rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia Suluhu chanzo cha ufaulu bora

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Leo Baraza la Mitihani Taifa limetangaza matokeo ya kidato cha 6 na kwenye orodha ya shule 10 bora kuna shule takribani 3 za serikali zimeingia kwenye orodha hii. Wote sisi ni mashahidi wa namna ambavyo Rais Samia Suluhu alivyoipa sekta ya elimu...
  2. Rais Samia ashiriki hafla ya kuipongeza Timu ya Serengeti Girls, apendekeza uwanja wa michezo kujengwa Tanganyika Packers

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN - Serengeti Girls ni Mashujaa Wetu Leo ni siku nyingine ya furaha sana, si kwangu binafsi bali kwa taifa zima, tunapokutana hapa Ikulu na mabinti zetu mashujaa - Serengeti Girls. Hii ni rekodi mpya ambayo haijapata kutokea kwa miaka 62 ya Uhuru wetu. Serengeti Girls...
  3. Rais Samia katika ufunguzi wa Jengo la Huduma kwa Mama na Mtoto Hospitali ya CCBRT, Julai 5, 2022

    ===== Tayari Rais Samia yupo ndani ya jengo la huduma ya afya ya mama na mtoto akiwasalimia wazazi pamoja na watoto wao (akina mama 88) ambao wapo katika wodi za kupumzikia wakiwa wamejifungua salama kabisa, pia Rais Samia amepata nafasi ya kukagua chumba cha kujifungulia. Katika wodi hizo kuna...
  4. Rais Samia: Wenye akili za kawaida ndiyo wananikosoa kusafiri nje

    Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida ''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna...
  5. J

    Baada ya Rais Samia kufungua soko la nyama falme za Kiarabu. Je, wanaopuuza zoezi la uwekaji hereni mifugo ni wasaliti wa Rais aliyewateua?

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Tanzania kuna mambo ya kubishaniwa ila sio uhodari,Umakini na Uchapakazi wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan. Mtakumbuka hivi majuzi Rais Samia alifanya ziara katika nchi za falme ya kiarabu (UAE) akihangaika kuifungua Tanzania ili kuwaletea Watanzania...
  6. E

    Muunganiko wa Rais Samia na Hayati Magufuli ulikuwa wa karne

    Habari, Tanzania kwa Mara ya kwanza ilishuhudia kupata Rais na Makamu wake wenye sifa ambazo kama zingeunganika vizuri basi katika ile miaka 5 Tanzania ingepata maendeleo ambayo ingechukua hata karne moja kuyapata tena . Kifupi ni kwamba JPM alikuwa msimamizi mzuri wa pesa na Mama ni Mtafutaji...
  7. B

    Rais Samia atoa TZS Bilioni 600 Ujenzi wa Hospitali ya Muhimbili mpya

    KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI. KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa...
  8. Huku amepiga magoti, Morison amuomba Rais samia uraia wa Tanzania.

    Katika mahujiano yake na global tv online mchezaji benard morison amemuomba rais samia ampe uraia wa tanzania kwani anajisikia amani na kuthaminiwa sana nchini. pia amesema yupo tayari kuchezea timu ya taifa ya tanzania taifa stars. Source:global tv online
  9. J

    Rais Samia: Miaka 30 ya Vyama Vingi - Changamoto na mustakabali kusonga mbele

    Ameandika Rais Samia Suluhu Hassan: Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati Taifa linapoanza njia mpya. Jambo hili si jepesi, kwa sababu...
  10. UTEUZI: Rais Samia amteua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro

    UTEUZI Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
  11. J

    Rais Samia: Mabeyo jioni ya leo utamsikia Katibu Mkuu Kiongozi akikutangazia Uteuzi mwingine

    Rais Samia amesema CDF mstaafu General Mabeyo bado ana nguvu hivyo Serikali itampangia Majukumu mengine ya kufanya na Leo tutasikia redioni Source ITV habari
  12. Rais Samia amuapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jacob John Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi

    RAIS SAMIA KUMPANGIA MABEYO MAJUKUMU MAPYA Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kumpangia majukumu mengine aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Venance Mabeyo ambaye amestaafu kulitumikia Jeshi. Amesema hayo baada ya kumuapisha Jacob John Mkunda kuwa CDF mpya, Ikulu Dar es Salaam, leo Juni...
  13. Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

    Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi. ==== RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja...
  14. Kauli ya Mo Dewji juu ya Rais Samia ni mtaji mkubwa kwa Tanzania

    Katika Qatar Economic Forum, moja kati ya wazungumzaji alikuwepo Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania na kutoa maelfu ya ajira kwa watanzania. Katika mazungumzo yake, alitoa kauli nzito sana na nzuri ambayo kama ni mtu...
  15. Faida ya ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Oman

    Hati 4 za makubaliano zilizosainiwa baina ya Wizara za Tanzania na Oman 1. Ushirikiano katika masuala ya nishati ili kukuza taaluma na utaalamu 2. Ushirikiano katika Elimu ya Juu kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa wataalamu 3. Ushirikiano katika utalii kwa lengo la kuhamasisha uwekezaji na...
  16. M

    Sisi wengine Rais Samia sio mama yetu ni dada yetu

    Nilishangaa kijiweni kizee cha miaka 70+ kinasema mama sijui kafanyaje,nikasema huyu mzee ana bahati kuwa na mama umri huu kumbe alimaanisha Rais Samia. Pia Siku ile Sugu anatimiza miaka 30 ya muziki nikasikia Rais anasema we Sugu ni mwanangu, kiukweli Rais hawezi kumzaa Sugu. Sugu ana miaka...
  17. M

    CHADEMA msilazimishe Mahakama kuingiliwa na Rais kisa mna husda na akina Mdee. Mahakama ni chombo huru

    Naona mnabwabwaja maneno hovyo kama vile mmekula chakula na kuvimbiwa. Mnabeua hovyo hovyo tu. Mnataka iweje? Rais aamuru Halima na wenzake wasiwe wabunge bila mahakama kufanya maamuzi? Kisa tu mnajua kuna huruma ilifanyika na akachomoka kesi la ugaidi? Maridhiano yenu na kulamba asali...
  18. J

    Mwaka mmoja wa Rais Samia na RC Kafulila ukusanyaji mapato Simiyu sasa ni mara tatu zaidi, maajabu ni Itilima kukusanya TZS 1.4BL

    Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu. Nilikuta halmashauri zina hali mbaya sana kwenye usimamizi wa mapato. Maswa ilikuwa imekusanya 39% ya lengo, leo imefika 120%. Mapato kwa miradi ya...
  19. S

    Rais Samia anafanya usanii wa demokrasia. Maridhiano ni janja tu ya kujisafisha kimataifa

    Nimefuatilia kauli na Matendo ya rais Samia nimejiridhisha kwamba siyo mpenda demokrasia kama anavyojinadi majukwaani. Amejigamba kwamba ana ngozi ngumu na kusema anaruhusu uhuru wa kusema, kukosoa na kujieleza. Kwa taarifa yako ndugu msomaji huyu mama hana ngozi ngumu kwa Mambo yasiyomuumiza...
  20. Umuhimu wa sensa kwa Rais Samia

    Kamisa wa sensa nchini, Anne Makinda amesema Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti, mwaka huu, itakapokamilika itaisaidia serikali na kumpa Rais Samia Suluhu Hassan picha halisi ya nchi anayoiongoza. Alisema hayo alipokuwa akizungumza na wakufunzi wa sensa wa ngazi ya taifa wanaoendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…