rais

  1. JamiiForums Tanzania Mtoto aliyesaidiwa na Rais Samia aanza matibabu ya Kibingwa MOI

    Mtoto Nicholaus Nkinga (9) ambaye changamoto yake ya matibabu ya mguu iliyomgusa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameanza rasmi kupata matibabu ya kibingwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Jijini Dar es Salaam. Mtoto huyo mwenye...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia, hawa wanakuharibia pakubwa wanaoigiza ukatoliki kukugombanisha na Wakatoliki/TEC. USIRUHUSU UPUUZI KAMA HUU

    Repercussions zote na after effects zinarudi kwako. Kataa upuuzi kama huo! Inajulikana worldwide kuwa Wakatoliki halisi hawawezi kufanya ushetani kama huo! Kuwa macho na walioandaa ujinga huo. Wanakuharibia!
  3. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Mambo 10 ya kujifunza baada ya USA kumnyakua rais Maduro wa Venezuela

    VIDEO: Wananchi wa Venezuela wakishangilia anguko la Maduro na genge lake madarakani Great Thinkers, nawakaribisha tuchambue tukio la kukamatwa rais Nicholaus Mafuro wa Venezuela Marekani akikutaka atakunyakua tu hata kama Uwe na Ulinzi mkali kiasi gani, yeye atakutwaa tu akikutaka. Ushirika...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria

    Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria. Watu wajinga na wapumbavu huwa ni dhaifu sana kuliko mnavyofikilia niliwahi kusema haya huko mda wote kwa sasa hawana amani wapo vitumo joto vitumbo joto...
  5. JamiiForums Tanzania Kilichotokea Venezuela ni Rais kutoswa na Jeshi na Vyombo vya Usalama; hii ni wake-up call kwa Colombia!

    Kilichowatokea Venezuela masaa machache yaliyopita, kinathibitisha ukweli wa ile narrative isemayo: ukitaka kuiponya nchi yako na uvamizi wowote kutoka nchi za nje, basi hakikisha una uungwaji mkono wa kutosha ndani ya nyumba yako -- wananchi, jeshi, na vyombo vingine vya usalama. Huo utatu wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania The law is not neutral. Rais wa dola huru anakamatwa kama kuku mataifa mengine yapo kimya.Usa who are you?

    Marekani imekiuaka sheria za kimataifa. Mkataba wa Montevideo juu ya uhalali wa dola huru kutoingiliwa umekiukwa. Hakuna aliyepinga kwa kukemea chochote.
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Venezuela na Mke wake wakamatwa na Jeshi la Marekani

    Rais Maduro adakwa US President Donald Trump says the US has carried out "large scale strike against Venezuela" and "captured its leader, President Nicolas Maduro" and his wife. Here's the statement from Truth Social in full: "The United States of America has successfully carried out a...
  8. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia kuuaga mwaka 2025 yazua mjadala. Aendelea kukebehi maelfu ya waliouawa. Yadaiwa si halisi, imetengenezwa kwa Akili Mnemba (AI)

    https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9 Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe 31/12/2025 masaa machache kabla ya kuingia mwaka mpya 2026 imezua balaa na mjadala makubwa kuhusu uhalisia...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unaitisha maridhiano wakati huo huo unambambikia kada wako mtiifu Godfrey Malisa kesi ya kubumba ya uhaini! Are you serious na maridhiano?

    Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau! Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika! Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Rais achaguliwe kwa 'merits' zake sio kwa upande anaotoka, wala dini yake au jinsia yake

    Katiba inasema Rais akitoka bara basi makamu wake lazima atoke visiwani hata kama upande huo hatuoni mtu mwenye sifa. Hii sio sahihi. Kuna tendency au tabia ambayo haijandikwa popote kuwa kama Rais anayemaliza muda wake ni mkristo basi atakayefuata lazima awe mwislamu lengo kubalance dini hata...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kuna kesho, tenda haki itakulinda wewe na uzao wako

    Kwa kifupi nafasi yako kwa siasa zetu ni Nyeti. Itumie kuleta HAKI. Watetee wahanga wa D29, wape faraja Jitenge na adhabu ya Munhu wako! Mauaji haya yalikuwa.makubwa! ITUMIE KUITETEA TANGANYIKA ( ingawa kipengele hiki ni kigumu) Jiepushe na upofu wa kutoona kuwa hapa HAKI inavunjwa...
  12. JamiiForums Tanzania Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
  13. JamiiForums Tanzania Maridhiano ya kweli yatapatikana Tundu Lissu akiaachiwa na Rais Samia akikiri watu waliuliwa ili kulinda maslahi ya wanaCCM

    Ukweli upo wazi kuwa watu waliuwawa ili wanaCCM wanamtandao waendelee kuiba rasimali za nchi. Kiongozi mkuu wa CCM akiri wazi kuwa hatukupoteza ndugu zetu kwa kufariki by natural death ila kwa sababu watu walishaukataa utawala wa CCM. Tundu Lissu aachiwe sababu hakuna kesi. Mahakama iishasema...
  14. JamiiForums Tanzania Rais ni mwanasiasa sio Mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya Rais ni kichocheo cha matatizo

    Rais ni mwanasiasa sio mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya rais ni kichocheo cha matatizo. Rais ni mwanasiasa yule ni sawa na mbunge tuwekeni mizania sawa ili kuwepo na uwajibikaji rais atumike na sio atumikiwe. Mfano uchaguzi wa oct 29 kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia, you're still lost in your own denial mode. Taifa linahitaji TRUTH & RECONCILIATION COMMISSION na sio TUME YA MARIDHIANO TU!

    Rais Samia Suluhu Hassan bado yumo katikati ya tatizo kubwa na tishio la maisha yake mwenyewe... Rais Samia Suluhu Hassan bado anatafunwa na kufunikwa na KIBURI na JEURI kwa sababu ya madaraka, fedha za wizi na ufisadi, bunduki za Polisi na majeshi yake ya siri akidhani zitaepusha anguko la...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  17. JamiiForums Tanzania Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya

    Wanabodi Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan, yuko hewani live mubashara, kuhutubia taifa kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026 https://www.youtube.com/live/nNvsNM8Esw8?si=PVpOlaVydbZ45elx Karibuni Na sababu leo ndio mwisho wa mwaka, hakuna ubaya na mimi nikiweka salaam zangu za...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2026

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2026 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo: Hamjambo! Wakati wa zamani umepita huku maisha yakifungua ukurasa mpya. Wakati mwaka mpya...
  19. JamiiForums Tanzania Swali kwa Rais Samia: Matamko Gani ya TEC yalivuka ukuta wa kikatiba unaopaswa kutenganisha mambo ya kidini na mambo ya kisiasa?

    Ludovick Joseph Lwezaura akitetea (1) kauli za Rais Samia dhidi ya matamko ya TEC, (2) barua ya mshtaka hewa dhidi ya Padre Kitima na (3) barua ya uzushi dhidi ya Askofu Riwaichi. Lwezaura amejitambulisha kwa waandishi wa habari kuwa ni mseminari aliyefika seminari kuu lakini akaukosa upadre...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aipongeza Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza

    Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu. Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…