rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Mwaselela: Kazi za Rais Samia zinatupa jeuri kwenye uchaguzi 2025

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinaingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, 2025 kikijivunia utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kimesema kuwa kazi kubwa ya utelekezaji wa Ilani ya CCM, ikiwemo ujenzi wa miradi mikubwa ya kimkakati ambayo kwa sasa imeiweka Tanzania kwenye ramani...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Rais Samia hajasema ukweli kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi kuundwa kwa kuzingatia maoni ya Wadau wote

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amaema kupitia ukurasa wake wa X kuwa Rais Samia amedanganya kwenye baraza la Eid kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi Amesema “Rais Samia hajasema ukweli kwenye Baraza la Eid kwa kudai kuwa tayari Tume Huru ya Uchaguzi imeundwa kwa kuzingatia maoni ya wadau wote na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tamasha la kuombea uchaguzi mkuu 2025 laungwa mkono na hotuba ya rais Samia

    Wakati maandalizi ya Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 yakipamba moto wake, hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan nayo imekazia amani na utulivu kipindi cha uchaguzi. Akihutubia kwenye Baraza la Eid El Fitr kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia abariki ATCL kuwapelea Mahujaji Makka

    Rais Samia amebariki Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupitia ndege yake ya Boeing 737-9 kuwapeleka Mahujaji Makka nchini Saudi Arabia.
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, CCM hamuwezi tena kufanya uchaguzi wa huru na haki. Waambie Watanzania Aliyekuwa mkuu wa wilaya Maswa Kwa nini umemwamishia Bunda ??

    Hata magufuli alisema hivyo hivyo Ile 2020 lakini yaliyotokea Kila mtu anajua. Kumuamini mwanasiasa tena wa ccm ni kazi sana. Juzi tu 2024 wameiba uchaguzi wa serikali za mitaa na kuwaengua wapinzani halafu Leo anatoa hizo kauli .. inatia hasira sana... Mwaka 2024 uchaguzi wa serikali za...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Uchaguzi Mkuu utafanyika kwa Haki, Falsafa ya 4R kuendelea kutumika

    Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!

    Akizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi wa dini wamejiepusha na mahubiri yenye uchochezi na kuleta mafarakano. Aidha ameongeza kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Machi 31, 2025

    Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025. https://www.youtube.com/live/Hb63c_TjKB8?si=wqlP3wcHwx2apfo2 Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Jabiri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 DJ wa Diamond, RJ the DJ atangaza "Mama Tour" kuzunguka zaidi ya mikoa 10 kumuunga mkono Rais Samia

    Wakuu DJ maarufu wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, RJ The DJ, ametangaza ziara yake ya muziki inayojulikana kama "RJ The DJ Mama Tour", ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kaulimbiu ya "Naungana na Mama, Mitano Tena." Ziara hiyo itapita katika mikoa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shinyanga: Rais Samia atoa zawadi za Eid kwa wazee na watoto

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi za vitu mbalimbali kwa watoto na wazee wanaolelewwa kwenye vituo saba vilivyopo mkoani Shinyanga ili nao washerehekee Sikukuu ya Eid el Fitr kwa furaha. Zawadi hizo zimekabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha kwa niaba ya Rais Samia Suluhu...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais samia atoa mkono wa heri kwa watoto wenye mahitaji maalum Iringa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa heri kwa watoto katika vituo vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani hapa kwa kugawa Sadaka ya vyakula ikiwemo Mbuzi, Mchele, Mafuta ya kupikia, unga, sabuni za kuogea...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awagusa watoto wenye mahitaji maalum kwa msaada wa vyakula Kigoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewagusa watoto katika vito vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani Kigoma kwa kugawa Sadaka ya vyakula ikiwemo mbuzi, mchele, mafuta ya kupikia, unga, sabuni za kuogea na kufulia pamoja...
  13. JamiiForums Tanzania Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
  14. S

    JamiiForums Tanzania HESLB hawafanyi haki kwa hili

    Je, Mfumo wa Mikopo ya HESLB kwa Postgraduate ni wa Haki? Mwandishi: Mr. Makizube Hakunaki Ndugu wanajukwaa, Baada ya kupitia kwa kina miongozo ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wa shahada za uzamili (Master’s) na uzamivu (PhD) kwa mwaka wa masomo 2024/2025, nimeona kuna...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aahidi Milioni 30, ukarabati wa Kanisa Geita

    Mtoto wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Halim Hafidah Ameir ameahidi kutoa Tsh. Milioni 30 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Ndele Mwaselela: Rais Samia ameendelea kuleta na kukuza vipaji vya viongozi vijana ndani ya Chama na Serikali

    Mjumbe wa Halmashauri kuu Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Mbeya Ndele Mwaselela amesema Rais wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuleta na kukuza vipaji vya viongozi vijana ndani ya Chama na Serikali. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusidanganyike, unapompa mwekezaji asimamie shirika kama Reli, Ndege, Bandari au Mwendokasi, yeye anapata faida zaidi kuliko nchi

    Kuna kitu Watanzania labda kwa ulofa wetu tu hatujakielewa kuhusu kutoa mashirika teyu kama bandari, reli, ndege, mwendo kasi nk kwa waawekezaji toka nje. Wakati tutakiri kwamba ufanisi wa haya mashirika unaweza kuongezeka, lakini lazima watu waelewe anaefaidika na faida ya kifedha hapa sio...
  18. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola yaridhia wito wa Rais Samia kuanzisha Commonwealth Julius Nyerere Scholarship

    JUMUIYA ya Madola (Commonwealth) imeridhia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan wa kuanzisha mpango maalum wa ufadhili wa masomo wa Commonwealth Julius Nyerere Scholarship. Mafanikio hayo yanatokana na majadiliano ambayo Rais Dkt.Samia aliyafanya na Katibu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid kwa watoto yatima Kagera

    Ikiwa yamesalia masaa machache kuelekea sikukuu ya Eid Al- Fitri ikiashiria kutamatika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa Eid kwa vituo vyote vya kulelea Watoto mkoani Kagera hapo jana tarehe 29/03/2025. Taarifa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia amekwisha toka wampe Tuzo ya Comedy. Mafufu asema Rais Samia ni muigizaji namba moja!

    Wakuu, Chawa mnamharibia mama:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh: nyie si wa kumshusha hadhi Rais Samia namna hii. Yaani toka apewe tuzo ya comedy ni huzuni, sasa anatembea na lebo hiyo kwenye kila anachofanya! Safari hii mama kaingia kwenye mfumo😂🤣, chawa wanazidi kuchochea moto azidi kuonekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…