raila odinga

Raila Amolo Odinga (born 7 January 1945) is a Kenyan politician who served as the Prime Minister of Kenya from 2008 to 2013. He has been the Leader of Opposition in Kenya since 2013. He was the Member of Parliament (MP) for Langata from 1992 to 2013. Raila Odinga served in the Cabinet of Kenya as Minister for Energy from 2001 to 2002, and as the Minister for Roads, Public Works and Housing from 2003 to 2005. Odinga was appointed High Representative for Infrastructure Development at the African Union Commission in 2018.He was the main opposition candidate in the 2007 presidential election, running against the then incumbent Mwai Kibaki. In the subsequent presidential election 5 years later he placed second against Uhuru Kenyatta, garnering 5,340,546 votes, which represented 43.28% of the total votes cast. He made another attempt for the presidency in August 2017 against Uhuru Kenyatta and Uhuru Kenyatta stole votes after the chairman of the electoral body declared Uhuru Kenyatta winner with 54% of the votes cast to Odinga's 43%. This outcome was eventually annulled by the Supreme Court following findings that the election was marred by "illegalities and irregularities". A subsequent fresh election ordered by the Court was won by Uhuru Kenyatta when Odinga declined to participate citing inadequate reforms to enable a fair process in the repeat poll.
Son of the first Vice President of Kenya, Jaramogi Oginga Odinga, he draws a large chunk of his support from various regions in Kenya, most notably the Coastal Region and his native former Nyanza Province. Odinga is commonly known as "Baba", coincidentally, he was an MP at the same time as his father between 1992 and 1994. Other nicknames that have been associated with the premier are such as "Nyundo" which is hammer in Kiswahili, "Tinga" which means tractor in Kiswahili a symbol of his National Development Party (NDP) and "Agwambo" meaning a man who is unpredictable (enigma or mysterious) and 'Baba' which means a political father.
Odinga first ran for president in the 1997 General Elections, coming third after President Daniel arap Moi of KANU and Mwai Kibaki of the Democratic Party (DP), respectively. He contested for the presidency again in the 2007 General Elections on an Orange Democratic Movement (ODM) ticket.
In readiness for that poll, on 1 September 2007, Odinga was picked as ODM's presidential nominee to face off with PNU's Mwai Kibaki. He managed to garner significant support in that election. According to the he Electoral Commission of Kenya (ECK), the electoral body at the time, he swept the majority of the votes in Rift Valley (Kenya's most populous area), Western, his native Nyanza, and Coast. Kibaki on the other hand won majority votes in Nairobi (the capital), North Eastern province, Central province and Eastern province, taking 4 provinces against Odinga's 4. Odinga's ODM party got 99 out of the 210 seats in the parliament, making it the single largest party in parliament.
The Kriegler report, commissioned to investigate the violent aftermath of the 2007 elections and alleged vote-rigging, stated that about 1.2 million dead voters existed in the voters register, raising serious doubts to the integrity of the election.On 30 December 2007, then chairman of the Kenyan election commission the late Samuel Kivuitu, declared the incumbent, President Kibaki, the winner of the presidential election by a slim margin of about 230,000 votes. Odinga disputed the results, alleging fraud by the election commission. However he refused to follow due process of petitioning the courts, believing that the courts were under manipulation by Kibaki and so could not give a fair and impartial hearing.
Most opinion polls had speculated that Odinga would defeat the president, though the margin kept narrowing as election day neared. Independent international observers have since stated that the poll was marred by irregularities in favor of both PNU and ODM, especially at the final vote-tallying stages. The announcement of Kibaki's win was followed almost immediately by rioting and violent protests, from both ODM and PNU supporters, and the post-election violence continued for several weeks resulting in over 1000 deaths and the displacement of 500,000 people.Besides his father, Odinga is identified as one of the leading forces behind the democratization process of Kenya, particularly during the repressive regime of President Daniel arap Moi (1978–2002) and the lead-up to the adoption of the new Constitution (2010) that re-affirmed many formerly neglected fundamental rights.
In 2017, Odinga ran for the presidency a fourth time, but lost to Uhuru Kenyatta. Odinga contested the election result in the Supreme Court, which nullified the results and called new elections as a result of electoral irregularities. Despite the Supreme Court ruling, Odinga announced on 10 October 2017 that he would withdraw from the second Presidential election.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Mamia ya wakenya wajitokeza barabarani kumuomboleza Raila Odinga

  2. V

    TANZIA Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo

    Raila Odinga (RAO) afariki dunia huko India. Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80. R.I.P Papa. Utangulizi Raila Amolo Odinga ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri zaidi katika historia ya Kenya na Bara la Afrika kwa ujumla. Kwa zaidi ya nusu karne, amekuwa nembo ya mapambano ya demokrasia...
  3. J

    Ruto atangaza vita dhidi ya Mafisadi na kusema anatamani kuwa kama Yule Mwamba wa nchi fulani Enzi zake, Raila acheka kwa Furaha!

    Wabunge wa ODM na Kenya Kwanza wakabaki wanaulizana huyo Mwamba wa nchi jirani ni nani? Ila Raila Nadhani alishamjua kama ambavyo Sisi wengine tumemjua Ahsanteni sana Mtanikumbuka 🙏😄
  4. R

    Raila Odinga amkemea vikali Waziri Murkomen kuhusu kauli ya polisi kufyatua risasi kwa raia, atoa wito wa mazungumzo ya kitaifa

    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, amelalamikia vikali kauli ya Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen, aliyewataka polisi kuwafyatulia risasi raia watakaokaribia vituo vya polisi wakati wa maandamano Akizungumza baada ya matukio ya machafuko yaliyojitokeza Juni 25, Odinga...
  5. Waufukweni

    Video: Mbunge Peter Salasya apigwa na kutimuliwa uwanjani na mashabiki wakati wa mechi ya Kenya dhidi ya Gabon

    Mbunge wa Mumias Mashariki, Peter Salasya, alipigwa na kutimuliwa kutoka Uwanja wa Nyayo wakati wa mechi kati ya Kenya na Gabon baada ya kuzuka mzozo na mashabiki. Mashabiki hao walidai kuwa Salasya alimkosea heshima kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga, jambo lililosababisha mvutano mkubwa...
  6. Erythrocyte

    PreGE2025 Tundu Lissu akutana na Raila Odinga Jijini Nairobi na kufanya naye Mazungumzo

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema pamoja na jopo lake wakiwemo Makamu Mwenyekiti John Heche na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema, wamekutana na kufanya mazungumzo na Raila Odinga Jijini Nairobi. Pamoja na kwamba muda ni Mchache na mambo ni mengi, lakini kwa Chadema wiki...
  7. Just Pray

    Raila Odinga ashangazwa na wanaotaka Rais Ruto aondoke madarakani, asema aondoke aende wapi

    Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amewajibu wakosoaji wa Serikali ya Rais William Ruto wanaotaka aondoke madarakani huku akisema wanataka atoke aende wapi. Kauli ya Odinga inakuja zikiwa zimepita siku chache tangu asaini makubaliano ya kufanya kazi na Rais Ruto nchini Kenya...
  8. Pdidy

    Raila azomewa mpaka aondoka kwenye mkutano. Wakenya hawataki ujinga

    Nilicheka sana nilipoona vituko vya handshakeee Baada ya kuungana mzee wetu aka Baba akaenda mkutanoni leo. kufika babaaaaa anataka kuanza kuongeaaa baba kuhamaki akashtukiaa kundizima la mkutano linamzomeaa toka shujaa shukaa tokaa mbariki wewee. Baba akasita kuendelea akajua wakitulia...
  9. U

    Raila Odinga Leo amekaribishwa kwa furaha na heshima kubwa na rais William Ruto ikulu ya Nairobi

    Rais William Ruto ametangaza kuwa atashirikiana na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, ili kufanikisha ajenda za maendeleo za serikali. Akimpokea Raila Odinga katika Ikulu ya Mombasa siku ya Jumatatu, baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Rais...
  10. Pdidy

    Raila karibu ubakie na siasa zenu za Kenya huku AU haupawezi hapakufai

    Niwapongeze sana wapiga kura wote walioshiriki kumkataa huyu bwana uchaguzi wa AU, Wengi walijiaminisha baba anakuwa mwenyekiti Ruto akamwingiza chaka eac wamejipanga na atashinda. Haha baadhi ya mambo yaliyomfanya asishinde ni 1.Nchi yake kuruhusu ofisi za RFS za waasi kuwepo huko kenya Src...
  11. GENTAMYCINE

    Raila Odinga wahenga waliposema kuwa Kikulacho ki Nguoni mwako na Adui yako ni Rafiki yako wala hawakukosea

    Cornelius K. Ronoh @itskipronoh It’s confirmed: President Mama Samia Suluhu Hassan and Paul Kagame voted for Mahmoud Ali Youssouf. Interests come first, not neighborhood or friendship. GENTAMYCINE siongezi kitu wala sipunguzi kitu ila Raila Odinga Yeye ajue tu kuwa Waafrika UNAFIKI ni TUNU...
  12. Mindyou

    Mahamoud Ali wa Djibouti ashinda nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) dhidi ya Raila Odinga kutoka Kenya

    Waziri wa Mambo ya nje wa Djibouti Mahamoud Ali Youssouf ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika maarufu (AUC). Katika Uchaguzi ambao ulikuwa nchini Ethiopia Mahamoud alishinda dhidi ya Raila Odinga ambaye alikuwa mwakilishi pekee kutoka Afrika Mashariki Raila alishinda...
  13. Tlaatlaah

    Kujiondoa kwa Raila Odinga kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti wa AUC kutabadili upepo, pumzi na uelekeo wa siasa za Kenya kuanzia sasa

    Mabadiliko na pumzi mpya inatarajiwa wakati wowote tangua waziri mkuu wa zama ni wa kenya Raila Odinga atakapotua Kenya. Matarajio na matumaini yalikua makubwa mno na ya kiwango cha juu sana kwamba kiongozi huyo wa upinzani Kenya angeshinda nafasi ya kua mwenyekiti wa Kamisheni ya Umaoja wa...
  14. fimboyaukwaju

    Uchaguzi wa Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) waingia duru ya pili. Odinga atashinda?

    Raila 21 na mgombea wa djibouti,Mohamed youssef kura 24,ila mambo bado,tusubiri
  15. K

    Tumwombee Raila Odinga aweze kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa AU

    Ndugu zangu uchaguzi wa Mwenyekiti wa AU unafanyika siku ya Jumamosi na wagombea wa kiti hicho wanatoka nchi za Kenya, Madagascar na Djibouti. Mgombea kutoka Kenya ni Mhe. Raila Amol;o Odinga ambaye pia anatoka Afrika Mashariki. Tumwombee Ndugu Raila aweze kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti , Kwanza...
  16. The Father of All

    Tuombe Raila Odinga msaliti wa Gen Z abwagwe kwenye kinyang'anyiro cha mkuu wa African Union Commission chair kieleweke na tuone ataenda wapi

    Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) watapiga kura jumamosi kumchagua mwenyekiti wa Commission hii. Kwa wanaojua alivyosaliti mapinduzi yaliyolenga kumuondoa mwizi Ruto, Raila anakashifiwa na wakenya kwa kuwa msaliti na nyemelezi mkubwa. Tumuombee ashindwe ili ima kiumane au tuone atakwenda wapi baada...
  17. chiembe

    Jesca Magufuli amemtembelea Odinga ili kumtakia heri katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC)

    Sasa rasmi familia ya JPM itadhibiti siasa za Geita na Chato kwa miaka kadhaa ijayo. Nguli wa siasa za Afrika Mashariki kaweka mkono wake.
  18. Waufukweni

    Raila Odinga: Sijapeana mkono wowote na Ruto kwa sababu hatujakubaliana kimaandishi

    Kinara wa upinzani Raila Odinga amekiri kuwa hajapeana mkono 'handshake' yoyote na rais William Ruto. Katika mahojiano, alisema; "Sijakuwa na handshake yoyote na Ruto kwa sababu hatujakubaliana kimaandishi." Mgombea huyo wa uenyekiti wa muungano wa mataifa ya Afrika (AU) aliendelea kusema kuwa...
  19. BLACK MOVEMENT

    Mbona Kenya wanachama wa ODM hawajawahi taka Raila Odinga aachie madaraka ODM pamoja na kuunga mkono Serikali ya Uhuru Kenyata na sasa Ruto pia

    Raial Odinga amkeuwa kiongozi wa chama chake miaka na miaka na hadi juzi kamkabidhi Gava wa Kisumu ili aongoze ODM kwa sababu yeye anagomvania cgeo kule AU, kumbuka cheo cha Raial hakigombaniwi hakipigiwi kura. Sasa sipati picha ingekuwa ndio Tanzania. Sasa basi Raial mbali ya kuwa kwenye...
  20. ChoiceVariable

    Kinyang'anyiro cha Uenyekiti wa AUC: Mahamoud Yousouf wa Djibouti amkalia kooni Raila Odinga wa Kenya. Asipopata Ruto ajiandae

    Wakati uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Au Chairman Ukiwa umekaribia,joto linazidi kupanda. Wagombea Wakuu ni Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Djibouti Mahamoud Ali Yousouf na Raila Odinga wa Kenya ambae Aliwahi kuwa Waziri na Kinara wa vurugu za Kila mara za uchaguzi...
Back
Top Bottom