rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowezesha mageuzi katika sekta ya afya ndani ya muda mfupi

    Afya bora au Afya dhaifu ni kigezo cha kutambua uhai wa Taifa lolote, Afya bora ni matokeo ya mambo mengi na moja wapo likiwa ni huduma bora katika nyanja mbalimbali. Miaka kadhaa iliyopita mgonjwa kufanyiwa CT SCAN ilikuwa nadra na kwa hospitali chache. Kwa kutambua umuhimu wa huduma bora za...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makonda umekichemsha sana, wapo waliokuwa wamelala

    https://www.youtube.com/watch?v=g_Vx3fF69f0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Aprili, 2024. RAIS SAMIA: MAWAZIRI MKAJIBU HOJA ZA CAG Siku chache baada ya Mdhibiti na...
  3. JamiiForums Tanzania Zifahamu kazi za Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi inayozinduliwa na Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmj katika hafla ya Uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi utakaofanyika Kesho katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam Kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2022 kazi ya Tume hiyo ni pamoja na;
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

    Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki. Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano. Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia na serikali yake yote kwa hili.

    Video inajieleza,hapa nilipo tangu asubuhi umekatika mara 7 na hatimae TV yangu inchi 32 imeungua!!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Wanaosema Rais Samia amekopa sana kuliko Awamu zote za nyuma waeleze pia mikopo hiyo inatokana na madeni ya nyuma

    Tarehe 30 Machi 2024, Waziri Mwigulu akiwa katika Mashindano ya 7 ya kuhifadhi Qur'aan Tukufu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji katika Viwanja vya Shule ya Msingi Lembo-Masawi, amerusha kijembe kwa wanaosema Rais Samia amekopa sana ndani...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Daniel Ouma ageuka chawa wa CCM kwenye msiba wa mke wa Gachuma Bukenye, amsifia Rais Samia mwanzo mwisho

    Tazama jinsi Askofu Askofu Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church (NLGCC), Dk. Daniel Ouma alivyogeuka kuwa 'Chawa wa CCM' kwenye ibada ya mazishi ya mke wa Gachuma Bukenye, mama Fransisca Gachuma.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa awaomba Walutheri kutumia Sikukuu ya Pasaka kumwombea Rais Samia

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka waumini wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT) kuhakikisha wanamuombea Rais Samia katika kazi yake ya kuliongoza taifa. Silaa ameyasema hayo leo Jumapili, Machi 31, 2024 alipofungua harambee ya kuchangia upanuzi...
  9. JamiiForums Tanzania Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanyau teuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi kama ifuatavyo: i) Amemteua Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb.) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)...
  10. JamiiForums Tanzania Wana Ludewa Washiriki Dua ya Kumuombea Rais Samia, DC Aandaa Futari ya Pamoja

    WANA LUDEWA WASHIRIKI DUA YA KUMUOMBEA RAIS SAMIA,DC AANDAA FUTARI YA PAMOJA Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva,ameungana na wananchi wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe katika Dua Maalumu ya Kumuombea Kheri na Baraka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wanaomwibia Rais Samia ndio wanalipa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kumsifia anaupiga mwingi! Anawajua?

    Watu wale wanaoiba mali za umma, watu wale wale ambao makampuni na maeneo yao ya utawala yamejaa ubadhirifu ndio hao hao wanalipia gharama za vipindi kwenye radio na televisheni wamsifie kwamba anaupiga mwingi. Watu wale wale ambao anawatumbua kila siku kwa kushindwa kumsaidia ndio hao hao...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

    Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania Nape: Rais Samia alinikataza kujibizana na Watu Mitandaoni

    WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4. Nape ameyasema hayo leo Machi 27, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, katika kilele cha...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kwa alichokisema Nape leo kama sio 4R za Rais Samia, tungerudi kule kule kwenye kutiana ulemavu

    Kiukweli nampongeza sana Rais Samia Suluhu Hassan, matusi anayotukanwa na watu wa Chadema huwa yananiuma sana, watu wanatukana utadhani wanatukana wahuni wenzao, heshima ya Rais iko majaribuni kwa sababu ya wahuni waliopewa nafasi ya kujieleza. Ukienda kule mtandao wa X kuna yule meya wa zamani...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

    ::::::: Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa na kituo cha Utangazaji Cha Global TV alikuwa na haya ya kusema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni...
  16. JamiiForums Tanzania Kadogosa: Kwenye Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki, Rais Samia kawazidi Wajerumani

    Taarifa hii nzuri imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli la Tanzania Zaidi soma hapa: "Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki , Wajerumani hawakuweza na hawajazungumza sababu, akaja Mkapa lakini haikuwezekana lakini akaja Rais Samia" - Masanja Kadogosa, Mkurugenzi Mkuu TRC.
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Afunguka Mazito: Miaka 3 ya Rais Samia Ilivyoibadilisha Ngara

    MBUNGE NDAISABA AFUNGUKA MAZITO: MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA ILIVYOIBADILISHA NGARA "Niwaombe wananchi wa Mumilamila kwa Umoja wenu endeleeni kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, endeleeni kumuunga mkono Mbunge Ndaisaba George Ruhoro. Hakika mengi tumeyafanya. Maendeleo ni hatua, hatua...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoke hadharani aseme hizo pesa za goli la mama zinatoka mfukoni mwake au ni Kodi ya raia maskini

    Pesa ambazo Rais anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko. Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa mishahara na timu zao Kama ni motisha aseme timu ikishinda kombe atatoa zawadi yenye kiasi fulan...
  19. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango kumwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa SADC Nchini Zambia

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Utatu wa Asasi mbili za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia kulipa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli la CAF

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro, amesema hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Goli la Mama limepanda kiwango kutoka Tsh. Milioni 5 hatua ya makundi hadi milioni 10 katika hatua ya robo fainali. Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…