rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia Hassan anamwambia nani kazi iendelee na ni kazi gani hiyo?

    Mara tu baada ya kushika kiti cha Urais kwa kula kiapo, Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu alisema 'kazi iendelee'. Na kufanya msemo huo kuwa mwitikio wa salamu ili msemo huo udumu na kusikiksa mara kwa mara. Sasa kuna maswali yafuatayo: Kwa kuzingatia lugha ni kwamba kazi hiyo si zaidi ya moja...
  2. M

    Bashe: Rais Samia ametoa Sh700 milioni ujenzi skimu ya Usense mkoani Katavi yenye urefu wa 7.5km

    Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia ametoa Sh700 milioni kwa ajili ya ujenzi wa skimu ya Usense na kuboresha uzalishaji wa zao la mpunga linalolimwa katika skimu hiyo iliyopo Kata ya Uruwira Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi. Naibu Waziri wa...
  3. Rais Samia apongeza kuanzishwa kwa kituo jumuishi mahususi kwa kushugulukia mashauri ya kifamilia

    RAIS SAMIA APONGEZA KUANZISHWA KWA KITUO JUMUISHI MAHUSUSI KWA KUSHUGULUKIA MASHAURI YA KIFAMILIA Na Mwandishi Wetu 06/10/2021 🇹🇿🇹🇿 Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi hizo leo Jijini Dodoma wakati akizindua vituo jumuishi vya utoaji haki. Mahakama Kuu imeanzisha kituo jumuishi...
  4. J

    Kwanini Sweden (Sida) hawakutupa pesa FY2020|21 na badala yake wametupa FY2021|22 mwaka mmoja baadaye?

    EPforR I ilitoa TZS 208b kwa JK mwaka FY2014|15 to 2020|21, why EPforR II imetoa TZS 196b kwa Rais Samia FY2021|22 mwaka mmoja baadaye,Je waligoma au hawakuwa na pesa? ============== Katika kile kinachotajwa kama Kuimarika kwa diplomasia ya Uchumi na ukuaji wa demokrasi na Utawala wa sheria...
  5. Rais Samia awataka wadau wa mfumo wa Haki kuzingatia Sheria

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema pamoja na ujenzi miundombinu ya utoaji Haki, mafanikio yanayotarajiwa hayawezi kupatikana endapo wadau wa mfumo huo hawatofanya kazi kwa kuzingatia Sheria. Ameeleza, "Tunaweza kuwa na majengo mazuri na mfumo bora wa TEHAMA, lakini kama Mahakimu, Majaji na...
  6. Walimu: Rais Samia atatuponya madonda

    Walimu wenzangu, tujipongeze kwa kuelimisha Taifa leo tunaposherehekea Siku ya Walimu. Ndugu zangu, tuko na madonda mengi, mengi yakihusiana na Serikali yetu. Nani hajui kuhusu madeni tunayodai? Nani anajiweka nje ya ukweli kwamba sisis ni miongoni mwa wafanyakazi wa Tiafa hili ambao kwa miaka...
  7. Rais Samia aagiza tozo za mafuta kupunguzwa

    Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta hapa nchini zenye thamani ya Sh102 bilioni kwa mwaka, kwa lengo la kupunguza bei za mafuta na kuwapa unafuu wananchi. Rais Samia ametoa agizo hilo leo...
  8. Rais Samia aagiza kushushwa tozo kwenye bidhaa za mafuta

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo...
  9. Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

    Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita, "Hakuna kama Samia " Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo endelevu Watanzania hawa masikini...
  10. Malalamiko kwa rais Samia: Serikali inawanyima ajira wenye Digrii na kuwapendelea Fom 4 na Stashahada

    Habari wadau! Kuna malalamiko yameibuka siku za karibuni kwamba serikali inawabania wahitimu wa vyuo wanagawa ajira kwa form 4 na Diploma watu wenye digrii wanatoswa, sababu kibao zimeelezwa moja wapo ni kuogopa gharama za kulipa mishahara ya wenye digrii. Naomba rais wa JMT swala ili...
  11. U

    Rais Samia afanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Septembea 04,2021 amefanya mazungumzo kwa nija ya Mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta ya Royal Dutch Shell PLC) Bwana Ben Van Beurden Viva Mama Samia Viva CCM Kazi Iendelee ===
  12. Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania

    Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha. === Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa...
  13. Peformance appraisal, Rais Samia amepata 100

    Kipimo cha uwezo wa sehemu ya kazi hupimwa kwa kitu kinachoitwa Perfomance appraisal. Tangu ashike madaraka Rais wa Tanzania wa awamu ya sita ni wazi amescore credit zote 100. Mosi kuweza kumaintain uendelezwaji wa miradi mikubwa ya kimkakati kama vile SGR na Bwawa la Nyerere huku makusanyo ya...
  14. M

    Kwa hili, Rais Samia apongezwe

    Jana Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitangaza kuwa katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021/22, serikali imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi trilioni 5.151, ikiwa ni asilimia 94 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 5.462. Kiwango hicho cha makusanyo ni ukuaji wa asilimia 17.4...
  15. J

    Je, Rais Samia na PM wameamua kutumia usafiri wa umma ku-cut cost kwenye ziara zao? | Majaliwa alitua Kigoma kwa Precision, Rais akaondoka na Emirates

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Katika kile kinachoonekana kuishi na kufanya|kutenda Kizalendo kwa Rais na Waziri Mkuu wetu Mhe Majaliwa Khasim Majaliwa pamoja na kwamba Tanzania tunajumla ya ndege mpya 11 wao wameamua kwenye baadhi ya shughuli zao za kiserikali zinazotumia gharama kubwa ya ndege...
  16. Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

    Rais Samia bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara ameweka rekodi mpya ya ukusanyaji mapato | TRA yakusanya kodi ya TZS 2T mwezi Sept 2021,kazi iendelee|| "Hakuna kama Samia " Wakati Hayati Rais Mkapa anaondoka madarakani Serikali yake ya awamu ya tatu ilikusanya wastani wa Tshs 322BL kwa...
  17. Rais Samia, Mkuu wako wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Khalfan Haule amuweka ndani Afisa Elimu Wilaya kinyume na Maelekezo yako

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma amemuweka ndani Polisi Afisa Elimu wa Wilaya ya Musoma Mwl Kalugendo kwa uonevu ati kwa sababu Afisa Elimu huyo alichelewa kuhudhuria Kikao chake cha Chama kilichopangwa kupokea taarifa ya Maendeleo ya Wilaya ya Musoma. Mkuu huyu wa Wilaya anaenda kinyume na Maelekezo...
  18. Bahati iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania

    Je! Ninyota! Nibahati au Niwakati tu wa Rais Samia Suluhu kuwa juu umefika? || Nineema iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania zinazohitaji pesa, "Hakuna kama Samia" Bara la Africa linauza nje ndizi zinazofikia thamani ya zaidi ya $4.3bl karibu Tshs 10trilioni,Wakati 50% ya ndizi...
  19. J

    Machinga: Rais Samia amesema tupangwe vizuri hajasema tuhamishwe kama inavyotafsiriwa na watendaji!

    Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini. Source: ITV Malumbano ya Hoja
  20. Humphrey polepole na King msukuma figisu zenu za kumhujumu Rais Samia hazitawafikisha popote

    Humphrey polepole na King msukuma hakuna asiyejua kuwa nyie ni miongoni mwa waliokuwa wanufaika wakuu wa utawala wa hayati Magufuli. Ni katika kipindi hicho ambapo vijana tulipokuwa tukihoji masuala ya ajira mnatukebehi kwa maneno yaliyojaa kejeli na dharau kubwa Nakumbuka wakati humphrey...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…