rais

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ilivyo kwa Tanzania, CCM kushinda kila term ndivyo itavyokuwa kwa Kenya Rais kuwa Mkikuyu au Mkalenjin

    Big up kwa Kenya kuwa na Demokrasia kiwango cha juu kuzidi Tz lakini linapokuja swala la uraisi kuna utofauti mdogo sana kati ya Tz na Kenya . Kiti cha urais kina mamlaka makubwa sana, hii ni nafasi executive sio ya kuiletea masihara hata kidogo na kuna system tayari ipo kuhakikisha kiti hiki...
  2. JamiiForums Tanzania PICHA: Gari lenye choo maalum cha Rais Yoweri Museveni wa Uganda

    Gari hili lina jiko kubwa, eneo la ofisi na sehemu ya kupumzika pia shughuli za mapishi zinafanyika wakati gari likiwa kwenye mwendo ambapo Rais anaweza kupata chakula kwa wakati anaotaka Kwa nje gari hili lina mifumo mingi ya kumsaidia Dereva kwenye kuliendesha, mifumo hiyo inahakikisha...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria Uapisho wa Ruto ni kuendelea kudumisha Diplomasia

    Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kudumisha diplomasiano na mahusiano mazuri kati ya Tanzania na Kenya pia Rais Samia Suluhu amezungumza na Rais Mteule wa Kenya, William Ruto na wameafiki kukuza ushirikiano katika biashara, kilimo na usalama kwa manufaa ya nchi zote. Uuzaji wa bidhaa za...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: Tutatoa bajeti kubwa kwa Mahakama ili isimamie Demokrasia, Uhuru na Haki

    Kutoka uwanja wa Kasarani Septemba 13, 2022 Rigathi Gachagula - Naibu Rais Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagula amesema kuwa nchi hiyo haitaingilia uhuru wa watu katika kuwasiliana. Amewataka wakenya kuzungumza kwa uwazi pasipo kuogopa kuwa Serikali itaingilia mawasilano yao. Aidha...
  5. JamiiForums Tanzania Naona taratibu sasa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anaanza Kuwafanya wana Yanga SC wote ni Mazuzu

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said katika Mkutano wake na wana Yanga SC katika Mikutano yao ya Kikatiba aliwahi kusema kuwa Udhamini wa Jezi wa GSM kwa Yanga SC umeipatia Klabu hiyo Tsh Bilioni Nane ( 8 ) kwa Mwaka na Mazuzu kama Kawaida yao Wakamshangilia na Kushangilia. Jana tu Rais wa Yanga...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia haikufuata utaratibu uliopo kikatiba katika maamuzi wa kuwatoza wananchi tozo kwenye miamala ya kielektroniki

    Wanabodi, Jamani, Jamani, jamani, tupieni jicho maelezo yaliyopo kwenye katiba yetu (ibara ya 99 na 138) kufahamu utaratibu ambao unatakiwa kufuatwa kabla ya kutoza ushuru wowote, kodi au tozo.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Cha Dar es Salaam kimpe Rais Samia Udaktari wa Heshima katika uongozi na mahusiano ya kimataifa

    Ndugu zangu hayo ni mapendekezo yangu binafsi baada ya kuwa nimekaa kwa muda mrefu nikifuatilia utendaji kazi wa mh Rais Samia na kufikiria namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea na kukabidhiwa nchi yetu Katikati ya wingu zito la majonzi na simanzi kubwa ya kuondokewa na Rais wetu Hayati...
  8. JamiiForums Tanzania Haya hapa malipo ya kustaafu ya Rais Uhuru Kenyatta

    Rais Uhuru Kenyatta atakuwa akipokea angalau Tsh. Milioni 668.5 kama sehemu ya malipo yake ya kustaafu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 10. Kulingana na marupurupu yaliyoainishwa katika Sheria ya Mafao ya Kustaafu ya Rais ya 2013, Rais anayemaliza muda wake ana haki ya malipo ya mkupuo...
  9. JamiiForums Tanzania Vyeo 9 vya nguvu alivyoshika Uhuru Kenyatta kabla ya kuwa Rais

    Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta aliwashukuru Wakenya kwa fursa nyingi walizompatia kuhudumu katika majukumu mbalimbali ya umma katika miongo miwili na nusu iliyopita. Akihutubia Taifa katika Ikulu mnamo Jumatatu, Septemba 13, Rais anayeondoka alikumbuka safari yake katika utumishi wa Umma...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 HOTUBA KAMILI: Maneno ya mwisho ya Uhuru Kenyatta kabla ya kuachia Urais

    Hatimaye Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta amempongeza Rais Mteule William Ruto, baada ya mkutano wao Ikulu. Wawili hao walikutana alasiri ya Jumatatu, Septemba 12, saa chache tu kabla ya hafla ya kuapishwa kwa William Ruto iliyotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kasarani. “Kama alama kuu ya...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga aalikwa kuapishwa kwa Rais Mteule William Ruto, akataa mwaliko

    Kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja Raila Odinga hatahudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule William Ruto siku ya Jumanne. Katika taarifa yake siku ya Jumatatu, Odinga alikiri kuwa Ruto alimwalika yeye binafsi kwenye hafla ya kuapishwa lakini akasema hataheshimu mwaliko huo kwa vile...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ataka uwekezaji wa sayansi, Teknolojia

    Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Afrika wakiwekeza zaidi katika sayansi na teknolojia kwa vijana, wanaweza kuwa sehemu muhimu ya kustawisha uchumi kama ilivyo China. Ametoa kauli hiyo Dar es Salaam leo, wakati akifungua Mkutano wa Wanawake na Vijana katika Biashara chini ya Mkataba...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru akutana na Rais Mteule Ruto IKulu

    Rais mteule William Ruto saa hii anakutana na Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta na Ikulu, Nairobi. Ruto ameandamana na Mkewe Rais mteule Rachel Ruto. Ripoti zilionyesha kuwa viongozi hao wawili wanafanya mkono wa kibinafsi kabla ya kuapishwa kwa Ruto mnamo Jumanne katika uwanja wa Kasarani...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

    Hii ndio taarifa ya motomoto.. ======= Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria uapisho wa Rais Mteule William Ruto

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ataungana na Marais 17, Mawaziri Wakuu, Manaibu wa Rais 8 na Mawaziri 7 wa Mambo ya Nje waliothibitisha kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule William Ruto. Samia ataambatana na baadhi ya Viongozi wa Serikali akiwemo Balozi Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Multi Choice pekee kuchukua matangazo ya uapisho wa Rais Mteule Ruto na kusambaza kwa wengine

    Timu ya Mawasialiano ya Rais Mteule imezuia vyombo vya habari vya nchini humo kurusha hafla ya kuapishwa kwa William Ruto na kutoa haki za kipekee za utangazaji kwa Multichoice Kenya Ltd. Tangazo hilo limepokelewa kwa hisia tofauti na wanahabari wa ndani na mashirika ya habari, huku gazeti la...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanawake acheni kuwanyanyasa wanaume

    Rais Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba yake kwenye Maadhimisho ya miaka 50 ya Utume wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) amesema kuwa wanawake huwanyanyasa pia wanaume. Amesema kuwa jamii huwasikiliza sana wanawake kwa kuwa wao ndiyo hulia sana tofauti na wanaume lakini ukweli ni kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Rais Putin ataenda kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth?

    Hili ni swali najiuliza. Diplomasia na mahusiano ya miaka mingi yataweza kupotezwa kwasababu ya ugomvi kule Ukraine? Pengine muda utatupatia majibu.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Ndugu zangu Afande sele kawashangaza Sana mamilioni ya watanzania ambao wanaendelea kuhoji kuwa Ina maana Afande sele hajaona ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani alivyojenga na kuboresha secta ya Elimu hapa nchini? Watanzania wanahoji kuwa Afande sele amesahau Mara hii namna watanzania...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumzia Siasa kwenye Chuo cha Kijeshi unataka kutuaminisha nini Watanzania?

    Wasaidizi wa sasa wa Mheshimiwa Rais mnafeli mno, na hata wewe CDF mpya umefeli. Kwanini kuruhusu Mama kuzungumzia Siasa Jeshini? Ni hatari mno, na wenye akili kuwazidi tulidhani mngeliona hili na kumzuia asilijadili huko kwenu. Bali ajikite zaidi katika mada za kimedani (kijeshi), hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…