rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa

    Humphrey Polepole amesema kuwa "Mambo ya Machifu yanatusaidia nini kama taifa?nasema jambo hili sio jema,naliona linadhoofisha Utanzania wetu,likiendelea bila kukemewa litaibua tuliyoyazika ya hisia za ukabila, usisi na uwao, Mwalimu Nyerere aliona mbali kukataa haya mambo kwani yataligawa...
  2. M

    Usiyoyajua kuhusu Daraja la Tanzanite. Kongole Rais Samia!

    Daraja limejengwa mita chache kutoka daraja la zamani la Salenda. Lina Urefu wa takribani Mita 1030, Upana wa Mita 20.3 na Urefu wa Barabara Unganishi yenye KM 5.2 zilizojengwa kwa kiwango cha lami. Daraja limekamilika kwa asilimia 100%. Tofauti na madaraja mengi ya namna hii barani Afrika...
  3. Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

    Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar. Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili. Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!
  4. M

    Hii teua tengua teua ya Rais Samia iwe funzo kuwa ukiona Umeteuliwa usianze Kujisikia, kusahau ulikotoka na kudharau Watu

    Waandishi wa Habari wa Tanzania mkitaka Teuzi kwa Awamu hii ya Kulazimisha ya Sita ( wakati Kikatiba bado ni ya Tano iliyo katika Muhula wake wa Pili ) hakikisheni mnatoke BBC, Azam Media, IPP Media na TSN tu pekee. Kuna Msemaji Mmoja ( Bingwa wa Majungu ) Serikalini hakupenda Uteuzi wa Mtu na...
  5. Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua aliyekuwa mtangazaji wa BBC, Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu akimrithi Jaffar Haniu. Mwezi uliopita Zuhura aliaga BBC na hakusema anapoelekea. Kumbukumbu zinaonyesha Zuhuru atakuwa mwanamke wa kwanza kushika...
  6. UVCCM wagonjwa hawahitaji picha ya Rais, acheni hizi propaganda

    Unaweza kusema umeona kila hadi sasa, Ila ukweli ni kuwa vingi bado hujaviona na pengine ndio mwanzo wa kuviona. Vijana wa CCM wamepita kwenye hospital na fremu ya picha ya Rais wakiwaonyesha wagonjwa. Sasa hapa unajiuliza Hawa wagonjwa wakiona picha wanapona au? Lakini ni kwamba hao wagonjwa...
  7. K

    Rais Samia, ili kupambana na Rushwa weka misingi ya Taifa anayethibitika kupokea rushwa anafukuzwa urgently

    Lipo tatizo kubwa la rushwa Kila sekta. Kisingizio kikubwa Watumishi wa umma ni mishahara midogo. Nakishauri Mhe. Rais weka kifungu cha sheria kinachomwajibisha mpokea Rushwa akiwa mtumishi wa Umma na pale anapofukizwa kazi pengo lake lizibweKwkwa haraka arudi uraiani akaishi bila mshahara...
  8. Rais Samia nawe fanya mahojiano na waandishi wa habari kama anavyofanya Rais Mwinyi

    Rais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi Namuona Rais Mwinyi anafanya mkutano na waandishi wa habari wengi na wanamuuliza masuali mazuri tu ambayo wananchi wanatamani Rais...
  9. Rais Samia kuwa mgeni rasmi siku ya sheria, Februari 2

    Uongozi wa Mahakama ya Tanzania, umesema Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuongoza sherehe za Siku ya Sheria Februari 2, Chinagali jijini Dodoma, badala ya Februari Mosi, 2022. Hatua ya kuahirisha sherehe hizo zilizokuwa zifanyike Februari Mosi imetokana na sababu zisizoweza kuzuilika. Kwa...
  10. Wajukuu wa Rais Samia watembelea daraja jipya la Salenda na kupiga picha

    Tunataka uzalendo kama huu. Sio kwenda kupiga picha kwenye kuta za majengo huko Paris na New York.
  11. Ujambazi wa polisi liwe fundisho kwa Serikali ya Rais Samia

    Baada ya vitendo vya kijambazi vinavyofanywa na polisi kushamiri katika siku za karibuni, sasa imefika wakati serikali ijithathmini namna ya kuwachuja polisi wanaofaa kuajiriwa. Madhara ya kung’ang’ania form four failures (Divison 4 & 0) ndiyo yametufikisha hapa tulipo. Sasa serikali ianze mara...
  12. IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu

    IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU. Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
  13. Rais Samia amefanya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini Msumbiji

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 28/01/2022 Rais Samia amefanya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini Msumbiji. Katika ziara hiyo Rais Samia amepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Lengo la Ziara hiyo ni kujitambulisha kwa viongozi wenzake wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini...
  14. M

    Ripoti ya Upambanaji wa rushwa na Ufisadi kimataifa - Tanzania yang'ara

    ===== Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka, Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa...
  15. Rais Samia, wakazi wa Mtwara hatuna Imani na Jeshi la Polisi

    Muheshimiwa Rais, Bila shaka una taarifa juu ya mauaji yaliyofanywa na maafisa 7 wa Polisi. Ni taarifa ambayo imewashtua wengi kwa kuwa imetoka hadharani lakini tabia hii ya ujambazi na kudhulumu mali za watu haikuanza leo wala Jana na bila kufanya Reform ya Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara (huko...
  16. Rais Samia: Baada ya kumaliza changamoto ya madarasa tutaajiri walimu 7000

    Hello unemployed teachers! Poleni kwa kusubiri na bado mtaendelea kusubiri Serikali yenu bado INA mambo mengi ya kimaendeleo lakini haija wasahau . Leo tarehe 27/01/ ni birthday ya Mh. Rais SAMIA SULUHU HASSAN akiwa Dodoma alipiga simu kwa waziri wa elimu aliyekuwa mgeni rasmi wa tamasha pale...
  17. Rais Samia: Nimeshindwa kufanya PhD kutokana na majukumu kuwa mengi

    Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema alijaribu kufanya Shahada ya Uzamivu lakini kutokana na majukumu mengi ameshindwa huku akisema ataimalizia baadaye. Mkuu huyo wa nchi amesema hayo leo Alhamishi Januari 27, 2022 wakati wa mahojiano maalumu yaliyorushwa na Shirika la...
  18. Rais Samia umekubali kutukuzwa hivi? Yanayofanyika shuleni siku yako ya kuzaliwa siyo sawa

    Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia. Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya...
  19. Dkt. Mpango: Rais Samia anakerwa na mauaji yanayotokea nchini. Ameagiza Jeshi la Polisi kufanya msako kubaini wanaojiuhusisha na vitendo vya mauaji

    Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango, ametoa siku 7 kwa Jeshi la Polisi likiongozwa na IGP Simon Sirro, kufanya uchunguzi wa mauaji ya watu watano wakazi wa Kata ya Zanka, kijiji cha Zanka jijini Dodoma yaliyotokea hivi karibuni. Dkt Mpango ametoa maagizo hayo hii leo Januari 26, 2022, mara baada...
  20. Rais Samia: Anayekosea maamuzi nitamrekebisha, sitamfukuza

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ili kupunguza mzigo wa kazi, huwa anawaambia Wasaidizi wake kufanya maamuzi kwenye masuala yaliyo ndani ya uwezo wao. Amesema huenda ni uoga, lakini wanapeleka maamuzi kufanywa ngazi ya juu Ameeleza hayo katika mahojiano maalum na Jambo Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…