rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania siyo tena chanzo cha malighafi pekee, inakuwa kituo cha kuongeza thamani na uzalishaji wa viwandani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa taasisi za fedha duniani pamoja na wawekezaji wa kimataifa kushirikiana na Tanzania, akisisitiza kuwa Tanzania inapiga hatua kubwa kutoka kuwa muuzaji wa malighafi pekee na sasa inakuwa kituo kikuu cha kikanda cha...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mivutano na hali ya uchumi duniani inailazimu Afrika kujenga uchumi imara na unaojitegemea kwa kuongeza thamani kwenye rasilimali zetu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa mataifa ya Afrika kuongeza thamani ya rasilimali zake na kuimarisha miundombinu ya kikanda ili kujenga uchumi imara na unaojitegemea katikati ya changamoto na msukosuko wa kiuchumi duniani. Akizungumza leo, Agosti 05...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Zote Zinatoka Kwa Mungu Mwenyewe. Huwezi Kuwa RAIS Kama Haijapangwa Na Mungu. Urais Wa Rais Samia Umetoka Kwa Mungu Mwenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Amini Nawaambieni Ya Kuwa Huwezi Kuwa Rais wa Nchi Hii Kama Haikupangwa Na Mungu toka katika Ulimwengu wa Kiroho hata kabla ya kuzaliwa Kwako. Huwezi Kuwa Rais Kama Hujapewa Kibali na Mungu. Huwezi Kuinuka Na kuinukia Kwenye Urais kwa Mbinu zako na mipango yako Bila ama...
  4. JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidiwa...
  5. JamiiForums Tanzania KWELI Rais Samia amesema tumekopa mkopo huu, lakini mtalipa nyie

    Kume Kuwepo na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, iki ambatana na nukuu inayodai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alisema: "Tumekopa mkopo huu, lakini mtalipa nyie.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Angola, aambatana na Mama Maria Nyerere kuzindua hospitali ya Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi ya kuilinda Tanzania ni yetu sote!

    Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika mkutano na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika leo, Julai 30, 2026, jijini Dar es Salaam, amesema jukumu la kuilinda Tanzania ni la kila Mtanzania. "Kazi ya kuilinda Tanzania ndugu zangu ni yetu sote." "Hii si nchi ya mmoja kama naavyoongea. Ni...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kisiasa tuko vizuri lakini mwenzetu mmoja bado anaendelea kutafakari, tunaendelea kupokea masharti yake!

    Rais Samia katika kikao na vyama vya siasa leo Julai 30, 2026 amesema hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa nzuri, akibainisha kuwa licha ya hali hiyo, bado kuna upande mmoja ambao unaendelea kutafakari msimamo wake kuhusu masuala ya kisiasa Kwa upande mwingine kisiasa kama mnavyoona tuko...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Julai 30, 2026, amekutana na viongozi wa vyama vya siasa Ikulu jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa hali ya kisiasa nchini inaendelea vizuri na kuimarika isipokuwa bado bado serikali inaendelea kupokea matakwa kwa mmoja wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna mwenye hati ya kusema hii nchi ni yangu nitafanya ninavyotaka

  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Mwanzoni nilikudhania utakuwa na utaratibu wako wa kupata taarifa bila kufuata machawa, hapa kati umepoteana endelea na utaratibu wako

    Niliwai kiwadokeza hapa members sita ambao Rais anafuatulia michango yao, ila sikutaja ID zao ila 4 walikuwa wanampinga sana na alikuwa anaandika sehemu anachosoma 2021-2023, wawili ni wale wasiokuwa na upande, cha kushangaza gafla sijui alikuwa busy?Nilipoandika Machawa wakasema hana muda wa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezugumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 30 Julai, 2026.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ni Jasusi Mbobevu na Ndio Maana Amekuwa na Utulivu Mkubwa Wa Ulimi Kabla ya Kufanya Maamuzi na Kutoa Maneno Kinywani Mwake

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Ni Jasusi Mbobevu aliyepikwa na kupikika. Ameiva na kukomaa kisawasawa. Ndio Sababu ya Kuona akiwa mtulivu sana katika Ulimi wake na katika Kufanya Maamuzi ya aina yoyote ile Kama Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Ya...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia amewaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, Julai 27, 2026

    Rais Samia kuapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 27, 2026 =============== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Latifa Mohammed Khamis kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano kwenye hafla iliyofanyika...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia aacha alama kwa watu

    Kaya 470,195 zilizokuwa masikini wa kutupwa, zaaga umasikini, zajitegemea Watu wanaomiliki makazi bora nao waongezeka, fedha TASAF zikiongezwa Ni mwendelezo hatua za kusaidia familia masikini hadi kwenye elimu ya juu
  16. K

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia hii nchi ingejifia kitambo sana,Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

    Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana...
  17. JamiiForums Tanzania Chama cha Kutetea Taaluma Barani Africa (ACACAF) kimemwandikia barua Rais Samia ya kutaka kuachiliwa mara moja wahadhiri watatu wanaoshikiliwa

    Muungano wa Kutetea Uhuru wa Taaluma Barani Afrika (ACAF) umemwandikia barua rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ukitaka kuachiliwa mara moja kwa wahadhiri watatu wa vyuo vikuu wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa zaidi ya siku 17 bila kufikishwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Samia ni balaa. Aondoka uwanjani kimyakimya kwa mwendo wa kikomandoo bila kuzungumza neno lolote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Ninafurahi Sana tena sana ninapomuona Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Moja kwa moja Ama live katika Shughuli mbambali na majukumu ya Kitaifa . Ni Rais Ambaye Hachoshi kumfuatilia Mambo yake . Ni Rais Ambaye unatamani Umuonage...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ndiye Kabeba Hatima Ya Taifa Hili Na Maisha ya Watanzania. Tuendelee Kukesha Tukimuombea Afya Njema Na nguvu za Kutuongoza

    Ndugu zangu Watanzania, Hatima ya Taifa Hili Ipo Mikononi Kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hatima ya Maisha na ubora wa Maisha ya Watanzania Upo Mikononi Mwake. Afya za Watanzania,ajira kwa vijana, Bei za Mazao ya...
  20. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kutupa makamu anayekuwakilisha vema, kwa sasa hatukudai

    Hongera Dr.Nchimbi kwa kumuwakilisha vema Rais wetu kipenzi cha watu Dr.Samia Suluhu Hassan hakika haikuwa bahati mbaya kuwa mteule wake. Kiukweli leo umegusa mioyo ya watanzania wengi. Umeiambia dunia kuwa Tanzania ni nchi inayothamini haki ya kila mtanzania ili kudumisha amani na mshikamano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…