rais

  1. JamiiForums Tanzania Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

    Nyumba hii ambayo ni mali ya Mary Victor Mahundi, mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema la Dar es Salaam imepigwa mnada kwa Tsh. Milioni 30 ili kufidia deni la benki la Tsh. Milioni 5.2 ambalo alikuwa akidaiwa mume wa mwanahabari huyo. Inaelezwa kuwa nyumba hiyo iliyopo Tabata, Kata ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kunusuru zao la korosho

    Desemba 1, 2022 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani baada ya maadhimisho hayo alisimama na kusalimiana na Wananchi wa Mnazi mmoja mkoani Lindi wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Mtwara. Dkt. Samia Suluhu alitoa nafasi kwa mbunge wa Mtwara kutoa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Macron naye ailalamikia US: Mnatufanyia hujuma isiyo ya kawaida katika kipindi hiki kigumu

    Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba nchi yao inaifanyia Ufaransa "hujuma isiyo ya kawaida hasa katika kipindi hiki cha mdororo wa nishati na uchumi kutokana na Covid-19 na mzozo ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Shaka ni mpwa wa Rais Samia? Na kama ni kweli CCM mmebariki nepotism hii ndani ya chama?

    Niko Zanzibar kutafuta namna ya kuufanya mkono uende kinywani. Katika stori mbili tatu mwenyeji wangu kagusia kuwa Shaka ni mpwa wa rais Samia. Nimestushwa sana na hiyo kitu ambayo mwenyeji wangu ananiambia kuwa kwa hapa Zanzibar inajulikwna na kila mtu. Hebu ndugu wadau nijuzeni. Habari hii...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

    Wanabodi, Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama. Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila mwanamke kuitwa mama ni heshima kubwa zaidi kwa mwanamke yoyote kuliko kuitwa tuu jina lake, hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 nachagua Rais wa wanaume

    Iko siku wanaume wataonekana hawana jema hata moja walilotenda jana, leo na hata kesho kama tutachagua wanaharakati wa jenda. Mimi mwalimu wangu mkuu katika somo la uumbaji ni viumbe wengine ambao siyo binadamu. Kwakuwa Mungu ndiye aliyetuumba sisi na viumbe wote bila shaka kuna vitu na tabia...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA"

    Baada ya Rais wa France, Emmanuel Macron kutapika nyongo kuwa ; Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi" Naye Rais wa Baraza la Ulaya amefunguka na kuishambulia Washington. Soma: Washington daima inatanguliza masilahi yake ya kiuchumi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi"

    "Lazima tufikirie juu ya muundo wa usalama, ambao tutaishi kesho. Ninazungumzia, haswa, maneno ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kwamba NATO inakaribia mipaka ya Urusi na kupeleka silaha ambazo zinaweza kutishia usalama wa Urusi," alisema. Rais wa Ufaransa Emmanuel Muundo wa usalama wa baadaye...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanawake milioni 44 wamepoteza ajira Afrika

    Takwimu zinaonyesha wanawake milioni 44 wamepoteza ajira barani Afrika hadi kufikia mwaka 2021, huku idadi ya wanawake kwenye vyombo vya maamuzi Tanzania ikiongezeka kutoka asilimia 21.5 mwaka 2005 hadi kufikia asilimia 37 mwaka 2020. Hayo yamebainishwa leo Jumamosi Desemba 3, 2022 na Rais wa...
  10. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Chama Tawala (ANC) kukutana Desemba 4 kujadili hatima ya Rais Ramaphosa

    Chama Tawala cha ANC kimerudisha nyuma mkutano wake uliopangwa kufanyika Dcember 16, 2022 badala yake utafanyika Dec 4, 2022 Jumapili, mkutano huo unalenga kujadili mustakabali wa Rais Cyril Ramaphosa ambaye amekuwa akishukiwa kuvunja Katiba ya nchi hiyo. Uchunguzi uliofanywa na jopo huru la...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashauri umuhimu wa kusikiliza watangulizi lakini hailazimiki kufata matakwa yao. Akemea udikteta kwani hufupisha safari

    Rais Samia leo ameongelea ushauri ambao anaweza kuwapa wanawake viongozi wa sasa. Rais Samia amesema wasijikite kwenye misingi ya uongozi ya chuoni pekee. Ni muhimu kutambua na kujua lengo na ni muhimu kuwa mnyenyekevu ikiwemo kuwasikiliza watu zaidi na kuzungumza kidogo. Rais Samia kasema ni...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya DR Congo yamuonya Kagame kumuongelea vibaya Rais Tshisekedi

    Msemaji wa Serikali Patrick Muyaya amesema Rais Paul Kagame ana lengo la kumdhoofisha Rais Tshisekedi kwenye Uchaguzi ili aendelee kufanya uporaji wa madini kwenye maeneo yenye migogoro Muyaya amesema Kagame hana sifa ya kuongelea masuala ya Utawala Bora kwa kuwa kwenye suala la Demokrasia...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tazama video za wana CHADEMA wakicheza kwa furaha huku wakisubiri kumpokea Rais

    Watu wengine walitaka kuona hii video wanachadema na vyama vingine walivyoungana kumpokea Rais hii inaonyesha kuwa yale maridhiano yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu yameanza kufanya kazi. Kuna watu wengine pia wamesema kuwa kutokana na kazi kubwa aliyoifanya Rais Samia Suluhu ile Shahada...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto awasimamisha kazi Makamishna 4 waliopinga matokeo ya Urais

    Rais William Ruto amewasimamisha kazi makamishna wanne wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa madai ya kukiuka miiko ya utumishi. Makamisha hao walipinga matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo na kudai kuwa hawayatambui. Makamishna hao, Juliana Cherera, Justus...
  15. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais Zimbabwe atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari nchini Urusi

    Mapema leo, akiwa ziarani nchini humu kuimarisha uhusiano katika nyanja ya elimu, utamadan n.k, Bi.Auxillia Mnangagwa alitembelea Chuo Kikuu kijulikanacho kama "Russian State University for the Humanities (RGGU)". Huko kwenu mna Shahada za kimichongo, ujanja ujanja na speed kali! Ni wakati wa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Punguza umri wa mwanamke kuolewa + Piga marufuku muziki wa amapiano ili upunguze kasi ya maambukizi ya VVU

    Ni HIVI wote tumesikia leo kuhusu takwimu za maambukizi mapya ya vvu nchini na kwamba asilimia kubwa ni vijana wenye umri kati ya miaka 15 HADI 20. Nini KIFANYIKE KUPUNGUZA kasi ya maambukizi? Solution zinaweza kuwa nyingi lakini Kati ya hizo Nina amini zifuatazo zinaweza kusaidia KUPUNGUZA...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UWT: Tunaziomba taasisi mbalimbali duniani zimpe Rais Samia tuzo

  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani katika viwanja vya llulu Mkoani Lindi leo Disemba 1, 2022 Hotuba ya Rais Samia Suluhu Tunapozungumza magonjwa ya UKIMWI na VVU tunazungumza muda wa miaka 30 tangu yalipoonekana...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Nape na Vijana wa Lindi mtaendelea kudeki Barabara za Lindi hata Rais Samia akimaliza ziara yake huko?

    Mkimaliza Kuzideki hizo Barabara za Mkoa wa Lindi (hasa za hapo Mjini) kabla ya Ziara ya Rais Dk. Samia hakikisheni hamsahau pia na Kudeki Akili zenu ambazo yawezekana kutokana na Kuchafuka ndiyo zinastahili Kudekiwa zaidi ili zisafishike hata kuliko hizo Barabara. Kwa anayetaka kuona Waziri...
  20. JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa moja ya Sifa ya kuwa Rais wao ni mpaka Umiliki PhD ya Kutishia / Kubembeleza Watoaji?

    Anyways kwakuwa sasa kwa Tanzania kama una Ndoto za kuja Rais wao basi Sharti ni lazima Umiliki PhD (Doctorate) iwe ya Academical au Honorary (ya Huruma, Utu na Upole) ili Uogopwe na Wapiga Kura. Na Mimi GENTAMYCINE najipanga sasa Kuwaroga Watoa PhD's maarufu nchini UDOM na UDSM ili wajikute tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…