rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ateka Anga La Siasa Za Tanzania. Kila Sehemu ni Yeye Tu Mitandaoni. CHADEMA na Lissu Wao Hakuna Mwemye Habari Nao

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia Anakubalika ,kupendwa,kuungwa Mkono na Kufuatiliwa kila hatua apigayo . Rais Samia ndiye Habari kuu na habari ndiye yeye . Kuanzia vijiweni, mitaani, Magengeni na kila Sehemu yenye Mkusanyiko Wa watu habari Kuu ni Rais Samia tu na shughuli anazozifanya. Rais...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC, ili kuepusha upotoshaji toeni kauli rasmi kwa umma ya mlichojadili na Rais Samia jana Ikulu. Waumini wenu tuna haki kujua mlichopatana

    Tumsifu Yesu Kristo Ma - Baba Askofu wetu wa TEC! Nawaandikia haya kama mshirika na muumuni mwaminifu wa kanisa Katoliki ambaye ni muathirika wa utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake haramu ambayo inahusika na mauaji ya maelfu ya watoto wetu, dada na mama zetu, na baba zetu hapo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Uchaguzi mwa Mwaka huu Wazanzibar wote tulishakana, ndio maana ikapandisha asilimia hadi 97

  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Agosti, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference - TEC), Ikulu ya Chamwino, mkoani...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ndiye Sauti Ya Afrika Na Mwafrika na Ambayo Ikizungumza Sauti yake inasikika,Kusikilizwa na Kuheshimika Vyema. Ndio Maana Tunapokea Wageni

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ndiye Sauti ya Afrika na Mwafrika kwa Sasa .Ndio sauti ambayo ikizungumza inasikika ,kusikilizwa na kuheshimiwa na watu wote. Ndio Nguvu ya Muafrika na ndio Tumaini la Bara letu. Kwa miaka ya Hivi karibuni Afrika...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuhudhuria Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, Agosti 17 2026

    Durban, South Africa SAMIA KUHUDHURIA Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, tarehe 17 Agosti 2026 Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) itaitisha Mkutano wake wa Kawaida wa 46 wa Wakuu wa Nchi na Serikali mnamo tarehe 17 Agosti 2026...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu

    Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuimarisha nafasi ya Tanzania katika kuchochea mageuzi ya kiuchumi barani Afrika baada ya nchi kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Rais samia na serikali yake wamekaidi maelekezo ya Jumuia ya madola kumuachia Tundu Lissu?

    Lissu bado anazidi kushikiliwa na kuburutwa mahakamani bila kosa ambalo litaweza kuthibitika.Siku thelathini walizotoa jumuia ya madola zinaisha leo.👇
  9. L

    JamiiForums Tanzania Itatuchukua Miaka Mingi saana Kumpata Rais Mchapakazi Aina ya Samia Anayeshinda na Kukesha Akifanya Kazi. Maisha Yake Ni Sadaka Kwa Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Anachofanya na kukifanya Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa Sasa ni Zaidi ya Uwajibikaji ,Ni Zaidi ya Kujitolea, ni zaidi ya kutimiza Majukumu yake ,ni zaidi ya kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba ,ni zaidi ya kutumikia nafasi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia aielekeza TAMISEMI kusimamia huduma za Ugani kwa tija na ufanisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo pamoja na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kuhakikisha Wakala wa Huduma za Ugani (NAESA) unatekeleza majukumu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watanzania tuwe macho dhidi anayetaka kutugawa, kutuchochea na kututumia kuhatarisha amani na utulivu tulionao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuendelea kulinda na kudumisha amani, usalama na utulivu wa nchi, akieleza kuwa ndio msingi mkuu wa maendeleo na mafanikio yote yanayopatikana katika sekta mbalimbali, ikiwemo kilimo, mifugo na uvuvi. Akizungumza...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mwanri: Rais Samia songa mbele usiwe na wasiwasi, Watanzania nchi nzima wako nyuma yako

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Aggrey Mwanri, amewahakikishia Watanzania na viongozi wa kitaifa kuwa chama hicho kinasimama kidete nyuma ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza juhudi za kuleta maendeleo nchini...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 UVCCM: BAVICHA wanamvunja moyo Rais Samia, wanapotosha kuhusu Tume

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amewakosoa vikali baadhi ya vijana hasa wale wa CHADEMA kwa kile alichokiita kejeli na kubeza hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Ghasia na Ukiukaji wa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaweza Kuongoza Taifa Kwa Mafanikio Makubwa Hata Bila Katiba

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile . Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamuomba Rais Samia fursa ya kusafiri naye nje ya nchi. Awakubalia

    Katika hatua ya kuimarisha ukomavu na maridhiano ya kisiasa na ushirikishaji nchini, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekubali ombi la viongozi wa vyama vya upinzani la kuambatana naye katika safari zake za nje ya nchi. Hatua hiyo imepokelewa kwa furaha na wadau...
  16. JamiiForums Tanzania Mtihani umetunga mwenyewe, ukaufanya, ukasahihisha mwenyewe umepata marks za juu, saivi unatafuta marafiki zako wachunguze kwanini?

    Kumbuka mtihani umetunga mwenyewe, ukaufanya mwenyewe, ukasahihisha mwenyewe umepata marks za juu, saivi unatafuta marafiki zako wachunguze kwanini umefaulu sanaa?😄😄hii dunia banaa! Soma Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana. Tume inakwenda...
  17. R

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Watu wote wa Dar es Salaam tuseme asante kwa Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wakazi wa Mkoa huo wana kila sababu ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutokana na maendeleo yaliyofanyika katika miradi ya mabasi ya mwendokasi. Chalamila amesema hayo Agosti 7, 2026 katika hafla ya kufungua na kutembelea mradi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watanzania tuisaidie Tume iweze kufanya kazi yake na TUSIISUMBUE

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania kutoa Ushirikiano kwa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, maarufu kama Tume ya Jaji Lila. Amesema hayo leo Ahosti 7, 2026 katika...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tume imepewa muda wa miezi mitano kutekeleza majukumu yake na kuwasilisha ripoti rasmi

    Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, uliofanyika Leo Agosti 7, 2026 Ikulu ya Dar es Salaam, Rais Samia ameeleza kuwa Tume hiyo imekabidhiwa hadidu za...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana. Tume inakwenda kutafuta nani walichochea, waliotoa fedha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 07, 2026, amezindua rasmi Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Rais Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…