rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Yanotokea Tanzania kwa sasa na ile kanuni ya 15-7-15 ya kujishirikikisha. Ombi kwa Raisi Samia, kemea yanotokea

    Baadhi ya watu au Kundi kubwa la watu ndani ya tawala wa raisi Samia Suluhu Hassan wameamua kwa azimio moja chini ya uangalizi wa chama cha Mapinduzi CCM kuwadhuru, kuwaua, kuwatesa na hata kuwapoteza kabisa wanachama, wafuasi na wapenzi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. Huko nyuma...
  2. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Muacheni Rais Samia. Ni kama Mzazi awekaye akiba za Wanae

    Nikiwa kama kada mtiifu na muaminifu kwa JMT, nasema acheni kumsimanga na kumshushia lawama Mh. Rais kuwa anatumia madaraka vibaya. Vipi wewe kwa upande wako, endapo ungepata nafasi ya kuwa kiongozi mwenye cheo cha juu namna hii usingethubutu kuweka akiba ya baadae kwa ajili ya watoto wako...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya rais Samia: Mkuu wa nchi akitoa hotuba mjitahidi kusikiliza na kutoa ushauri, sio matusi

    Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri. Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii. Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta. Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu kwa rais Samia kuhusu uchaguzi ujao

    Mheshimiwa Rais Daktari, mbemba maono, kipenzi cha Watanzania Samia Suluhu Hassan, Naomba unijibu maswali haya kuhusiana na msimamo wako juu ya uchaguzi ujajo uliosema utakuwa wa amani. Amani vipi bila maridhiano ya namna ya kuufanya? Amani vipi wakati polisi wanatumika vibaya na kinyume cha...
  5. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Hakuna aliye juu ya sheria na wote tunatakiwa kuendesha shughuli zetu za kisiasa, tukizingatia amani na usalama wa nchni ni kipaumbele

    Niwatake viongozi wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa, "Tuzingatie taratibu na sheria za nchi, Uchaguzi huu uwe ni fursa ya kuimarisha zaidi umoja na demokrasia yetu ili tupate viongozi bora na walio imara. Kamwe tusiruhusu uchaguzi huu kuwa chanzo cha migogoro, chuki mivutano na uvunjifu wa...
  6. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tutafanya kila tuwezalo kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa utulivu na amani ili kuwa na uchaguzi huru na wa haki

    "Ndugu wananchi mwaka wa sitini na moja wa muungano wetu umeangukia kwenye mwaka tunaokabiliwa na jambo kubwa la kidemokrasia nchini. Tutafanya uchaguzi wa kuwachagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi, wabunge wa bunge la Jamhuri ya...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: 4R zisitumike kama kisingizo cha kuvunja sheria

    Rais Samia Suluhu Hassan anategemea kulihutubia Taifa saa mbili kamili usiku wa leo, Aprili 25, 2025. Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama! Updates.... Rais...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Wanawake mchague Rais Samia, amewapigania kimatendo

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewaomba wanawake kote nchini kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha ushindi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Ilazo jijini Dodoma...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Eric Shigongo: Siwezi nikajivuna kwamba nimejenga shule, ni Rais Samia ametekeleza

    Mbunge wa jimbo la Buchosa Anasema yeye hawezi kujivuna kwamba amejenga shule kwa sababu hana fedha za kutoka mfukoni kwake za kujenga shule bali fedha zimepelekwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na yeye ndiye anayestahili kusifiwa. Pia soma: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: 4R za Rais Samia zimeaksi tabia ya Baba wa Taifa

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema falsafa ya 4R ya Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeakisi sawa sawa tabia ya Mwalimu Nyerere katika dhamira na namna ya kuliongoza taifa la Tanzania...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, wewe ndiye Rais, Usitishwe na Wahuni waliojaa Ndani ya Dola

    Wasikudanganye Kwa Wimbo wa Amani bila HAKI. Wasikudanganye kwamba Upinzani unataka kuleta Machafuko . Wasikudanganye kwamba, Ulifanya Mabadiliko tu Nchi inaingia vitani. Wasikutishe, Wasikutishe . Inawezekana pengine, wameshakuweka kiganjani kwa kukupa Keki ya Miaka Mitano na wakakuapia Kwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Rais Samia?

    Uko wapi mama yangu kwenye vilio na misibani hatukuoni Mbwa wako wakali uliowapa mafunzo huko ulaya ambao unawalisha kwa fedha ulizotuchangisha kwa maguvu mbona Sasa wanawang'ata na kuwaparura wenetu!! Nilifikiri utaitikia Ile milio mikali ya kengele za kanisa zilizotishia kupasua...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mmekuwa watu wa kucheza na dola mkijua Rais Samia atakuwa mtu wa kuwafutia kesi!

    Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuingia madarakani mwaka 2021 na kuombwa sana na Wanachadema na makundi mbalimbali kwenye jamii kuhusu kufutiwa kesi ya Ugaidi iliyokuwa inamkabili Mh Freeman Mbowe na wenzake,kwa hekima kubwa na kulinda 4R's zake alifanya hivyo! Kupitia kwa Mzee Jakaya Mrisho...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu

    John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu "Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa Raia na amezaliwa Marekani angelazimishwa Kugombea Urais na angepita na kushinda kwa kura nyingi sana kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiiangalia Marekani ya Sasa unaona wazi kabisa kuwa inamhitaji sana mtu na kiongozi aina ya Rais Samia. Ilikuwa inahitaji kuwa na Samia wake kwa sasa wa kuweza kuiongoza Marekani. Marekani hii ambayo imeshindwa Kumaliza vita vya ukrein pamoja na mauaji kule Gaza...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia abeba gharama za Simba Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch, Aprili 27, 2025...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023 Chamwino Dodoma Aprili 23, 2025

    Rais Samia akizindua Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023 Chamwino Dodoma Aprili 23, 2025 https://www.youtube.com/live/po15xrrRr54?si=lMhXCak4Dxa0aCp1
  18. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Wanavyuo tunaposema tunamuhitaji Rais Samia arudi madarakani tuna hoja za msingi

    Vijana haswa hawa viongozi wa chuo wanajisahau sana baadaye wakirudi mtaana wanaanza kulalamika tena kwa hivi sasa wana platform wanaishia kuimba mapambio. === Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za elimu ya Juu Nchini Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na viongozi WA Serikali y Wanafunzi...
  19. Tanzanized S

    JamiiForums Tanzania Kumkamata Heche ni uonevu wa Samia kwa wapinzani wake, Hili linadhihirisha Samia Hafai Kuliongoza Taifa hili

    Katika taifa linalojivunia kuwa la kidemokrasia, uhuru wa kujieleza na usawa mbele ya sheria ni nguzo kuu zinazopaswa kulindwa kwa nguvu zote. Hata hivyo, hali halisi ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imeanza kufifisha matumaini ya Watanzania wengi waliotamani kuona enzi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa Heche na kuwekwa gerezani Tundu Lissu

    Tusimumunye Maneno: Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa kwa John Heche na kuwekwa gerezani Lissu . Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye...
Back
Top Bottom