rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    PostGE2025 PICHA: Hii ndio Ambulance mpya ya Mbunge Sara Msafiri aliyoikabidhi kituo cha Afya Mziha, Yeye amshukuru sana Rais Samia

    MBUNGE SARA MSAFIRI AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA MZIHA Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mheshimiwa Sara Msafiri, amekabidhi rasmi gari la wagonjwa (ambulance) kwa Kituo cha Afya Mziha, huku akitoa maagizo mazito kwa uongozi wa kituo hicho kuhakikisha gari hilo linatumika kikamilifu kwa lengo la...
  2. PostGE2025 Odero: Pamoja na Lissu kuwa gerezani hayawezi kumzuia John Heche kukutana, kupeana mkono na Rais Samia

    Haaaa! Odera kwahiyo Heche akishikana mikono na Samia, maumivu yote yataisha? ============= Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kusukuma Maridhiano Tanzania, Charles Odero, amesema ni muhimu kwa vyama vya siasa pamoja na Serikali kukaa meza moja ya...
  3. PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
  4. L

    Kama kuna mtu alikula hela za mabeberu na maadui zetu kumpindua Rais Samia na kuleta machafuko nchini ni lazima atazitapika tu

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna mtu alikula pesa za Mabeberu na maadui zetu kwa ajili na kwa lengo la kutaka kumpindua Rais Samia pamoja na kuleta ama kuchochea machafuko hapa Nchini yatakayo liangamiza Taifa letu. Ni lazima afahamu ya kuwa Atazitapika Tuuu hizo pesa atake ama asitake. Ni...
  5. Rais Samia kuzungumza na wakuu wa JWTZ huko Tanga

    Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi. Mbona sio kitu cha siri? Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
  6. Kichekesho: Kama Oktoba 29 Rais Samia angeamua kuachia madaraka, tungeshudia ngumi unlimited za kugombania vyeo

    Nawaza tu hapa. Kama Rais Samia angesema hataki kashikashi tarehe 29 angekaa pembeni na kusema nawaachia hicho kiti aiseee ngumi zingepigwa sana miongoni mwa wapinzani. Yaani mpaka Mange Kimambi naye angesema Urais apewe yeye, huku Zitto Kabwe naye angejitangaza, kule Lissu angejiapisha...
  7. R

    PostGE2025 Kiliba: Kutomtii Rais Samia ni kukiuka maagizo ya Mungu

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na wasaidizi wake wote, akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni wajibu wa kiraia na pia ni takwa la...
  8. R

    UVCCM Manzese wamvaa Heche kauli ya kuundwa kwa serikali ya mpito na kuongozwa na wageni ni uhaini

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna...
  9. H

    Rais Samia akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama katika ibada iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jimbo Kuu la Dodoma, tarehe 13 Desemba 2025
  10. L

    Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
  11. Rais Samia: Jenista Mhagama alikuwa 'Kiraka'

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema aliyekuwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama alikuwa mstari wa mbele kuwatumikia Wananchi, Mwalimu wa uongozi na Mtu mwenye hofu ya Mungu na kwamba yeye alimuita kiraka kwakuwa kila Wizara aliyomuweka aliifanya kazi yake...
  12. PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa? Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema? Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu? Yuko wapi Samia?
  13. PostGE2025 CHADEMA: Rais Samia hana uhalali wa kuiongoza nchi yetu, Serikali yake ni haramu

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara John Heche amesema kuwa Rais Samia hana uhalali wakuiongoza nchi yetu kwa kuwa serikali yake ni haramu na ni mtawala asiye halali. Ameyasema hayo leo Desemba 11,2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari akiwaambia kuwa huo ndio msimamo wa chama hicho...
  14. PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

    Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 11, 2025
  15. L

    Hotuba Ya Rais Samia kwa Wazee wa Dar es salaam Ndio Iliyolituliza Taifa na Kuzima Maandamano

    Ndugu zangu Watanzania, Hotuba iliyotolewa na Rais Samia kwa Taifa kupitia wazee wa Dar es salaam ndio Iliyolituliza Taifa na kuzima kabisa habari za maandamano yaliyokuwa yamepangwa na kuchochewa na wajinga wachache walio nje ya Nchi. Ambao inaonyesha wazi wanapokea vijisenti vya mabeberu na...
  16. Rais Samia ni muumini wa capitalism. Cheza karata zako vizuri kipindi hiki maana akija Rais mwingine hujui misimamo yake

    Moja ya falsafa kali za kutoka kiuchumi ni kua capitalist mzuri, kwa mfano nchi yetu ni changa sana hivo opportunity ni nyingi sana, Yaani kila sehem ukigusa kuna hela lakini sio kiurahisi ivo, unatakiwa uzingatie vitu hivi kadhaaa 1) President aliepo anasimamia wapi katika vita ya uchumi...
  17. L

    PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa...
  18. PostGE2025 List: Rais Samia ni namba 4 kwa watu wenye nguvu zaidi duniani

    Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne. Mnaionaje hii list? Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09
  19. Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,036

    Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
  20. M

    Wananchi watakuwa wanafungiwa ndani kama kuku mpaka Rais Samia na Mstaafu Kikwete wanyooshe mikono juu?

    Kila kona leo isipokuwa vijijini watu wamekaa ndani na hawatoi hata pua nje. Ila Waandamanaji wamesema wataandamana mpaka Rais Samia aachie nchi. Sasa tutaishi maisha haya kila mara wakiitisha maandamanl?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…