raila odinga

Raila Amolo Odinga (born 7 January 1945) is a Kenyan politician who served as the Prime Minister of Kenya from 2008 to 2013. He has been the Leader of Opposition in Kenya since 2013. He was the Member of Parliament (MP) for Langata from 1992 to 2013. Raila Odinga served in the Cabinet of Kenya as Minister for Energy from 2001 to 2002, and as the Minister for Roads, Public Works and Housing from 2003 to 2005. Odinga was appointed High Representative for Infrastructure Development at the African Union Commission in 2018.He was the main opposition candidate in the 2007 presidential election, running against the then incumbent Mwai Kibaki. In the subsequent presidential election 5 years later he placed second against Uhuru Kenyatta, garnering 5,340,546 votes, which represented 43.28% of the total votes cast. He made another attempt for the presidency in August 2017 against Uhuru Kenyatta and Uhuru Kenyatta stole votes after the chairman of the electoral body declared Uhuru Kenyatta winner with 54% of the votes cast to Odinga's 43%. This outcome was eventually annulled by the Supreme Court following findings that the election was marred by "illegalities and irregularities". A subsequent fresh election ordered by the Court was won by Uhuru Kenyatta when Odinga declined to participate citing inadequate reforms to enable a fair process in the repeat poll.
Son of the first Vice President of Kenya, Jaramogi Oginga Odinga, he draws a large chunk of his support from various regions in Kenya, most notably the Coastal Region and his native former Nyanza Province. Odinga is commonly known as "Baba", coincidentally, he was an MP at the same time as his father between 1992 and 1994. Other nicknames that have been associated with the premier are such as "Nyundo" which is hammer in Kiswahili, "Tinga" which means tractor in Kiswahili a symbol of his National Development Party (NDP) and "Agwambo" meaning a man who is unpredictable (enigma or mysterious) and 'Baba' which means a political father.
Odinga first ran for president in the 1997 General Elections, coming third after President Daniel arap Moi of KANU and Mwai Kibaki of the Democratic Party (DP), respectively. He contested for the presidency again in the 2007 General Elections on an Orange Democratic Movement (ODM) ticket.
In readiness for that poll, on 1 September 2007, Odinga was picked as ODM's presidential nominee to face off with PNU's Mwai Kibaki. He managed to garner significant support in that election. According to the he Electoral Commission of Kenya (ECK), the electoral body at the time, he swept the majority of the votes in Rift Valley (Kenya's most populous area), Western, his native Nyanza, and Coast. Kibaki on the other hand won majority votes in Nairobi (the capital), North Eastern province, Central province and Eastern province, taking 4 provinces against Odinga's 4. Odinga's ODM party got 99 out of the 210 seats in the parliament, making it the single largest party in parliament.
The Kriegler report, commissioned to investigate the violent aftermath of the 2007 elections and alleged vote-rigging, stated that about 1.2 million dead voters existed in the voters register, raising serious doubts to the integrity of the election.On 30 December 2007, then chairman of the Kenyan election commission the late Samuel Kivuitu, declared the incumbent, President Kibaki, the winner of the presidential election by a slim margin of about 230,000 votes. Odinga disputed the results, alleging fraud by the election commission. However he refused to follow due process of petitioning the courts, believing that the courts were under manipulation by Kibaki and so could not give a fair and impartial hearing.
Most opinion polls had speculated that Odinga would defeat the president, though the margin kept narrowing as election day neared. Independent international observers have since stated that the poll was marred by irregularities in favor of both PNU and ODM, especially at the final vote-tallying stages. The announcement of Kibaki's win was followed almost immediately by rioting and violent protests, from both ODM and PNU supporters, and the post-election violence continued for several weeks resulting in over 1000 deaths and the displacement of 500,000 people.Besides his father, Odinga is identified as one of the leading forces behind the democratization process of Kenya, particularly during the repressive regime of President Daniel arap Moi (1978–2002) and the lead-up to the adoption of the new Constitution (2010) that re-affirmed many formerly neglected fundamental rights.
In 2017, Odinga ran for the presidency a fourth time, but lost to Uhuru Kenyatta. Odinga contested the election result in the Supreme Court, which nullified the results and called new elections as a result of electoral irregularities. Despite the Supreme Court ruling, Odinga announced on 10 October 2017 that he would withdraw from the second Presidential election.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Waziri Mkuu wa zamani Hayati Raila Odinga atunukiwa Nishani ya Heshima Kenya (C.G.H)

    Waziri Mkuu wa zamani, marehemu Raila Odinga, ametunukiwa Nishani ya Juu Zaidi ya Heshima Nchini Kenya — Chief of the Order of the Golden Heart (C.G.H), heshima ambayo ni ya juu kuliko zote nchini Tuzo hiyo imetolewa rasmi na Rais William Ruto Oktoba 20, 2025, wakati taifa likiadhimisha Sikukuu...
  2. R

    Afisa wa GSU apoteza bastola wakati wa mazishi ya Raila Odinga, Bondo

    Afisa mmoja wa Kikosi cha GSU aliyeambatana na msafara wa ulinzi wa Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa, amethibitisha kupoteza bastola yake wakati wa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, yaliyofanyika katika eneo la Bondo, Kaunti ya Siaya Oktoba 19, 2025 Kwa mujibu wa maelezo ya...
  3. The Father of All

    Kifo cha Raila ni malipo ya damu ya Gen Z au mpango wa Mungu? Kamsalimie Magufuli

    Wengi wamehuzunishwa na kifo cha Raila Odinga waziri mkuu wa zamani wa Kenya. Ni haki yao. Wengi, hata hivyo, wamesahau damu na vifo vya Gen Z waliotekwa na kuuawa na serikali aliyojiunga nayo baada ya kuwasaliti kabla nae hajamalizwa kama wengi wa wakenya wanavyosema. Funzo. Malipo kumbe ni...
  4. W

    Mazishi ya Raila Odinga, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwemo Rais Ruto

    Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Kenya Dr. William Ruto https://www.youtube.com/watch?v=YT87RClirPI Miongoni mwa Waliohudhuria mazishi ni Rais wa Kenya - Samweli Ruto Naibu Rais Kenya - Prof Kithure Kindiki Mama Aida Odinga na Familia ya Odinga Rais Mstaafu wa Kenya - Uhuru kenyatta...
  5. funaku

    Raila Odinga alikuwa rafiki wa mwanaCCM John Pombe Magufuli sio Heche wala Lissu

    Tusitafute kiki bila mpangilio. Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais . Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
  6. Mkalukungone Mwamba

    Watanzania na Wakenya waungana mpaka wa Sirari kuhakikisha John Heche anaelekea Kenya kutoa pole kufutia kifo cha Raila Odinga

    Hakika hii ndio dawa yao! Uonevu umezidi sana yani kweli kabisa mnamzuie mtu kwenda hadi kwenda kwenye msiba! This Is toomuch! Watanzania tumekuwa kama watumwa =============== Watanzania na Wakenya waungana mpaka wa Sirari kuhakikisha John Heche anaelekea Kenya kutoa pole kufutia kifo cha...
  7. M

    John Heche azuiliwa mpaka wa Sirari akiwa anaelekea Kenya kwenye mazishi ya Odinga

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Wegese Heche amezuiliwa kusafiri Kwenda nchini Kenya kuhudhuria Mazishi ya Raila Amolo Odinga, Mh Heche amezuiliwa Mpaka wa Tanzania na kenya (Sirari) Wilaya ya Tarime Mpaka sasa uhamiaji wamechukua hati ya kusafiria ya Mh...
  8. R

    Rais Samia jifunze kitu kutokana na kifo cha Raila Odinga

    Angalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila! Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote. TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja! Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
  9. R

    Baada ya Wakenya kuvamia ukurasa wa Obama hatimaye atuma salamu za Rambirambi msiba wa Odinga, amuita Shujaa wa Demokrasia

    Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika akieleza kuguswa na kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Amolo Odinga akimuelezea kama kiongozi mahiri wa demokrasia na mtu aliyejitolea kusimamia uhuru na uongozi imara wa Kenya na kuwa si...
  10. R

    Mwili wa Raila Odinga ukiwasili uwanja wa ndege Kisumu

    Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amolo Odinga ukiwasli uwanja wa ndege Kisumu, ambapo baadae utafikishwa katika uwanja wa Jomo Kenyatta, Mamboleo
  11. The Burning Spear

    Katika history Raila Odinga atabaki kuwa Mwanasiasa Mpinzani Bora Aliyependwa Zaidi

    GT. Huyu jamaa alikuwa smart sana na wala hakuwa na mbwembwe. He was slow but sure. Kama siyo mambo.ya ukabila huyu jamaa alipaswa kuwa Rais wa kenya.
  12. O

    Raisi mstaafu Kikwete, Mpango na Rostam kwenye msiba wa Raila Odinga

    Mwamba wa demokrasia Afrika amelala, Mwamba aliyefungwa jela kwa uhaini akitetea watu wake amelala, Mwamba aliyepinga matokeo ya uraisi mahakamani na mahakama ikabatili ushindi wa Raisi Uhuru Kenyatta amelala, mwamba ambae huwezi kumwelezea kwa maneno peke yake ikatosha amelala, Mwamba...
  13. R

    Mwili wa Raila Odinga ulivyoagwa Bungeni

    Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga ukiwa ukiagwa Bungeni kabla ya kuhamishiwa katika Uwanja wa Nyayo kwa Ibada ya Mazishi ya Kitaifa Soma pia TANZIA - Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo Winnie Odinga: He died in my arms, but not in the...
  14. R

    Video: Kaka wa Raila Odinga amtambulisha Mke wake wa Pili wakati wa Ibada ya Wafu Kitaifa katika Uwanja wa Nyayo

    Leo Oktoba 17, 2025, hafla ya kuuaga mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Amolo Odinga, inaendelea katika Uwanja wa Nyayo, ikihudhuriwa na Rais William Ruto, viongozi mbalimbali, familia pamoja na wananchi Katika hafla hiyo Kaka wa Raila Odinga, Seneta Oburu Odinga ambaye kwa sasa...
  15. R

    Hivi Tanzania nani akifa atapata heshima ya upendo kama ninayoiona kwa Raila Odinga

    Naangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania? Simuoni!
  16. Sifi Leo

    Kubali Raila Odinga hajafa,Amefariki, Magufuli Alikufa hakufariki, Odinga amefariki mbele ya Bint yake,Magufuli Alikufa mbele ya nani?

    Kifo ni kifo tukubaliane hivyo Nasema Raila Omoro Odinga jabali la siasa limefariki na kufariki kwake limekata roho mbele ya Binti yake wa MWISHO na mlinzi wake wa Muda MREFU. Hii ni nzuri sana na ndo inabeba tafsiri ya amefariki ao ni waziri mno. Hayati Magufuli hakufariki mbele ya mkewe Wala...
  17. Mafyangula

    Polisi Wafyatua Risasi na Mabomu ya Machozi Kutuliza Waombolezaji Waliofurika kumuaga Odinga

    Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga kwa sasa umefika katika uwanja wa michezo wa Kasarani kwa ajili ya kuagwa. Maafisa wa jeshi wamelazimika kufyatua risasi angani ili kuwatawanya waombolezaji abao waliingia ndani ya uwanja huo kabla mwili haujafika na kuujaza uwanja wote...
  18. and 998 others

    Nani anatuwakilisha Mazishi ya Raila Odinga?

    Kama mnavyojua tumepata Msiba wa Afrika Mashariki. Mheshimiwa Raila Amolo Odinga. Je Nani anatuwakilisha huko? Atafutwe Mstaafu mmoja au wawili wakatuwakilishe huko Bondo.
  19. Mangwea1900

    Raila Amolo Odinga-the warrior

    Raila Amolo Odinga alizaliwa tarehe 7 Januari, 1945. Raila Amolo Odinga ni kiongozi wa mfano katika ukanda wa Afrika Mashariki na bara la Afrika kwa ujumla. Ulale salama "Baba" haya ni miongoni mwa machache katika katika wakati wa uhai wake:- 1. Alitetea haki za Wakenya kwa miongo mitano (5)...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kuna mtu alitabiri katika mtandao wa X kuwa Raila Odinga atakufa mwezi oktoba 2025

    Hii tweet ni ya mwaka jana, leo imejipatia umaarufu baada ya kifo cha Raila Odinga. Je kuna watu wana kipawa cha kutabiri yajayo?
Back
Top Bottom