rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    Polepole amshauri Rais Samia Kujaza Fomu za Maadili za viongozi na Mali zao ! Ashangaa kama Magufuli alikua anajaza , kwann Samia hajazi?

    Mwisho , ataja utakatishaji wa PESA KAMA matokeo ya Samia kutokwenda Kujaza Fomu hizo !!!
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Polepole: Mama wewe pumzika hautakiwi kugombea, lakini naona umeshupaza shingo, usitake Mungu akasirike juu yako

    Polepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
  3. Mkalukungone Mwamba

    Polepole: Rais Samia nakuheshimu bali sikuogopi

    Polepole: Rais Samia nakuheshimu bali sikuogopi na nitakwambia ukweli, ndio maana nilipojiuzulu nilisema wacha kwanza mama asitumie pesa yake anayowasimamia Watanzania kunilipa mimi wakati ni namkosa wakati nina muheshimu nikajiuzulu
  4. tonicimmobility

    Samia: Amos Makalla umekuwa kiongozi mzuri, kwa muda mfupi umeongoza kwa mafanikio makubwa kwa kukiunganisha chama chetu, sasa tumekuongezea jukumu

    Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, akiwemo Amos Makalla aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ili kuanza rasmi majukumu yao mapya katika utumishi wa umma nchini. Katika hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika Ikulu jijini Dodoma leo Agosti 26, 2025...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia alivyowaapisha Viongozi wateule, Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Agosti 26, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, tarehe 26 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  6. tonicimmobility

    Tetesi: Namna ambavyo anayesemekana kuwa Mtoto wa Rais Samia alivyompita Trafiki Polisi kwa dharau

    Miezi kadhaa iliyopita kuna tukio la askari usalama barabarani kusimamisha gari aina ya Rolls-Royce Cullinan Series II (Gari ya zaidi ya Billioni 2 za kitanzania) maeneo ya Masaki ila dereva akapita bila kusimama. Soma pia: Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza? Dereva wa...
  7. B

    GE2025 Samia Kuongea na wazee pamoja na wakuu wa Mikoa kesho 27 /08/ 2025

    RAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025 Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha jambo hilo leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu. Kihistoria utamaduni wa rais kuongea na wazee ni jukwaa...
  8. K

    Khamis Mgeja ashauri hukumu ya Malisa aliyofungua kupinga Rais Samia kugombea iwe fundisho kwa CCM

    SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kuifuta kesi ya Kikatiba ya Kupinga uteuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais Oktoba 29 2025, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kutaka kesi hiyo iwe fundisho kwa wana CCM wengine. Kada huyo wa CCM, Khamis Mgeja...
  9. tonicimmobility

    GE2025 Watu wa Arusha: Samia usichanganye siasa na mila hatutaki mazoea na wewe

    Wazee wa Arusha kabla hawajapitishiwa bahasha walikuwa siliasi kuikataa CCM na uongozi wa Samia lakini sasa hivi sijui nini kimewapata, ule ujanja akilini hawana tena. Wananchi wa kitanzania siku wakija kuacha kushibishwa kwa siku moja ili wauzwe maisha yao na vizazi vyao ndipo wataanza kuwa na...
  10. R

    GE2025 Wachimbaji madini: Anayechukia Rais Samia kusifiwa ajinyonge

    Wakuu, Haya sasa waliochangia kampeni wameanza kufoka huku, ila tunajua hii ni njaa tu baadae waweze kujitwalia fedha bila tozo ----------------------------- Wachimbaji wa Wadogo wa Madini Mkoa wa Singida wamesema Wataendelea Kumpongeza na Kumsifu Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa...
  11. henry_john

    Nishati safi kwa Watanzania

    Dkt.samia suluh hassn,kafanya kazi ya Upatikanaji wa Vifaa vya Nishati Safi kwa Wananchi: Kupitia kampeni za kuwahamasisha wananchi kutumia nishati safi, zaidi ya asilimia 75 ya kaya nchini zimeridhia kutumia vifaa vya kupikia vinavyotumia gesi au umeme wa jua kuanzia 2021. Serikali imeweza...
  12. M

    Mambo ya kutoeleweka kwa Rais Samia yalianzia kwenye sakata la CoviD 19 na mikopo yake, wakati halikuwa hitaji kwa wakati huo

    Mbona tayari mambo yalikuwa yashaisha? Kushitukia, tayari kukaomba mkopo sjui wa kufanya nini na wakati Korona ilikuwa tayari ishapita JPM hakutaka hiyo mikopo tena kwa wakati ambapo nchi ilikuwa ikistahili kuwekwa lockdown kwa hali ilivyokuwa Mpaka mambo yakawa shwari kabisa, kwa kuwa...
  13. Jamiitrailer

    Tujikumbushe: Jakaya Kikwete alisema ni muhimu mgombea urais 2015 awe na umri usiozidi miaka 60. Kulikoni leo aone sahihi kwa Samia mwenye miaka 65?

    "Mimi natamani rais wetu ajaye awe na umri kama wangu wakati nilpoingia madarakani wakati ule,..,umri wa miaka miaka 55..kwa sababu hizi kazi zinachosha sana ukiwa na umri mkubwa" Hayo ni maneno ya rais mstaafu Jakaya Kikwete katika uwanja wa majimaji ,Songea mwaka 2015 kabla ya dirisha la...
  14. Waufukweni

    GE2025 Ummy Mwalimu: Wajibu wetu ni kuheshimu taratibu za Chama, tumuunge mkono Kassim Amar Mbaraka na Rais Samia

    Baada ya Ummy Mwalimu baada ya Jina lake kukatwa kwe Ubunge Tanga Mjini, amesema ni wakati wa kumuunga Mkono Kassim Amar Mbaraka (Makubel) na kumpa kura za ndio Rais Samia
  15. R

    Samia apewe Tuzo kwa ukimya dhidi ya Polepole na Gwajima

    Wakuu habari, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Suluhu Hassan anastahili kupewa tuzo ya Rais mkimya na mwenye kiburi, asiyejali maoni na vuguvugu ya wananchi kuhusu usalama wa Taifa na uovu wa wanasiasa. Ni muda sasa tangu Polepole na Gwajima waibuke wakielezea mifumo mibovu ya...
  16. msuyaeric

    GE2025 Rais Samia atakavyopata Ushindi Kupitia Wagombea wa Ubunge wa CCM

    Uchaguzi Mkuu wa 2025 unakaribia. Rais Samia Suluhu Hassan anaonekana kuwa na nafasi kubwa ya kushinda na moja ya silaha zake kuu ni aina ya wagombea ubunge waliopitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wagombea Wenye Ushawishi CCM imepitisha wagombea wanaopendwa na wananchi na wenye historia ya...
  17. Mtu wa Majira na Nyakati

    Ikiwa kaka yake John Heche wa damu ni Mwanasheria anayefanya kazi na Rais Samia Suluhu Hassan , je mnafikiri kipi kinaendelea!?

    Watanzania mnatumika na mtaendelea kutumika Sana. Hawa wote sijui Heche , Sijui Lissu, Sijui Polepole , sijui Ccm . Ni kupoteza Muda . John Heche Kaka yake wa Damu ni Mwanasheria ambaye yupo Ikulu , hiyo Pekee inaonesha wazi kuwa hawa watu hawapo kwa ajili yenu.
  18. tonicimmobility

    Kwahii speed hii ya Polepole hawa kuku ngbendu wa za BANGA hii miezi 2 wataiona miaka 30

    Polepole sio pole tena, usiku huhuu tayari kashawalipua CCM na mume wao Rostam Azizi. Utajiri wa nchi anakabidhiwa Rostam alafu utamskia mama anasema analinda mali za nchi kwa maslahi mapana ya umma, Polepole anauliza maslahi gani hayo mapana? Leo katukumbusha tena kuwa tumeuzwa tumepigwa bei...
  19. Msanii

    Rais Samia anasemaje kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa Mtandao?

    Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje. Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa. Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa Wanamtandao? Tunawaona Tunawajua Hawajifichi. Atupe majibu maana...
  20. funaku

    Rais Samia akumbushia kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje

    Hili ni angalizo kali sana na linapaswa kutiliwa maanani. wapo wanaotaka amani iharibiwe kwa maslahi yao huko ughaibuni.kamwe tusiingizwe kwenye mtego huo
Back
Top Bottom