIVILIAN-COIN). NANI KUJIUDHURU Urais? Kuna nchi Fulani Afrika Mashariki, Rais atajiudhuru kwa ujinga wake wa kumuona Civilian-Coin hafai Kila eneo. Tega sikio na macho.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo: Hakuna uhaini wa mtu mmoja, labda kama ulimlenga risasi rais

    Tafakari kesi ya Lisu inavyoendelea......................................... Anyway kesi ikiwa mahakamani wanasema tusiijadili....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Uchaguzi mwa Mwaka huu Wazanzibar wote tulishakana, ndio maana ikapandisha asilimia hadi 97

  9. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu

    Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuimarisha nafasi ya Tanzania katika kuchochea mageuzi ya kiuchumi barani Afrika baada ya nchi kuwa...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kalonzo: Xi Jinping aliniambia atatembelea Kenya nikichaguliwa Rais

    Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, amesema Rais wa China, Xi Jinping, alimweleza kuwa angeitembelea Kenya iwapo Kalonzo angechaguliwa kuwa Rais wa Kenya. Kalonzo alitoa kauli hiyo Jumatatu, Agosti 10, 2026, wakati wa mahojiano ya runinga ambapo alikuwa akieleza mikakati yake ya kukabiliana na...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Rais samia na serikali yake wamekaidi maelekezo ya Jumuia ya madola kumuachia Tundu Lissu?

    Lissu bado anazidi kushikiliwa na kuburutwa mahakamani bila kosa ambalo litaweza kuthibitika.Siku thelathini walizotoa jumuia ya madola zinaisha leo.👇
  12. L

    JamiiForums Tanzania Itatuchukua Miaka Mingi saana Kumpata Rais Mchapakazi Aina ya Samia Anayeshinda na Kukesha Akifanya Kazi. Maisha Yake Ni Sadaka Kwa Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Anachofanya na kukifanya Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa Sasa ni Zaidi ya Uwajibikaji ,Ni Zaidi ya Kujitolea, ni zaidi ya kutimiza Majukumu yake ,ni zaidi ya kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba ,ni zaidi ya kutumikia nafasi ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Isaya Yunge, Kijana kutoka Mwanza, anamuoa binti wa Rais wa Kenya, Charlene Ruto, Hii hapa Cv Yake

    Leo Agosti 8, nchini Kenya tukio kubwa ni engagement ya Charlene Ruto ambaye ni binti wa Rais Ruto. Katika tukio hilo, ametambulisha mumewe mtarajiwa ambaye ni Mtanzania Isaya Yunge. Historia yake si kubwa sana mtandaoni ila nimepata hints hizi. Kwanza jamaa kasoma IFM Bachelor of Science Degree...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia aielekeza TAMISEMI kusimamia huduma za Ugani kwa tija na ufanisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo pamoja na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kuhakikisha Wakala wa Huduma za Ugani (NAESA) unatekeleza majukumu...
  15. JamiiForums Tanzania Rais, kwa Nini unatufumba WATANZANIA? nani anataka kutugawa sisi? tusitafte mchawi ukweli upo wazi

    Adui mkubwa wa nchi yetu so mwingine ni Hawa; 1. Ukosefu WA ajira kwa vijana wetu. 2 UTAWALA usiofata Sheria za nchi hata kama katiba yetu ni mbovu lakini haifatwi( mfano kijana wa CCM kukemea maccm wenzake anakamatwa wanapiga mijeredi), NATAMBUA mh raia una MKONO mrefu utakuwa umeona clip ya...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 UVCCM: BAVICHA wanamvunja moyo Rais Samia, wanapotosha kuhusu Tume

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amewakosoa vikali baadhi ya vijana hasa wale wa CHADEMA kwa kile alichokiita kejeli na kubeza hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Ghasia na Ukiukaji wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kijana Kitanzania kumvisha pete Mtoto wa Rais wa Kenya,Charlene Ruto

    Kijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application ya SomaApp aitwaye Isaiah Yunk(g)e anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila( Koito ak chaik) itakayofanyika leo Jumamosi huko Narok, Kenya. Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaweza Kuongoza Taifa Kwa Mafanikio Makubwa Hata Bila Katiba

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile . Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi...
  19. JamiiForums Tanzania Nukuu za Rais Samia akifungua mradi wa mabasi yaendayo haraka, awamu ya pili BRT

    NNUKUU ZA MHE RAIS AKIFUNGUA MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA, AWAMU YA PILI BRT II
  20. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutupia picha mbalimbali na video za Rais wa Tanzania ajaye, Tundu Antipas Lissu ili kumtia moyo kwenye kupambania katiba, utu na haki

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…