rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna zile IDs za wana Simba SC ziliiombea mabaya Jana kwakuwa tu Rais Samia aliipa Simba SC Ndege, chonde naziomba ziendelee kuiombea mabaya Simba SC

    Kuna Watu hapa JamiiForums ni Wapumbavu (Mapopoma) hadi basi. Hivi unajijua kabisa Wewe ni mwana Simba SC na unajulikana hapa lakini kwa CHUKI ZAKO TU ZA KISIASA (za CHADEMA na CCM) unaiombea Simba SC mabaya huko Afrika Kusini katika Mechi yake ya Jana dhidi ya Stellenbosch FC na hadi Kuilaani...
  2. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 2020 Rais Samia ndio alifanya kampeni za Urais na CCM ikapata Ushindi wa 84% Chawa wasijifanye bila wao hakuna Ushindi!

    Tunakumbushana tu kabla ya kwenda kulala Rais Samia atashinda bila msaada wa Chawa yoyote Mlale unono 😁🇹🇿
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Rais Samia ni kipenzi chetu kwa nini hotuba yake haikujibu yaliyokuwa yanaendelea Tanzania?

    Nina wasi wasi Kuna genge linamzunguka Rais Samia na kumziba macho na masikio Nina wasi hata na IDARA ya habari inamsomea Rais Samia habari anazotaka kuzisikia TU zile zinazomaema Rais hasomewi kamwe Hoja hii inadhibitishwa na hotuba aliyoitoa siku ya MUUNGANO wa Tanzania Haiwezekani...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Barua aliyoiandika Papa Francis kwenda kwa Rais Samia kabla ya kukata Roho na kuaga Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Alipata Bahati ya...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia kweli anazifahamu 4R's au amebambikiwa?

    Ni jambo lisiloingia akilini kuwa Rais Samia ndiye hasa muasisi wa hizi 4R's anazoziimba kila mara mambo yanapomwendea kombo! Kama kweli angekuwa anaziamini kutoka moyoni mwake na kuzisimamia, haya yanayoendelea hivi sasa yasingekuwepo! Ingependeza zaidi hao waliombambikia hizo 4R's warudi na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi

    Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa...
  7. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Dkt. Doto Biteko amwakilisha Rais Samia Uwekwaji Wakfu Askofu mteule wa jimbo katoliki Iringa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt Tulia: Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ni muhimu sana kuchagua viongozi wanao hubiri amani na kutujali kama Rais Samia

    Dkt Tulia Ackson Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ni muhimu sana kuchagua viongozi wanao hubiri amani na kutujali kama Rais Samia ambaye anataka kutujengea kawe yetu ibadilike. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Madee: Rais Samia ameendelea kuiheshimisha sanaa ya muziki

    Msaniii wa Muziki wa Bongo Fleva Madee amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuiheshimisha sanaa ya muziki hali inayopelekea kupewa hadhi ya viwango inayostahili. Madee amezungumza hayo baada kutoa burudani yenye viwango vya kitamtaifa katika...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera: Msitupangie cha kuzungumza kuhusu Rais Samia

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani ametoa wito kwa vijana kuendelea kuyasema mema na mazuri yanayofanywa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan bila uoga kwani kazi aliyoifanya kwenye nchi yetu kwa miaka minne ni ya mfano na hakuna sababu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Rais Samia na CHADEMA wakiwamo wadau wengine ni kuwa: "yeye hataki uchaguzi wa haki." Nani wa kumfunga paka kengele?

    Baada ya kuufutilia mzozo huu ambapo siyo siri pana wengi wamepoteza maisha, wengi wamepotezwa na sasa waziwazi wengi wameumizwa na wengine akiwamo TAL, bayana wapo magerezani: Kwamba tatizo ni mama wala si CCM, yeye hataki kusikia uchaguzi wa haki: Jamani nani asiyejua tofauti ya haki na...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akitunuku Nishani ya Muungano na kuzindua Kitabu cha Mwalimu Nyerere, Aprili 26, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=23-o0syH4ws Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitunuku Nishani ya Muungano na Kuzindua Kitabu cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo tarehe 26 Aprili, 2025. Matukio mbalimbali katika uzinduzi wa...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni lini umewahi kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan akizungumzia mambo haya?

    Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan. Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi? Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 4,887

    Katika kuadhimisha Miaka 61 ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu ametoa msamaha kwa wafungwa 4,887, ambapo wafungwa 42 kati yao wanaachiliwa huru leo, na wafungwa 4,845 wanabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobakia baada ya kupewa msamaha. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya...
  15. Bams

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Awaahidi Wananchi Uchaguzi Mkuu Utakuwa Wa Amani, Huru, na Wa Haki, Kama Ulivyokuwa wa Serikali za Mitaa 2024

    Hotuba ya Rais Samia, jana usiku, pamoja na mambo mengine, aliongelea kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, akisema kuwa Serikali yake itahakikisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa wa amani, huru na wa haki. Maneno haya pia Rais Samia aliyatamka mwaka 2024 wakati akiwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye...
  16. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tahakiki ya Hotuba ya Rais Samia ya Tarehe 25 Aprili 2025: Muundo, Maudhui, Mabaya, Mapengo Na Mapendekezo

    Mazingira, muundo, maudhui, mabaya, mapengo na mapendekezo kuhusu hotuba ya Rais Samia ya tarehe 25 Aprili 2025: Mazingira ya hotuba Hotuba ya Rais Samia imeandaliwa, na inapaswa kutathminiwa, katikati ya mazingira yafuatayo: Msimu wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na mwadiwani inakaribia...
  17. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Ijue Practical Meaning na Nafasi ya Resilience Katika 4Rs za Rais Samia

    Kama Watanzania tujuavyo, Resilience ni moja ya 4Rs za Mama Abdul. Alipokuja na hili neno, nilijiuliza maswali mengi, katika kutafakari na kujaribu kufumbua fumbo. Mwisho wa siku, niliamua kucheza mchezo wa wait and see—time will tell. Neno Resilience linatokana na neno la Kilatini (Latin)...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanamke mhanga kati waliopigwa Mabwepande asimulia kwa machozi ya uchungu walivyokamatwa na kuteswa

    "Naitwa Pendo, Jana nilitoka nyumbani kwa ajili ya kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya Lissu, niliwahi sana kufika mahakamani, nikakuta akina Pambalu, Mwaipaya na viongozi wengine. Tulishauriana turudi ili tukawasaidie waliochukuliwa getini. Tulikuta dada yupo chini, juu yupo uchi, nikatoa...
  19. Richard

    JamiiForums Tanzania Yanotokea Tanzania kwa sasa na ile kanuni ya 15-7-15 ya kujishirikikisha. Ombi kwa Raisi Samia, kemea yanotokea

    Baadhi ya watu au Kundi kubwa la watu ndani ya tawala wa raisi Samia Suluhu Hassan wameamua kwa azimio moja chini ya uangalizi wa chama cha Mapinduzi CCM kuwadhuru, kuwaua, kuwatesa na hata kuwapoteza kabisa wanachama, wafuasi na wapenzi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. Huko nyuma...
  20. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Muacheni Rais Samia. Ni kama Mzazi awekaye akiba za Wanae

    Nikiwa kama kada mtiifu na muaminifu kwa JMT, nasema acheni kumsimanga na kumshushia lawama Mh. Rais kuwa anatumia madaraka vibaya. Vipi wewe kwa upande wako, endapo ungepata nafasi ya kuwa kiongozi mwenye cheo cha juu namna hii usingethubutu kuweka akiba ya baadae kwa ajili ya watoto wako...
Back
Top Bottom