rais

  1. veyra

    GE2025 Samia aahidi kununua matrekta milioni 10 akiingia madarakani kwa awamu ya pili

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo. Akizungumza leo, Agosti...
  2. Nyani Ngabu

    Hivi ndivyo Rais Samia anavyoonekana kimataifa!

    https://youtu.be/hSOcdGnoGbA?si=xmD1lymIVF7bNlFU “The first ever president to elect herself” Sasa hivi sisi wala siyo banana republic tena! Banana republics huwa walau zina matumaini flani flani endapo elements flani flani zitaondolewa. Sisi tupo tupo tu. Si nchi wala taifa.
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Kijana wa Kiislamu Amlipua Rais Samia na Mashehe Ubwaba

    Sikiliza mazungumzo ya dakika 18 makini za Muislamu wakweli https://youtu.be/-lGWIQBFbc0?si=L0igqkSoczC5wpR2
  4. DuaZaMama

    GE2025 Samia: Jimbo la Rais halitakiwi kuwa na shida yeyote ile

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuimarisha zaidi huduma za kijamii katika Jimbo la Chamwino ikiwa ni pamoja na afya, maji na barabara. Akizungumza Agosti 31, 2025, katika mkutano wa kampeni...
  5. I

    rais mstaafu hajui biashara?Analazimisha?

    Ni kama analazimisha tu. Hana hicho kipaji.
  6. H

    Uongozi wa rais na wabunge usiwe na muda maalumu akifanya vibaya apigwe chini hata ndani ya mwaka mmoja akifanya vizuri aendelee hata miaka mia

    Huu ujinga wa kumuhakikishia rais au mbunge kuwa atakaa madarakani kwa miaka mitano au kumi inawajengea kujiamini na kupiga hesabu za wizi kabisa wakijua wamefika. Ni bora katiba iseme rais na mbunge atadumu au atawajibishwa kulingangana na utendaji kazi wake iwapo anakubalika basi hata...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Rais Samia apiga selfi na wananchi wa Kibaingwa

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya 'Selfie' na Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Agosti 30, 2025.
  8. funaku

    Mwaka 2020 Rais Samia alifanya mikutano mingi kuliko Magufuli

    Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka.
  9. ndege JOHN

    Ila tusemeni Tu ukweli bila wivu mtu akisoma masomo ya sayansi halafu akawa Rais lazima TAIFA lipige hatua kimaendeleo

    Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo ya diplomasia. Mifano ipo na tumeshuhudia baada ya hapo naombeni mnitajie viongozi wa sasa hasa wa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Polepole: Membe alihusika kusuka mipango ya Rais [Magufuli] kuuawa

    Humphrey Polepole amesema, "Kamati Kuu moja imekaa Lumumba imejadili Membe alihusika kusika mipango ya Rais kuuawa na ndiyo ulikuwa msingi wa kumchulia hatua Membe.."
  11. Chachu Ombara

    Polepole: Angela Kizigha alituhumiwa kwa ufisadi sare za Polisi, sasa hivi yupo ofisi binafsi ya Rais

  12. Street brain

    Utabiri: Miaka mitano ya rais Samia: Usipojipanga saaa, sahau kabisa kufanikiwa baadaye

    Mambo vipi wanajf jobless nakuja tena kutabiri,,,ukiangalia mwelekeo wa maendeleo ya taifa chini ya uongozi wa Rais Samia katika miaka mitano ijayo, ebu ngoja nigusie vitu vifuatavyo watu au wenye mfumo wanaenda kutengeneza vitu vifuatavyo kwenye mfumo wao👇👇👇 Watu watatengeneza mifumo yao...
  13. Getrude Mollel

    GE2025 Hizi ndio sababu kwanini watu wa Morogoro haina sababu za kumnyima kura Samia Suluhu

    Muda mfupi baada ya Rais Samia Suluhu kuingia madarakani 2021, alifanya ziara ndogo mkoani Morogoro, na akaongea na watu pale Msamvu tarehe 7-04-2021. Pale Rais Samia Suluhu aliwatoa watu wa Morogoro hofu na kuwaambia ya kwamba, mambo mengi mazuri yanakuja kwenye mkoa huo, ajira, mikopo...
  14. Jesusie

    Rais Samia: Wanufaika wa TASAF wamefikia 6,983,665

    Akiongea kwenye mkutano wa kampeni wa Tanganyika Packers, Rais Samia Suluhu Hassan alisema: Umasikini haujaisha, Tanzania yetu inapaswa kuwa na familia zenye furaha na usalama wa kifedha. Hivyo nashukuru Mpango wa TASAF, ambao umeongeza idadi ya kaya walengwa kutoka 876,440 mwaka 2021 hadi...
  15. Jesusie

    Rais Samia: Tumetoa Sh. bilioni 700 kwaajiili ya ruzuku ya mbolea | Uzalishaji wa mazao ya chakula umefikia Tan 22.8.

    Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za Serikali na wakulima kuongeza tija na kuhakikisha usalama wa chakula nchini. Aidha, Serikali inaendelea...
  16. Jesusie

    Rais Samia: Tumeongeza bajeti ya Kilimo kwa 322%

    Dar es Salaam, Tanzania – Bajeti ya Wizara ya Kilimo imeongezeka kutoka Sh. bilioni 294 mwaka 2021 hadi kufikia Sh. trilioni 1.242 mwaka 2025, ongezeko la Sh. bilioni 948 sawa na ongezeko la 322%. Ongezeko hili linaonyesha juhudi za Serikali kuimarisha sekta ya kilimo na kuhakikisha wakulima...
  17. Mhaya

    Rais Magufuli alikuja kama Messiah kisha akaondoka na kuacha ujumbe "MTANIKUMBUKA..."

    Ilikuwa wakati wa jioni huko vijiweni vya kawaida, pale mtaani, ambapo sisi marafiki tulikuwa tumekaa chini ya mti mkubwa, tukinywa chai moto na kutoana hadithi za maisha. Mmoja wetu, yule anayependwa na mazungumzo ya siasa, akaanza kwa sauti ya kushawishi: "Eh, rafiki zangu, mnakumbuka ile siku...
  18. Sifi Leo

    Wito: Tubadilishe Katiba, Samia sasahivi ni Rais au ni mgombea wa Urais?

    Nadhani IKULU Sasa zilitakiwa ziwe wazi, kila mgombea atokee kwke akambe KAZI ya kuajiliwa kuwa Rais Inakuaje Samia analala IKULU? Chanzo ni katiba MBOVU, Kama majimbo hayana wabunge, kama wizara hazina waziri ni wakati mwafaka Sasa Mgombea wa CCM atokee IKULU aombe kibalia IKULU atokeeeee
  19. M

    Rais Samia ampiku Hayati Magufuli kwenye kila sekta

    Dar es salaam, Agosti 2025 – Akihutubia Taifa kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oct 29. 2025, Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imefanikisha mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Rais Samia alisema kuwa Bajeti ya Serikali...
  20. K

    GE2025 Rais Samia: Tumefanya makubwa kuhakikisha taifa linarejea kwenye utulivu

    "Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi...
Back
Top Bottom