rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia. Akae na viongozi wa taasisi na wadau bila vyama vya siasa apate mawazo mapya

    Watanzania wenzangu tumshauri kama atakubali sawa. Hatari inayokuja wanatunishiana misuli wakati upande wa pili unakubalika zaidi na slogan yao. Kwa sasa hivi asiende kishabiki au na hasira nchi ataitupa porini kwa sababu wale jamaa hawataki kuachia ugali wao. Kwanza akae na wadau na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatimaye wasanii wameingia mzigoni kumpigia kampeni Rais Samia akubalike mtandaoni, tuukatae uchawa

    Wakuu, Baada ya wananchi kuvamia page za serikali mpaka za rais samia na no reforms no election chawa na kupe wa mama wamekuja na kampeni yao ili kuonesha mama anakubalika. Kwenye masuala ya utekaji hutakaa kuwaona wasanii wakisema lolote, ni wale wale wachache tu wa kila siku ndio huongelea...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtoto wa Shetta, Qailah: Wote Wanaomtukana Rais Samia tutapita nao mazima

    Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal ambaye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) amewataka Vijana kwenda kuyasema mazuri yanafanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia kwa data kama Wasomi. Akiwa kwenye Mahafali ya Seneti, Qailah ameongeza...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Rais Samia akutane na wadau kujadili Uchaguzi Huru 2025

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema; "Mwezi Oktoba mwaka huu nchi yetu inatarajia kufanya uchaguzi mkuu, katika kulizungumzia jambo hilo nyeti tumeona ni vyema tukayarejea maneno muhimu tulioyatoa katika Baraza la Eid lililopita Machi 31, 2025 ya kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Leo Rais Samia yupo msikitini akitumia haki yake ya kuabudu, ila kuna watu wamenyimwa haki ya kuabudu

    Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa. pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Mwigulu mchemba nani boss wa mwenzake?

    Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana, maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika kuhusu huyu waziri wa fedha halafu Rais kakaa kimya hachukui hatu yoyote ile tofauti na reaction iliyoichukua baada ya Gwajima kuliongelea...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini nguvu kubwa inatumika kulazimisha Samia kurejea ikulu? Hatoshi na wapo ambao ni bora zaidi katika hiyo nafasi

    Kubinafsisha bandari zetu Usimamizi mbovu wa matumizi ya umma Ukosefu wa ubunifu na kuendesha serikali kwa mazoea Utekaji Uhalalishaji na wizi wa mali za umma(kila mtu ale kwa urefu wa kamba) Hakuna ajira wala nia ya dhati kusaidia vijana kujiajiri Huduma mbovu za afya Huduma mbovu za...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 David Kafulila: Tanzania ilikuwa na msongo wa Umeme wa 6000km Rais Samia Kwa miaka 4 kajenga 2000km sawa na 33.33% ya kilichojengwa tangu Uhuru

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 alikuwa na haya ya kusema, Ukiachilia mbali Usambazaji wa Umeme kwenye vijiji elfu 12 Tanzania ilisafirisha Umeme umbali wa kilometa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 David Kafulila: Kabla ya Rais Samia kila uzao hai 100,000 wamama 500 walikufa leo ni 104 na katika kila vizazi hai vya watoto 1000 vifo ni 43

    === Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 amefafanua haya, Kabla ya Mhe Rais Dkt Samia kuingia madarakani huduma za afya hazikuwa za kuridhisha kama sasa ndio maana katika kila...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia nikukumbushe tu, mtangulizi wako alianza nao vyema kama wewe, ulimponda kwa mabaya yake leo yamekukuta

    Ushauri wangu ni kwamba nchi yetu haina special person(specialized) wengi katika taaluma tofauti mfano Siasa ila ina mashabiki wengi baadhi yao wapenda udaku,mipira na wengine wapenda umbeya wa siasa(hawana taarifa ila ni waropokaji kwa taarifa wanazopatiwa). Ukitaka kutambua hili kuna mtu yupo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Tazama Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Umakini Kumlinda

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima unapaswa kupambanua kuwa kauli ya Rais Samia kuhusu "Dini za Kishetani" haihusu kanisa lako

    Ni wazi kuwa watu wamebaki kuwazawaza kuhusu maneno ya Rais Samia alipowapongeza KKKT kwa kazi nzuri huku akisema "sio kama yule na dini za kishetani". Watu wanaweza kufikiri alikuwa anamzungumzia Gwajima na Kanisa lake. Sasa ni vyema askofu Gwajima akajibu hili na kuondoa dhana hii kuhusu...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia ana damu ya kitanzania kweli?

    Naombeni tu kuwauliza waungwana. Mma uhakika kuwa Rais wetu Samia ana damu ya kitanzania. Hivi hizi kauli na matendo yanayoendelea dhidi ya watanzania zinaakisi kuwa yeye ni mtanzania? Naona hata kipindi Mbowe anashtakiwa kwa ugaidi ilikuwa ni hali kama hii tu sema hii ya sasa imekumba wengi...
  14. JamiiForums Tanzania Kati ya CCM na Samia nani tatizo au nyenzo kwa taifa letu

    Rais Samia Suluhu Hassan, kama kiongozi yeyote, hata tofauti, si rahisi kumuelezea. Wapo wanaomsifia hadi inatia kinyaa. Na wapo wanaomkosoa hadi inakuwa nongwa. Ukichuguza sintofahamu hii, unashindwa kuelewa kama tatizo ni yeye au CCM au vyote. Kwa maoni yako, nini tatizo au ubora kwa taifa...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Rais Samia amtaka Gwajima asimjaribu

    Kuna maneno yanazunguka mitandaoni yakimnukuu Rais Samia akitoa ya moyoni juu ya Gwajima kuwa anatumia kanisa kutakatisha fedha, je maneno haya ni kweli kayasema ? Na kayasemea wapi?
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi hii mnayoifanya inapeleka ujumbe kwa wale waliojionesha kama watumishi wa dini lakini ni "watumishi wa ushetani'

    Akiwa anazungumza wakati wa Harambee ya Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT, Rais amesema: ""Nilikuwa namsikiliza Katibu Mkuu wa Dayosisi hii ametaja mambo kadhaa ambayo kanisa hili linafanya katika sehemu mbalimbali nchini. Sasa ndugu zangu huu ndio utumishi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Chalamila amemwambia Rais Samia Ridhiwani hamiliki vituo vya shell

    RC Chalamila leo amemwambia Rais Samia kwamba Ridhiwani hamiliki vituo vya mafuta na $750,000 oil tankers.
  18. S

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nikupe pole Rais Samia, wapo watu kazi yao kufitinisha Serikali na familia yako kwa maslahi binafsi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila asema kuwa kuna watu wachache kwenye mitandao wanaacha mambo ya msingi na kuishambulia familia ya Rais, alitaka kanisa liombe ili adui ashindwe. "Wapo watu katika Taifa kazi yao ni kuzungumza uongo unaofitinisha Serikali, Unaofitinisha Familia na...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangia Milioni 150 na wafanyakazi ofisi yake wachangia milioni 100 Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT

    Rais Samia akishiriki Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maluum Kanisa la KKKT Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam, leo tarehe 5 Juni, 2025. =============================== RC Chalamila: "Nikupe pole Rais Samia. Tunaona kwenye mitandao wachache katika Taifa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameruhusu utawala wa sheria ufanye kazi wengine mnalalama, tambueni urais ni taasisi

    Friends and our Enemies, Kama Kuna ambao walidhani kwa kuwa huyu Rais Jinsia yake ni KE,basi wanaweza kuleta ubabe kwake na kutaka kufanya utawala wake uyumbe,basi watambue wamedhania vibaya. Huyo ni Amiri Jeshi Mkuu,VYOMBO vyote vya ulinzi na usalama vinatii na kuripoti kwake,lazima Heshima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…