rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mawaziri na Manaibu wenu, msigombane kisa safari

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake. Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi. Rais amesema...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akemea suala la siri za Serikali kuvuja mitandaoni

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri na manaibu Waziri wahakikishe siri za serikali hazivuji kufika katika mitandao ya kijamii kama ambavyo imeendelea kuwa Nukuu 'Imekuwa kama maradhi, document za Serikali tunazikuta mitandaoni, watu wanabishana huko mtu anaende kuchomoa document...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umeanza Vyema, Malizia ng'we iliyobaki, tunakupongeza

    Binafsi nakupongeza sana kwa namna ulivyoanza na namna unavyoendelea kuipigania nchi yetu kusonga mbele. Kwa uchache wa maneno umejitahidi katika maeneo haya muhimu. Umejitahidi kuifungua nchi yetu kidiplomasia na kujaribu kuirejesha sehemu yake inapostahili. Tumeona jitihada zako za kwenda...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hatutaki longolongo za CCM na Rais Samia

    Tume huru ya uchaguzi ndio itamuinua huyu Rais aliyepatikana kwa Mujibu wa katiba iliyopo, na kama kweli waTanzania wamemkubali basi muamuzi ni Tume huru ya uchaguzi isio na doa, lakini haya yanayoendelea ni geresha kwenye mazingahombwe ya CCM. 2025 noma sana, uhakika wa Rais Samia mzanzibari...
  5. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham. Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
  6. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma

    Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino. Pia soma; Spika Job...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ndiye mkuu wa dola la Tanzania kwanini Rais wa Zanzibar amekuwa wa kwanza kutoka uwanjani baada ya sherehe za Mapinduzi kuisha?

    Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru. Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

    Toka ndani ya mioyo yetu tutafakari haya kwa pamoja huku tukimshirikisha Mungu wetu: 1. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu,Je watu wasiojulikana wangekuwa wamepoteza wenzetu wengine wangapi mpaka leo, Wewe unayempinga Rais Samia leo Je umewahi kujiuliza kama ungekuwa hai...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

    Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu! Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia juu ya usalama wa Raia katika barabara zetu

    Pole na majukumu mheshimiwa Rais na pole pia kwa msiba wa kuondokewa na watanzania wenzetu 14 huko mkoa wa SIMIYU. Mheshimiwa Rais naandika ombi hili nikiwa na masikitiko ya kuwapoteza hao ndugu zetu. Binafsi sina ninayemjua lakini wale ni watanzania wenzetu na huo ndiyo msingi wa maumivu...
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania Sababu alizozitoa Rais Samia kuhusu kubadilisha Baraza la Mawaziri, hazikuwa za kweli?

    Tulimsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan, wakati alipotuahidi kuwa atafanya mabadiliko ya Baraza la mawaziri na kusema wazi kuwa amegundua kuwa kuna baadhi ya mawaziri wameaanza kampeni kuwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025 na akaendelea kusisitiza kuwa hao mawaziri atawaweka pembeni...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukiwa Sekta binafsi ajira ni nguzo yako ya maisha sio by the way

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kubadilika kwa kutambua kwamba Ajira ndiyo nguzo ya Maisha hasa ukiwa sekta binafsi hata Serikalini huku akiongoza "sekta binafsi ukizubaa nafasi yako inachukuliwa". Amefafanua "Nilishawahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Zanzibar, wakati ule...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dkt. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

    GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu (na hata rekodi zinanibeba) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na...
  14. troiker

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Rais Samia dhidi ya Lukuvi na Kabudi kuwaweka kwapani ni kudhibiti kundi la urais 2025 dhidi yake, atafanikiwa?

    Ukitizama kwa jicho la ndani zaidi, Lukuvi na Palamagamba, kwa watanzania makini, na wazalendo wa kweli, bila ushabiki wa milengo ya kisiasa, watu hawa ni makini na weledi katika utendaji wa kazi ,na hili limedhihirika kwa michango ya watanzania wote kupitia mabadiliko ya baraza la mawaziri...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mbobevu katika siasa, msimchukulie poa

    Nilikuwa naangalia "poster" yenye Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ya 2002 ambapo Hayati Benjamin W.Mkapa akiwa Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (Mjumbe), na Mhe. Samia Suluhu Hassan (Mjumbe) nikajisemea CCM hii wewe ione hivi tu! lakini nikwambieni CCM haiko kama unavyoiona wewe bali...
  16. voicer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameacha wataka Urais na ameondoa wachapa kazi halisi

    Kati ya watu walio kwenye kumbukumbu ya kuutaka urais. Mwigulu Nchemba Madelu, ni mmojawapo,na ushahidi bado maandishi yako kwenye mawe katika barabara kuu nyingi yakisomeka "mwigulu for president". January Makamba, ni mmojawapo wa viongozi waliokuwa wakiratibu kampeni za mtandaoni huko...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Rais Samia awaapisha Viongozi Wateule - Januari 10, 2022

    Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan anawaapisha mawaziri muda huu. Wanaoapishwa leo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ni pamoja na Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya, Makatibu na Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali walioteuliwa Jumamosi Januari 8, 2022. Mawaziri wapya wanaoapishwa ni; Nape...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia huenda akatawala kwa muda mrefu kama Nyerere

    Mwalimu Nyerere alitawala kwa miaka 24 (1961-1985). Kwa mujibu wa katiba ya sasa iwapo rais Samia atatawala kwa katiba ya sasa bila kuibadili, anaweza kutawala kwa muda wa miaka 9, Lakini akileta katiba mpya kabla ya mwaka 2030, maana yake ataanza upyaaa kwa katiba mpya, na hatofungwa na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Chato wamshukuru Rais Samia kwa kuwapa Tsh 3.24 bilioni walizojengea Shule 13 Mpya, Madarasa 188 na Matundu ya Choo ya kutosha

    Wakazi wa wilaya ya Chato wamemshukuru sana Rais Samia kwa kuwapatia jumla ya tsh 3.24 bilioni walizotumia kujenga Shule mpya 13 za sekondari, Madarasa 188 na Matundu ya Choo ya kutosha. Mbunge wa jimbo la Chato mh Kalemani amesema hiyo haijawahi kutokea tangu kuasisiwa kwa Wilaya hiyo na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

    Kulingana na maamuzi ya hivi karibuni ya Rais Samia kuwaondoa baadhi ya Mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa Rais Samia yuko chini ya State Capture? State capture is a type of systemic political corruption in which private interests...
Back
Top Bottom