Jonathan Isanga Mugeere mwanajeshi mkongwe mwenye umri wa miaka 72 anayeishi katika Wilaya ya Luuka, ametoa wito kwa Rais Museveni kutekeleza Ahadi alizotoa mwishoni mwa mapambano ya Ukombozi ya Jeshi la NRA mwaka 1986 ikiwemo nyumba ya kisasa, gari na ardhi, akidai ni miongo minne sasa ahadi...
#onemediaupdates🇹🇿
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2026.
In January 1989, Idi Amin attempted to return to Uganda by traveling to Kinshasa, Zaire (now the Democratic Republic of the Congo), but his plan was thwarted
Details of the Failed Attempt
Travel and Detection: Amin, traveling with one of his sons on a false Zairian passport and in a disguise...
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amesema kuwa miundombinu ya intaneti haipaswi kumilikiwa au kutawaliwa na kampuni binafsi, akisisitiza kuwa udhibiti wa serikali ni muhimu ili kuhakikisha gharama zinabaki kuwa nafuu kwa wananchi.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...
Anachokifanya sasa ni Kuzusha tu mara Museveni mara Kagame na tunajua soon atahamia pia Kumshutumu Chapo.
Eti Museveni anaitaka Kagera (Bukoba) kwakuwa Nyerere aliichukua Kinguvu. Yaani Museveni huyu huyu ambaye hadi leo anaishukuru Tanzania kwa Kumuondoa Amini na kumsaidia Yeye kuikomboa...
Ugandan President Yoweri Museveni statues are seen campaigning on his behalf ahead of the upcoming 2026 elections.
Pia soma > Rais Museveni aidhinishwa na Chama chake (NRM) kuwa Mgombea Urais 2026
Uganda president Yoweri museveni says this is the last time he is vying for presidency in Uganda, urges Ugandans to come in large numbers and vote for him for the last time.
Rais Yoweri Museveni ameizindua gari jipya la kisasa la kuzima moto nchini Uganda, linaloitwa “Muliro Eater”. Gari hili limebuniwa na Shirika la Uzalishaji wa Taifa (NEC) kupitia mradi wa All Terrain Fighting Project huko Nakasongola, na limekusudiwa kuzima moto hata kwenye maeneo magumu...
Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa serikalini. Kabla ya kumsema mwingine, Rais Museveni alipaswa kuanza kwa kutoa kibanzi kilichoko kwenye jicho...
Mtayarishaji wa maudhui wa TikTok na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere, Elson Tumwine, anasubiri kusomewa hukumu baada ya kukiri kosa la kuhariri taarifa inayodaiwa kuwa ya Spika wa Bunge, Anita Among, kuhusu msamaha wa hivi karibuni wa Rais Yoweri Museveni kwa Buganda.
Upande wa mashtaka...
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, mshauri mwandamizi wa rais na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, ameibua tena gumzo nchini baada ya kutangaza wazi nia yake ya kuwania urais kupitia ujumbe wa mitandaoni wenye kauli ya kidini.
"Kwa jina la Yesu Kristo Mungu wangu, nitakuwa Rais wa nchi hii baada ya...
Chama tawala nchini Uganda (NRM) kimemuidhinisha rais wa muda mrefu wa nchi hiyo Yoweri Museveni mwenye umri wa miaka 80, kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2026. Museveni amekuwa rais wa Uganda kwa miaka 39 tangu 1986
Hii ni baada ya Rais Museveni kutangaza rasmi Juni 29...
Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao.
Rai yangu kwa CCM...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe Malumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Gen. Yoweri Kaguta Museveni Entebbe, Uganda. Tarehe 13 Mei...
Biblia inapotukumbusha tuishi na wanawake kwa akili, siyo bahati mbaya, humaanisha.
Wanawake ni viumbe hatari mno hapa Duniani!
Chanzo cha ugomvi wa wawili hao ni mke wa Kiza dada Winnie ambaye awali alikuwa mpenzi wa Museveni wa ujanani. Museveni, kwa hiari yake mwenyewe, aliamua kuachana na...
Huko kote kuanzia Uganda, Rwanda, Congo, Rhodesia hadi South Africa sisi Tanzania ndio baba lao
Kagame na Museven wanaelewa vizuri Sana hivyo ni vema waachane na mambo ya M23
Jumapili Njema
Rais Yoweri Museveni akitoa somo zito la historia Novemba 29, 2024.
Katika hotuba yake ya kihistoria, Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, jana tarehe 29 Novemba, 2024 katika kusherehekea Miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), aliwapa viongozi wa Jumuiya hiyo somo la kina kuhusu...
Muuzaji wa viatu vya mitumba mwenye umri wa miaka 27, Bw. Juma Musuuza maarufu kama Madubarah, amekuwa TikToker wa tano wa Uganda kuwekwa rumande na Hakimu Mkuu wa Entebbe, Stella Maris Amabilis, ndani ya kipindi cha chini ya wiki moja, akituhumiwa kwa hotuba ya chuki na kusambaza taarifa za...
A group of exiled Ugandans has announced its intent to return to Uganda by force if necessary.
In an October 5th statement issued from Kisangani, Democratic Republic of Congo, the 'Coalition of Exiled Ugandans' outlined their mission to mobilize other exiles for an organized return to end...
Rais Yoweri Museveni amewaonya Wananchi wanaopanga Maandamano ya Julai 23, 2024 yanayolenga kupinga Vitendo vya Rushwa nchini humo.
Museveni amesema "Una haki gani unayotafuta kwa kuleta machafuko? Tuna shughuli nyingi za kuzalisha mali, unapata chakula cha bei nafuu, sehemu nyingine za dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.