Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dr Samia Hassan amebainisha jambo hilo zito na pia kuelezea sababu za kumuondoa kigogo wa TRA
Kigogo aliyeondolewa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Alphayo Kidata alikuwa anafanya kazi huku akipigiwa kelele nyingi hivyo angeweza ku 'data' katika jukumu hilo zito la kukusanya kodi iii vyanzo vya ndani viweze kufadhili miradi mingi ya maendeleo ambayo kwa sasa inategemea mikopo na ufadhili wa nje ambao unatuweka ktk hali ya unyonge na kunyanyasika anafafanua mheshimiwa Rais Dr. Hassan ...
Kutokana na mbinyo mkubwa wa makelele unaoweza kusababisha Kamishna Mkuu wa TRA kushindwa kuwa na mazingira ya utulivu kutimiza majukumu yake, ameamua kumteua Yusuph Mwenda kuwa Kamishna Mkuu wa TRA ambaye ataingia ofisini bila makelele ya wadau hivyo kupata muda wa kukusanya kodi na mapato zaidi ya ndani ili kuweza kugharamia miradi mikubwa iliyopo sasa ....
Rais pia amebainisha kuwa wawekezaji wawili wamepewa magati bandarini Dar es Salaam na kusema kama mapato ya bandari yakisimamiwa na kukusanywa vizuri basi mapato hayo ya bandari ya Dar es Salaam yanaweza kuwa chanzo pekee kinachoweza kutosheleza kabisa bajeti ya uendeshaji nchi ya sasa.
Kitengo cha Usuluhishi wa Kodi sasa kimeondolewa kutoka wizara ya Fedha kwenda TRA ili kuondoa mkanganyiko wa wizara kugombana na TRA amesema mheshimiwa Rais . Samia Hassan kuhusu mabadiliko makubwa na mifumo ya ufuatiliaji wa makusanyo ya kodi na mapato aliouandaa kuhakikisha kodi inakusanywa bila kuangaliana usoni huyu anaitwa bint au bwana Suluhu kwa jina hivyo akwepe kodi n.k ..