rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Rais Samia hashauriki au ana washauri wabaya?

    Kinachoendelea hivi sasa nchini Tanzania inaonyesha aidha rais Samia Suluhu Hassan hashauri (haambiliki) ama ana washauri wabaya wanaompotosha Kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhani ni jambo la kushangaza ambalo linaonyesha pengine lengo ni kudhibiti kasi...
  2. D

    Rais Samia: Ua zuri liliochipua katikati ya ziwa Victoria

    Katika kina cha Ziwa Victoria ziwa kubwa kabisa barani Afrika, lenye mawimbi yasiyotulia na upepo wa ghafula ni nadra kuona ua likimea katikati ya maji, likadumu, na zaidi likachanua kwa uzuri wa ajabu. Hilo ndilo fumbo la uumbaji, na huo ndio mfano halisi wa Rais Samia Suluhu Hassan ua zuri...
  3. Moja ya Mazuri ya Samia ni kufungua nchi kwenye Ajira. Kilichomtoa Mchezoni ni Mambo ya Utekaji na Mauaji ambayo serikali yake imeshindwa kutoa jawabu

    Mpo Salama! Hata wanaomchukia wanakiri kuwa Rais Samia alipoingia aliwatia katika wakati Mgumu. Kwanza, aliamua kufuata Haki ya watu kuwa Huru Kujieleza. Hiyo nilimpa Big tick! Katika haki hiyo wapo waliomzodoa na kumkabia kooni kwa namna Mbalimbali. Wengine wakimvunjia heshima Kama Rais wa...
  4. Rais Samia yupo sahihi kwenye maamuzi yake kwa asilimia mia ( Nalia na wanaoitwa "Wasomi" wa Tanzania wanao mpinga Samia)

    Ndio maana mara kwa mara nimekuwa nikiandika nyuzi hapa kukosoa watu kulipa mamilioni kwenye shule zinazo fuata mtaala wa Necta( EMS) kwa sababu there is nothing worth paying there. Wasomi wa Tanzania shuleni huenda kukariri masomo wafaulu mitihani waajirike ( Sijasema watajirike ni...
  5. PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia wewe una mapenzi mema kwa nchi hii, na kwa Watanzania

    Mhe, Rais niliojitihada zako za kuratibu na kujenga miradi yote ulionza nayo na Hayati Magufuli, na uliniita ukaniambia tumeachana mzigo huu ni wetu sote pamoja na watanzania, ni lazima tutekeleza ili miradi hii kukamilika. Soma Pia: Uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) - Juni 19...
  6. PreGE2025 Rais Samia agawa Bahasha za Maokoto kwa wasanii Rayvanny, Saida Karoli, Harmonize uzinduzi wa daraja la Magufuli jijini Mwanza

    Rais Samia amegawa bahasa za fedha kwa wasanii mbalimbali wa muziki nchini, akiwemo Rayvanny, Harmonize na Saida Karoli, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo–Busisi) lililofanyika leo Juni 19, 2025 mkoani Mwanza. Wasanii hao walipewa bahasha za fedha baada ya kumaliza...
  7. Uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) - Juni 19, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=C_twIGs3KIM Rais Samia mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 pamoja na barabara zake unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66. Daraja hilo tayari lipo tayari kwa matumizi, likiwa ni miongoni mwa...
  8. PreGE2025 Wasira: Namshangaa Mbunge (Mpina) kusema Jimboni kwake bado wanamdai Rais Samia

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amesema amesikitishwa na mbunge (hamkumtaja jina) aliyesema anamdai Rais Dk. Samia Suluhu Hassan wakati wenzake hawana deni naye na kwamba mbunge huyo ameingia ‘choo ambacho sio chake. Soma > Mpina: Rais Samia jimboni Kisesa...
  9. Rai yangu Fupi Kwa Rais Samia

    Kwako MH Rais Wetu MH Samia S Hassan Awali ya yote pole Sana na majukumu ya Kitaifa ya kila siku Nikuombe Sana MH Rais ukipata muda uwe na Mkutano Mkuu wa Kitaifa na Wananchi wako,Iwe Dar es salaam, Dodoma au Zanzibar Agenda kuu itakuwa moja Tu, Kusikiliza maoni ya Wananchi na kuboresha...
  10. Rais Samia : Halmashauri zilegeze masharti ya Mikopo ya Asilimia 10% ili Vijana wengi wakopeshwe

    My Take Naunga mkono hoja. Mambo ya kulazimisha watu kwenye vikundi ni upuuzi,Wala myhamimishe mtu mmja mmja na wazamini wake Ili pesa imwagike watu wapige kazi. ============ Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wasimamizi wa mikopo ya halmashauri ya asilimia 10 kurahisisha masharti ya...
  11. Rais Samia: Wale Waliokuwa Wanatugawia Shilingi Shilingi Hazipo Tena,Watu Wote Walipe Kodi

    My Take Hakuna mjomba wa kukuletea maendeleo kila mmja awajinike kulipa Kodi "Juzi nilizindua Jengo la TRA ndani ya Mkoa huu (Simiyu) nikawasifia sana TRA ndani ya Mkoa huu kwa kufikia malengo ya ukusanyaji, sasa nirejee wito wangu kwamba wafanyabiashara wote kodi kwa maendeleo ya nchi yetu na...
  12. Mfanyabiashara wa Sudan Mo Ibrahim amkemea Rais Samia na Yoweri Museveni juu ya uonevu anaowafanyia upinzani. Atoa kauli hii

    Mfanyabiashara wa Sudan aliye na uraia wa Uingereza, Mo Ibrahim, amewataka Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Rais Yoweri Museveni wa Uganda waache kutumia vyombo vya dola kukandamiza wapinzani Akizungumza katika hafla ya Ibrahim Governance Weekend huko Marrakech, Morocco, Mo alikemea...
  13. PreGE2025 Rais Samia: Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika makusanyo

    Rais Samia wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu amesema ni lazima maendeleo yetu tujizatiti wenyewe. Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA wanajitahidi sana lakini kwa Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika...
  14. Mbona ni kama Rais Samia kaanza kampeni tayari?kwa nini hachukuliwi hatua na mamlaka?

    Huyu mtu anayoyaongea kwenye mikutano yake ni kama vile tayari kaanza kampeni. Naomba achukuliwe hatua tafadhali.
  15. R

    PreGE2025 Tangu Rais Samia atoe mipasho kwa Mpina Jana, Leo kila Mbunge anamwaga Sifa huko Simiyu

    Wakuu, Nilikua naendelea kufuatilia ziara ya Rais wetu uko kanda ya Ziwa akiendelea kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoa wa Simiyu, nimegundua leo Kila Kiongozi anamwaga tu sifa kwa Mama, wenda wanaohofia Kutenguliwa kama Mpina au wanaohofia Mipasho ya Mama? Hili limenisikitisha sana...
  16. R

    PreGE2025 Daudi Nyalamu asema Wilaya ya Itilima hawamdai Rais bali anawadai wao na October Wanatiki

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Daud Nyalamu amesema kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo wilayani humo, wao hawana deni kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, bali wanamhisi anawadai wao na wamejipanga kuhakikisha...
  17. Bashe na rais Samia wanafahamu ubaya wa Mpina kuliko wananchi waliomchagua??

    Tuseme kidogo juu ya Waziri Bashe, aliyesoma Ushirika, lakini anapenda aitwe ni mchumi. Aliingia wizara ya Kilimo kwa nadharia mfu za BBT. Akapiga keleleee! Eti akukusanya vijana mijini ili wakalime Dodoma! Yaani wakalime Dodoma! Gharama kubwa za kutia mashaka zikatumika kujenga miradi ya BBT...
  18. M

    Rais Samia ujue ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha

    Rais Samia ujue kabisa ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha hata ni kwa gharama ya kuwafukuza ccm watakuwa tayari. Malezi ya watoto kanda ya ziwa na malezi ya watoto kanda ya Pwani ni vitu viwili tofauti. Kanda ya ziwa baba ndiyo kiongozi wa familia na...
  19. PreGE2025 Rais Samia akiweka jiwe la msingi kwa niaba ya shule zote 103 za sekondari za Amali nchini

    Wakuu, Rais Samia anaendelea na ziara yake katika mikoa ya huko Kanda ya Ziwa. Baada ya jana kutoa spana kwa Mpina, je leo ataruka na nani? https://www.youtube.com/live/Ylw1BFOHbvw?si=z6Jvqsf1Txr1fUZk
  20. Rais Samia angekuwa anakubali kukosolewa na wale anaodhani wanamchukia na kutoukubali mtandao wa Machawa unaommiliki huenda angekuwa Rais bora Afrika

    Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…