rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    Ni wakati wa Rais Samia kuchukua likizo ya Mapumziko

    Tangu aapishwe sijui kama kapumzika. Leo anazindua Mdahalo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha. Jana alikuwa anazindua Sensa......Dar. Juzi alikuwa anazindua usafirishaji mama mjamzito.... Juzi alihudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar, Juzi alikuwa Zanzibar Anafuturisha.... Majuzi Rais...
  2. Import Duty Tax kwenye Vifaa vya Kielectroniki, Kama ilivyosemwa na Mh Nape Mnauye(Simba wa Vita) mnamo tarehe 14th March 2022, Siku 365 za Rais Samia

    Awali ya yote nipende kuwashukuru, Siku ya leo Nimepata maswali kidogo mara Baada ya DHL kunipa invoice ya 33% ya bei ya bidhaa (Import Duty Tax) ya Tarakilishi mpakato ama Computer, Nilijaribu kurejea Hotuba ya Mh Nape,Tarehe 14 ya mwezi Marchi katika maadhimishi ya Wizara ya Teknolojia ya...
  3. Rais Samia atangaza Agosti 23, 2022 kuwa tarehe rasmi ya sensa nchini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anazindua nembo na tarehe ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, leo tarehe 08 Aprili, 2022 Golden Tulip Hotel, Zanzibar. Rais Samia ameanza kuzungumza muda huu... Rais Samia: "Taarifa nilizonazo ni kuwa oparesheni inaendelea...
  4. Angalia Russia inategemewa kiasi gani na Dunia yote halafu ropoka kwamba Rais Samia napandisha bei ya vitu

    Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani. Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei? MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki. Ingekuwa hivyo...
  5. B

    Rais Samia visikie vilio vya watu wako

    Kwamba Urais ni taasisi? Hii ni doctrine ngeni iliyoasisiwa katika awamu ya tano katika kutafuta kuhalalisha yasiyo halali. Uliwaambia vyema polisi, pasipokuwa na ushahidi wasikamate maana mwisho wa siku lawama ni kwako. Sauti hizi zinahusu haki, amani na maridhiano toka kwa wahanga wenyewe...
  6. UVCCM wangekuwa wanajali maslahi ya wananchi wangemshinikiza Rais Samia amfute kazi January Makamba na Mwigulu Nchemba

    UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao. Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha. Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku...
  7. Mbunge Luhaga Mpina amuunga mkono Rais Samia kuwabana Mawaziri

    TAARIFA YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) KWA UMMA, LEO TAREHE 6 APRILI, 2022 KUUNGA MKONO KAULI YA MH. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ALIYOITOA MACHI 30, 2022 KUHUSU BAADHI YA MAWAZIRI KUSHINDWA KUTOA MAJAWABU NA UFAFANUZI WA KINA...
  8. Rais Samia hahusiki kupanda kwa bei ya mafuta, zijue sababu za kweli

    Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania. Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote. Tumekuwekea sababu 5 ambazo kihistoria na uhalisia...
  9. Rais Samia: Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ikamilishwe

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari kuhakikisha inakamilisha uandaaji wa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi za Watu Ameelekeza hayo katika uzinduzi wa Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-MAMA) leo...
  10. Kuongezeka kwa bei ya mafuta nchini kunatokana na kuongezeka kwa bei ya bidhaa hiyo katika soko la dunia na siyo kosa la serikali ya Rais Samia

    KUONGEZEKA KWA BEI YA MAFUTA YA PETROL NA DIESEL KUMESABABISHWA NA ONGEZEKO LA BEI KTK SOKO LA DUNIA NA SIYO KOSA LA RAIS SAMIA. Hapo jana serikali imetangaza bei mpya ya mafuta ya bei ya petroli na diesel ambapo kwa hapa Tanzania bei inatarajiwa kuanzia leo kuwa kati ya sh 2700-3000 Kuna watu...
  11. B

    Rais Samia bila kuwasikiliza wananchi wako utakwama

    Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo. Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti. Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk. Mapungufu ya msingi yapo...
  12. Rais Samia: Tanzania haitajengwa na chama kimoja

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania haitajengwa na mtu mmoja au chama kimoja bali itajengwa na Watanzania wote. Rais Samia ameeleza hayo Jumanne Aprili 5, 2022 Jijini Dodoma wakati akizindua mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), unaojadili maridhiano, haki na amani...
  13. Wasiojulikana walivyopora kiwanda cha Mzee wa miaka 67 kibabe. Aomba Rais Samia amsaidie kupata Mali yake

    Mwekezaji mzawa wa kiwanda cha maziwa(New Northen) creameries Ltd na mjasiriamali wa mazao mbalimbali, John Kyenkungu arejea kumiliki mali yake aliyokuwa amenyang'anywa na watu walio jiita maofisa wa Serikali wasiofahamika tangu mwaka 2019 na Mali hiyo ni Kiwanda alichonunua sh.milioni 440...
  14. Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

    “Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule. “Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani...
  15. Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano, 2022: Rais Samia asema Maendeleo hayafanywi na CCM na Rais pekee, aahidi ushirikiano na vyama vingine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridiano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 05 Aprili, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma. ========= Updates: RAIS SAMIA AMEELEZA HAYA: Binafsi...
  16. Bunge Live larudi. Kuoneshwa kuanzia Aprili 5, 2022 katika mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti

    Vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vitaanza kurushwa live. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, Katibu wa Bunge. Ndg. Nenelwa Mwihambi. Nenelwa amesema baada ya maboresho ya Studio ya Bunge na Kamati ya Uongozi ya Bunge kuridhia vikao vya Bunge vitaanza kurushwa...
  17. B

    Rais Samia azindua ugawaji wa vitendea kazi kwa maafisa ugani kilimo. Asema Serikali imeongeza bajeti ya utafiti kutoka Tsh 7.35bn hadi 11bn

    Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku vya ufundi vya Maafisa Ugani 3,400. #TunaImaninaSamia #Hakunakinachosimama #KaziInaendelea. ------...
  18. B

    Aliyofanikisha Rais Samia ndani ya mwaka mmoja kwa Walimu

    Mafanikio haya kwa Walimu ni ndani ya Mwaka Mmoja tu wa Rais Samia na Kazi Inaendelea
  19. B

    Mwenezi Shaka kuongoza iftar maalum ya mayatima na wajane kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia

    MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUONGOZA IFTAR MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA. Leo Jumapili Aprili 03, 2022 Kuanzia Majira ya Saa 10:30 Jioni hii, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ataongoza Iftar Maalum ya Kuadhimisha...
  20. Washindi Tuzo za Muziki Tanzania 2021, heshima kwa Rais Samia, Diamond, Ruge, Mabeyo

    Tuzo za Muziki za Tanzania (TMA) 2021 zinatolewa usiku huu wa Aprili 2, 2022 ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa tuzo kama za muziki kama hizo Nchini Tanzania. TUZO ZA HESHIMA Shughuli inafanyika kwenye kwenye Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, watu watano wa kwanza kupewa tuzo ya heshima ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…