Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa serikalini. Kabla ya kumsema mwingine, Rais Museveni alipaswa kuanza kwa kutoa kibanzi kilichoko kwenye jicho...