rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia anafanya kile ambacho wengi wenye akili tunataka afanye! Kwa hili anastahili pongezi

    Kwa miaka mingi sana Tanzania tumekuwa tunalalamika jambo moja kuu, nalo ni kwamba, pamoja na kuwa na maliasili na utajiri mwingi ila nchi yetu hasa wananchi wamekuwa masikini sana! Mjadala huu umezungumzwa na kipindi kirefu sana na moja ya sababu ambazo zimekuwa zikitolewa kwa Tanzania...
  2. Wazo lenye mantiki: Kama mabeberu ni watu wema wamshinikize rais Samia kutengeneza katiba mpya

    Jambo ambalo mabeberu huwa wanapigia kelele kwa muda mrefu ni kushirikiana na mataifa yenye tawala zenye demokrasia. Mkiwa kwao mabeberu tayari mmetoa ujumbe kuwa kumbe demokrasia yetu hapa nchini ina mapungufu makubwa. Kwa hiyo tunahitaji katiba mpya ili kuondoa hayo mapungufu. Sasa kama...
  3. Asante Rais Samia Kwa Bidii za kujenga Uchumi

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye bidii za kichumi huko USA Mama anaupiga mwingi sana. Kazi na bata vinakuja tuvumilie kidogo nchi inafunguka Huu uzi ni wa kusifu wenye stress subirini hadi sherehe za IDD
  4. Umoja party walalamikia kucheleweshewa usajili, kumgongea hodi Rais Samia

    Chama cha Umoja Party kiliomba usajili wa muda tangu April 2021 na kimeona kuna dalili za kukwamishwa licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kujibu mapingamizi juu ya rangi ya bendera na muonekano wa nembo hivyo kimepanga kwenda kumuona Rais Samia ili kupata haki ya usajili katika ofisi ya...
  5. Rais Samia: Kisiasa tupo vizuri, leo wanangu wamejipanga na Mabango yao nikawaambia nimewaona, nikawapungia Mkono

    Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri. Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini. "Nimeunda timu ndani ya vyama vya siasa, tumeweka Jeshi la...
  6. Mfahamu Rais Samia Suluhu Hassan na dira yake ya maendeleo

    Nchi ya Tanzania imekuwa ikiongozwa na chama cha CCM katika kipindi kisichopungua miaka 50,Tanzania hii imepiga hatua za kimaendeleo kwa vipindi kutofauti kutoka kwa rais mmoja kwenda kwa rais mwengine katika vipindi vya miaka mitano yenye vipindi viwili kwa kila mmoja huku sera zikiwa ni kutoka...
  7. M

    Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

    Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya. Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
  8. Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

    Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini? Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania? Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi? Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa? 👇...
  9. I

    Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

    === Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki, Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona jumla ya Zahanati mpya 564 zinajengwa kwa mpigo tena nchi nzima? Hebu jiulize...
  10. Rais Samia kukutana na Baba Mzazi wa Rihanna tunafaidika vipi kama Taifa?

    Wasalaam Mtanzania Mwenzangu! Naomba uitikie KILA KITU KITAPANDA BEI! Nimepita mitandaoni kusoma taarifa mbalimbali zinazoendelea hapa Nchi na ulimwenguni kwa ujmla. Na nisikatae kwa Juma moja saivi na siku kadhaa kumekua na taarifa inayosemwa sana mtandaoni ni Juu ya ROYAL TOUR! Nikiwa napita...
  11. M

    Ombi: Usambazaji wa Picha za Rais Samia Mitandaoni akiwa Marekani ziendane na 'Direct Economic Impact' Mifukoni mwa Watanzania

    Naanza kuona taratibu Nguvu Kubwa inatumika kumuonyesha Mheshimiwa Rais Samia akikubalika zaidi na Wazungu (hasa hasa hawa Wamarekani) na kwamba aliyekuwa Boss wake hakuliweza au hakulifanikisha hilo ila kwa bahati mbaya mno Nguvu hiyo hiyo haitumiki Kuwafafanulia Watanzania ni jinsi gani Ziara...
  12. Rais SAMIA awaacha hoi Wazungu Marekani.

    Fuatilia kupitia link hii:
  13. T

    Ikitokea 2025 Rais Samia akatangaza nia, nitamchagua kwa sababu...

    Ikitokea Mungu katuongoza na kufika salama 2025 na ikatokea Rais Samia akatangaza nia ya kugombea Urais kupitia CCM nitamchagua bila kupepesa macho, kwa sababu: i) Anajiamini. Licha ya kuwa ni mwanamke katika jamii ya mfumo dume lakini anajiamini na anaamini anaweza. Kujiamini ni moja ya njia...
  14. Rais Samia akutana na baba yake mzazi Rihanna katika uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo Aprili 22, 2022. Filamu hiyo...
  15. P

    Royal Tour itampaisha Rais Samia na kuipaisha Tanzania kimataifa

    Wakosoaji wanasema zimetumika zaidi ya shilingi bilioni tano katika kuiandaa Royal Tour huko mbugani. Yameongewa mengi, mengine ni mbwembwe tu kama ile habari ya Samia kuendesha gari kwa mara ya kwanza baada ya miaka 15 siku alipomuendesha yule mzee wa kizungu kule mbugani. Mengine ni habari...
  16. Rais Samia mgeni rasmi kilele Siku ya Uhuru wa vyombo vya habari

    IDARA ya Habari-Maelezo imemtaja Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi kilele cha maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari ambayo kitaifa yatafanyika Mei 3,2022 Jijini Arusha. Kaimu Mkurungenzi Idara ya habari-Maelezo Rodney Mbuya amesema hayo leo...
  17. Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!

    Wanabodi Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana. Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!. Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7...
  18. Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu katiba mpya (sehemu ya pili)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBA MPYA (SEHEMU YA PILI) Mwendelezo......... 🔵 KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️) Tabata,Dar,Tanzania stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KATIBA MPYA Mama...
  19. Mambo matatu (03) ziara ya Rais Samia Marekani.

  20. Ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yoyote. Rais Samia hakupaswa kulalamika yeye kutosikilizwa . Ni

    Sheria mama ya taifa letu ipo wazi kabisa na imeweka wazi kuwa rais hatalazimika kufuata ushauri wa mtu yoyote yule. Isipokuwa kama imetanabaishwa kwenye katiba ya JMT. Hii ipo wazi kwenye ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT. Sasa kama rais wetu analalamika kuwa ushauri wake haukufuatwa ina maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…