rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia arudisha matumaini Mbarali

    Ni kuhusu mgogoro wa ardhi katika eneo la Bonde la Mto Usangu. Akubali Wananchi kuendelea kulima Na MWANDISHI WETU, Mbarali MAKAMU Makamu Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Samia Kusini ni kupima Msuli wa Waziri Mkuu Majaliwa nyumbani kwake

    Wanasiasa wote hususan viongozi wanapoanza kuwashughulikia wenzao huwa wanawafanyia jambo kubwa la kuwakera halafu wanaenda kufanya ziara kwenye maeneo yao ili kupima msuli wao dhidi yao. Ni kama vile mtu ampige mkeo kibao halafu anakuja kwako kuona wewe na wanao mtafanyaje. Kwa wanasiasa...
  3. JamiiForums Tanzania Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu

    Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo. Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

    Rais Samia Suluhu amesema amekuta Ruangwa hali ni tofauti na maeneo mengine ambapo kote alikopita amepokea changamoto nyingi za kwenda kufanyia kazi, lakini Ruangwa wamemwambia hawana changamoto yoyote, Ruangwa wametaja mazuri waliyofanyiwa na Serikali. Rais Samia amewapongeza mkoa wa Lindi na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake Ruangwa wagalagala chini kufurahia ujio wa Rais Samia, wasema hawakutegemea ujio wake hususani kwa Waziri Mkuu!

    Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

    Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia! Haishangazi yalishaanza...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Mkutano wa Hadhara, Ruangwa mjini, leo Septemba 18, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kwenye Mkutano wa Hadhara - Ruangwa Mini leo tarehe 18 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/n2bRFA5-Vtw?si=EaD4yvTy59ujimsi === Rais Samia amesema kuwepo Ruangwa ni mwendelezo wa ziara yake ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

    Habari JF, Pamoja na kelele nyingi dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka, Wapinzani wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.! Taarifa hii ya IMF naamini itakuwa si njema sana kwao kwani wakati wote na popote namba huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo au uzushi hasa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni jasiri mpambanaji

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati wenzetu Wakenya kwa sasa wanakabiliwa na Tatizo la Bei kubwa ya Nishati ya mafuta kuwahi kutokea na kushuhudiwa katika Taifa lao, wakati kukiwa na Tishio la mfumuko wa bei ya bidhaa nchini Kenya, wakati Nauli zikipanda nchini kenya,wakati wakenya wakikabiliwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan alivyotembelea kaburi la Hayati Benjamin Mkapa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, Kata ya Lupaso, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  11. JamiiForums Tanzania Ni mkakati wa kumuangusha Rais Samia kisiasa?

    Kuna mambo yanaendelea nchini unajiiza hizi Habari kwanini zinatoka sasa bila maelezo? Mawaziri viburi na majibu ya rejareja kwenye mambo mazito yanayohitaji utulivu wa akili. Mambo haya yafuatayo yanamfanya Rais aonekane anatoa maelekezo kwa manufaa ya wachache wasio na uchungu na taifa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

    Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa. Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au...
  13. JamiiForums Tanzania Siku ya pili ya ziara ya Rais Samia Mkoani Mtwara, awataka viongozi kuwasikliza Wananchi na kutatua kero zao

    Fuatilia mfululizo wa matukio yanayoendelea kwenye siku ya pili ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mkoani Mtwara, leo Septemba 16, 2023. https://www.youtube.com/live/Ngg9uv7xEm0?si=yBBa-JQFSBF4e1QQ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye Mkutano wa Rais Samia, Tandahimba

    Karibuni katika mkutano mkubwa wa Rais Samia hapa Tandahimba Picha inaongea mengi Sana hii
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania itafanya demokrasia kuendana na mila na tamaduni zetu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizundua miradi ya maendeleo mkoani Mtwara, leo tarehe 15 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/7YAoZNVv3PU?si=yFcaO4PqMy3Pj70N === Rais Samia amesema Tanzania itafanya demokrasia kuendana na mila na tamaduni zetu, demokrasia...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi wanaompokea Rais Samia kwenye ziara zake ni Wananchi au ni Chawa?

    Inawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii? Hebu Jionee hawa wa Mtwara , halafu toa maoni yako.
  17. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka majaji, viongozi kuwa waadilifu ili Zuhura asiwahusu saa nane usiku

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka majaji wapya aliyowateua hivi karibuni na viongozi wengine wa kiserekali kisha kuwaapisha leo kufanya kazi kwa uadilifu, weledi na uaminifu. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwaapisha majaji wapya wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ikulu-Dar es Salaam: Rais Samia awaapisha Majaji. Asema suala la kutoa haki ni la Mungu peke yake

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Septemba, 2023 https://www.youtube.com/live/UkbF5Mxsv7s?si=-fZrc0yrA0ppwyvs === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa kama Hayati Magufuli, achana na maridhiano na wasiotaka, watakupotezea muda

    Nadhani tunahitaji kujadili siasa za nchi yetu kwa uhalisia zaidi kuliko kwa kujipa moyo au kwa wishful thinking Uhalisia upo hivi, Rais Samia Suluhu ndio Rais ambaye amejaribu kuwa fair zaidi kwa Chadema kuliko Rais yeyote, na sidhani kama atatokea Rais mwingine akawa fair kwao kama Samia...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Utendaji mbovu wa BRELA unaathiri uchumi wa nchi. Rais Samia tafadhali shughulika na taasisi hii

    Taasisi ya kusajili makampuni ya BRELA inafanya kazi bila weledi. Rushwa, uzembe na dharau kwa wateja vimetawala. Tafadhali mheshimiwa rais shughulika na watendaji wabovu BRELA.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…