Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilei ya Miaka 50 ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato leo Tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma
SAMIA SULUHU HASSAN - RAIS
Kwanini hajawahi kuhudhuria...
'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho
1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi
2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa
3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa
4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo
5. Hukulea...
Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale.
Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
Hakuna tena more death threats kama ilivyokuwa kipindi kilichopita tulishuhudia vitisho vingi kuliko wakati wote ule wa vyama vingi vya siasa katika our political history.
Rais Samia ni Kiongozi bora anafahamu umuhimu wa vyama siasa na vile vya Wafanyakazi hawezi kusema wapinzani wake...
Moja ya sifa za Rais Samia Suluhu Hassan ni muumini mzuri wa mageuzi yenye lengo la kubadili fikra, dhana na mitizamo ambayo imekuwa kikwazo kwa jitihada za vijana katika kufikia mafanikio katika nyanja za biashara na uchumi.
Sifa nyingine ya Mama ni usikivu, mrahisi kufikika, mfariji na...
Salam wakuu,
Sina kinyongo na watoto wa wakubwa kujazana kwenye chama na serikali.
Rai yangu moja,Mama ni vyema baadhi ya wanafamilia wake akawaweka nje ya chama na serikali.
Mfano kuna mmoja mbunge,Kuna wengine ndio hivyo kwenye taasisi, wengine mme waziri etc etc.
Hii sio dalili njema...
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Leo katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti kupitia redio ya Wasafi FM, imeelezwa kwamba wale wafanyabiashara walioporwa mabilioni ya fedha na kikosi kazi kilichoundwa na Mwendazake, sasa watarudishiwa fedha zao rasmi. Hii ni moja ya hatua za kuponya maumivu...
1. Sishangai sana ndiyo maana hata Kielimu tu Wakenya wamewaacha mbali sana Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi.
2. Sishangai sana ndiyo maana hata Kiakili tu Wakenya wamewazidi mbali mno Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi.
3. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya ni Watu wenye...
Bei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa.
Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi.
Madeni ya taifa...
Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka parii na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu.
Habari kamili itawajia kupitia vyanzo timilifu.
Bia anamwaga muda si mrefu.
Nikiripoti habari nyepesi ama...
Mwaka 2022 unakaribia kumalizika huku wananchi wengi wakilalamikia sana utendaji wa baadhi ya mawaziri ambao wamepewa dhamana na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwa mwaka 2022 Mawaziri walioongoza kutajwa kwa uwajibikaji hafifu na kulalamikiwa na wananchi ni wafuatao
1. Patrobas Katambi-...
Rais Samia Suuhu amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo kwa kutoa ruzuku ya mbolea inayowapelekea wakulima kununua mbolea kwa nusu bei
Ahueni 4 kwa wakulima toka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu:
1. Kaondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mbolea ya ndani
2. Kaweka ruzuku kwenye...
Ndugu zangu Uongozi unatoka Kwa Mwenyezi Mungu anayetufahamu sisi Tungali katika Matumbo ya Mama zetu, Yeye Ndiye Anayejuwa hatima yetu, yeye ndiye mtoa Riziki, Neema na Baraka, yeye ndiye kiongozi mkuu wa viongozi wote hapa chini ya jua. Ndiye mtoa Maarifa na Njia kwa wale wamchao na kufuata...
Martin Maranja Masese ameandika kwenye twitter page yake kuwa "Awamu ya 3 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 10 Awamu ya 4 ilikopa $7bn (Sh16.320 trilioni) miaka 10 Awamu ya 5 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 6 Awamu ya 6 imekopa $8.7bn (Sh20.283 trilioni) miezi 18 “Mama Yuko Kazini...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewahakikishia watalii na wageni kuwa maambukizi ya Ebola yanadhibitiwa na hawana haja ya kusitisha kuitembelea Nchi hiyo
Amesema kuna watalii walisitisha ratiba ya kwenda Uganda na wengine kuhamisha shughuli zao walizotakiwa kuzifanya Nchini humo.
Ameeleza...
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita.
Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa serikali. Mambo haya yamekuwa yakilalamikiwa sana.
1: Uchumi wa Tanzania Umeporomoka. Laiti kama uongozi...
Mwanasiasa wa upinzani Fadel Abdelkefi amesema askari Polisi wakiwa hawana kibali chochote walimzuia kusafiri alipokuwa Uwanja wa Ndege wa Carthage licha ya kuwa hana mashtaka wala kizuizi chochote cha kisheria.
Abdelkefi alikosoa utawala wa Rais Kais Saied akidai kuwa anaongoza kama Mfalme na...
Naweza sema ni mzee Ruksa, Mkapa na mama Samia ndio waliokota dodo chini ya mnazi, Nyerere, Kikwete na Magufuli waliutafuta urais kwa mbinu zote chafu na safi.
Leo tumuangalia Rais Magufuli, Pompeo wa bongo alivyousaka urais kwa mbinu za chini kwa chini.
Hapo mwanzo kulikuwa na jimbo moja...
Rais wa Kenya, William Ruto amesema kuwa kinachotakiwa kwa sasa ni kuongeza nguvu kwenye kukamilisha miradi na ahadi alizoweka wakati akiwania Urais.
Kauli hiyo imekuja baada ya hoja kuibuliwa Bungeni na Mbunge Salah Yakub kuhusu kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi...