rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

    Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi. Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwaapisha Mawaziri wateule Ikulu, Dar es salam leo Oktoba 3, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wateule Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 03 Oktoba, 2022 Nawapongeza kwa walio hapa. Mhe. Angela siyo mgeni kwenye kazi hii, umejifunza mengi ukiwa nje. Nimeona uje unisaidie. TAMISEMI ni ileile uliyoiacha...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini 99% ya Teuzi zote za Awamu hii ya Rais Samia hufanyika Usiku na Siku za Jumapili tu?

    Nasubiri Mirejesho yenu Watu wa Itifaki, Great Thinkers na Wabobezi wa Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania hapa JamiiForums ili mtuelimishe akina GENTAMYCINE tusiojua lolote na chochote.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia kwa kusimama na wakulima kwa kuwaruhusu kuuza mahali popote palipo na Bei nzuri

    Ndugu zangu Sote tunafahamu kuwa secta ya kilimo katika nchi hii imeajiri na kubeba kundi kubwa Sana la watanzania, Ni secta ambayo ndio pumzi ya familia na Kaya nyingi, Ni secta inayotegemewa na watanzania wengi Kama shughuli kuu ya kiuchumi, Ni kimbilio la wengi, Ni ngazi ya wengi, Ni njia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangazwa tena mshindi wa tuzo mbili za kimataifa

    Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan ametangazwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Watetezi na Amani kuwa mshindi wa tuzo mbili za kimataifa ikiwemo ya amani duniani 2022. Tuzo nyingine aliyotangazwa kuwa mshindi ni Rais wa kwanza mwanamke barani Afrika kuipata ni tuzo ya Rais wa Dhahabu ya Malengo ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amefanikiwa kujenga matumaini katika Mioyo ya Watanzania, Ndio Sababu ya kutamalaki kwa Amani na Utulivu hapa nchini

    Ndugu zangu Ni ngumu Sana kuongoza watu walio kata tamaa,walio jaa hasira , wanaolia na kuvuja machozi mioyoni mwao, Ni ngumu kuongoza na kusikilizwa na watu wasioona mbele kwa matumaini, Ni ngumu Taifa kutulia na kuwa lenye amani na mshikamano ikiwa limejaa watu ambao hawajuwi hatima ya maisha...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni. Ametolea mfano wa matumizi makubwa ya vumbi la mkongo na supu ya pweza kwa vijana wa kiume, pamoja na matumizi makubwa ya chips...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi. “Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, katika Jengo la Kitega Uchumi jijini Dodoma Ummy Mwalimu - Waziri wa Afya Lishe bora ni msingi wa afya na uchumi wa mtu mmoja, familia...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa mbali na kwamba ninakipato, lakini kipato changu kinaishia kwenye kula tena kwa kukatisha milo, Je,lipi bora, nilipe ada tufe au tule tuish

    Kwa jinsi ilivyo kwa sasa, huwenda nawakilisha wananchi wengi mamilioni kwa mamilioni wenye swali kama hili Maisha yamekuwa ghali sana kushinda vipato vyetu, Wengi wetu, vipato vyetu haviruhusu kucheza mbali na kula tuu, na hapo ni kwa kukatisha Milo, kama mtu kwa kipato hikihiki ambacho...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alituliza Taifa

    Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama. Maswali ya wengi yalikuwa angewezaje? Lakini kwa uwezo wa Mungu na utendaji kazi wake kwa kuzingatia maadili na uongozi bora, Rais Samia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kikwete hakumshauri Samia amteue Prof. Mwandosya kuwa Makamu wake wa Rais?

    Juzi hapa ilitangazwa kwamba Prof. Mwandosya ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa EWURA. Wengi walishangaa kwa nini Prof. Mwandosya kaletwa kutoka hali ambayo wengi wetu tulidhani ni ustaafu na kurudi kuwa Mwenyekiti wa EWURA. Lakini hatupaswi kushangaa. Uteuzi wa Prof. umetukumbusha pia kwamba wakati...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna kuingia Mikataba pasipo kumshirikisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili leo tarehe 29 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Prof. Ibrahim Juma - Jaji Mkuu Haitoshi kuwa na sheria nzuri ambayo haitimizi malengo ya kutungwa kwake. Zipo...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo Matano Ziara ya Rais Samia Suluhu Msumbiji

    Amani Rais Samia alisema amani iliyopo kati ya nchi hizo, inatokana na vyama vilivyopo madarakani hivyo aliomba tunu hiyo ilindwe. “Sasa ili tuendelee kudumu madarakani lazima tuje na fikra mpya, tujifunze kwa vyama vilivyoondolewa madarakani…amani na utulivu ni matokeo ya vyama vyetu kuendelea...
  15. JamiiForums Tanzania Tsh. Bilioni 3 kutumika kusaidia Samia Scholarship

    Jumla ya Sh3 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya sayansi katika mitihani yao ya kidato cha sita. Ufadhili huo ambao unaanza mwaka 2022/2023 unafanyika chini ya mpango unaojulikana kama Samia Scholarship. Akizungumza hayo leo Jumapili...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katika mapinduzi kidijitali na diplomasia ya uchumi

    Baada ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwaleta nchini Tanzania wafanyabiashara zaidi ya 300 kutoka katika nchi 27 (Mwezi August 2022) wanaojishughulisha na mambo ya TEHAMA na kufungua fursa za uwekezaji katika mawanda ya kidijiti. Mwishoni mwa Mwezi ujao (OKTOBA) wafanyabiashara na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi wapaa, wachumi wamsifu Rais Samia

    Uchumi wa Tanzania Bara umekua kwa 5.4% ikilinganishwa na makadirio ya 4.7% katika robo ya kwanza ya mwaka huu huku Zanzibar ukikua kwa 5.1% ikilinganishwa na makadirio ya 5.4%. Wachumi waipongeza Serikali ya Rais Samia Suluhu huku wakisema ukuaji huo ni dalili njema inayodhihirisha kuwa nchi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Kama Rais Samia Wenye Mioyo ya uvumilivu Hawazaliwi kila Siku Na hawapatikani kila nchi, Watanzania Tuna kila Sababu ya kushukuru kumpata

    Ndugu zangu huo ndio ukweli ulio wazi, Mtu kuwa kiongozi hakubadilishi Tabia yake ya Asili, Kama mtu alizaliwa Ni katili Basi fahamu ya kuwa akipata madaraka atakuwa katili zaidi ya awali kwa kuwa tu Anayo Amri ya kuamrisha lolote kufanyika, lakini pia Kama mtu alizaliwa na moyo wa upendo na...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia kuhusu panya road

    Rais hao panya road wakikamatwa wasiuliwe bali wapelekwe Chunya gereza la Ngwala wakalime na kujifunza mambo mbalimbali yatakaowasaidia katika maisha yao. Gereza la Ngwala halina fence yoyote na wafungwa wanaishi kindugu na kufanya shughuli mbalimbali za uzalishaji. Kwanini gereza halina...
  20. JamiiForums Tanzania Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

    Habari! Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi. Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…