raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Raia masikini Watanzania ni sehemu ya wanaochochea wizi wa mali za umma na ufisadi kwa mitazamo yao.

    Raia wengi Watanzania huwa wanashangaa na kukejeli mtu (mtumishi wa umma, mfanyabiashara au mtu maarufu tu) aliyefariki mjini au aliyefiwa pale ambapo wanaenda kuzika na kukuta nyumba au mazingira duni msibani. Ni upumbavu kufikiri ni jambo rahisi sana kwa Watanzania wengi hasa waajiriwa kuwa...
  2. Yoda

    Ni kweli Nigeria imeshindwa kuwalinda raia wake Wakristo dhidi ya magaidi wauaji na kwa dunia imepuuza uhalifu huo dhidi ya binadamu?

    Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye...
  3. Webabu

    Nchi zinazoitambua Palestina kama taifa zazidi kuongezeka japo hawajaweza kuzuia mipaka yake isifutwe na pIa raia wake wasiuliwe mbele yao

    Historia ya kutambuliwa kwa taifa la Palestina ni ndefu sana na kila siku orodha imekuwa ikiongezeka.Kati ya wanaolitambua taifa hilo ni pamoja na mamlaka ya kikatoliki duniani ya Holy See. Mwanzoni kabisa ilikuwa ni mataifa 20 tu mnamo miaka ya 1980 na baadae yakafuatia mataifa 12 yaliyomegeka...
  4. peno hasegawa

    Barua ya wazi kwa Mh. Rais: Ombi la Haraka kwa Mh. Rais la kulinda Usalama wa Raia na Mali zao Jijini Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
  5. Hyrax

    Kama una kitambulisho cha NIDA na huna Passport ya Tanzania jua wewe ni mkaazi (Resident) wa Tanzania ila sio raia (Nationalist) wa Tanzania

    Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania. Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
  6. peno hasegawa

    Ajali zinamaliza Raia: Ninamshauri, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuwahamisha Kamanda wa Polisi wa Mikoa ya Geita, Mbeya, na Kilimanjaro

    Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, tumeshuhudia ajali nyingi na kubwa nchini ambazo zimeleta madhara makubwa, ikiwemo mauaji na watu wengi kupata vilema vya kudumu. Hali hii ni ya kutisha na inahitaji hatua thabiti kuchukuliwa ili kuokoa maisha na kuhakikisha usalama wa raia. Kwa...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Raia wakigeni wasio kidhi vigezo vya uwekezaji wafukuzwe nchini (mtaji wa mwekezaji mgeni unaanzia BILLIONI 1)

    Tuwapende wafanyabiashara wa kigeni pale tu wanapo kuwa wamefwata sheria za uwekezaji. Kama hawakidhi vigezo vya uwekezaji tuwafukuze bila huruma. Mipaka ya nchi inatakiwa kuheshimiwa na kila raia wa kigeni. Naomba nitoe mfano mdogo: Leo hii tuna raia wa kigeni wa bara la Asia ambao sio...
  8. Dalton elijah

    Israel Yatangaza Kuchukua Maeneo Gaza Ikiwaamuru Raia Kuyahama Makazi Yao

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz ametangaza upanuzi mkubwa wa operesheni ya jeshi huko Gaza inayohusisha unyakuzi wa maeneo makubwa ya ardhi ambayo "yatajumuishwa katika maeneo ya usalama ya Israeli." Katika taarifa hiyo, Katz amesema operesheni hiyo pia itahusisha uhamishaji mkubwa wa...
  9. Dalton elijah

    Japani Imezindua Mpango Kuwahamisha Raia 100,000 Kutoka Visiwa Karibu Na Taiwan iwapo Kutatokea Mzozo

    Japani kwa mara ya kwanza imetoa mipango ya kuwahamisha zaidi ya raia 100,000 kutoka baadhi ya visiwa vyake vya mbali karibu na Taiwan iwapo kutatokea mzozo katika eneo hilo, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya Beijing na Taipei. Chini ya dharura hiyo, meli na ndege zitahamasishwa...
  10. O

    Tanzania na DRC miongoni mwa nchi ambazo raia hawana furaha duniani kwa mujibu wa UN 2025

    Finland imeorodheshwa kuwa nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa nane mfululizo. Wataalamu wanaamini kuwa ukaribu wa Wafinlandi na asili pamoja na upatikanaji wa mfumo mzuri wa ustawi husaidia kuelezea nafasi yake ya juu inayoendelea katika Ripoti ya Furaha ya Dunia inayosimamiwa na...
  11. Knock life

    Hawa China ambao raia wake wanahangaika na Maisha ndo mlikuwa mnawahita Super Power?

    Nchi ambayo inajiita Super Power inakuaje na Raia ambao wana maisha magumu Maana sio rahisi umkute raia wa marekani akija Africa na kufungua Madube na kisha kujiita mwekezaji.
  12. Now and then

    Ni vigezo gani hutumika kusema kuwa China ni nchi ya pili kiuchumi duniani ikiwa raia wake wanahangaika na Maisha kufika hatua ya kukimbilia Afrika?

    Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ? Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili. Je kuna siri gani hapa ? Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
  13. Leonce jr

    Kunyongwa kwa magreth nduta raia wa kenya nchini Vietnam

    Habari. Naomba kufahamu ni nini huyu mwanamama/dada alichokitenda huko nchi za watu mpaka kufikia maamuzi ya kunyongwa Licha ya kuwa mkuu wa nchi kuomba petition ya kuzuia tatizo hilo bila mafanikio na imeekaeje kitaalamu na ni makosa gani ukiyafanya kwenye nchi za watu hupelekea kunyongwa...
  14. milele amina

    Kilio Cha Wananchi : Changamoto za kukosekana kwa usalama wa Raia na Mali zao, Kuelekea uchaguzi mkuu, Njia panda ya Himo Wilaya ya Moshi- Kiliman

    Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa. Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
  15. Sigonella Island

    Russia ya wahifadhi raia wanaokimbia kuuwawa na magaidi yanaodhaliwa na Israel huko Sryria

    LATAKIA: SYRIA Russia imeruhusu raia wa jamii ya Alawite wanaokimbia mauaji ya Utawala wa Magaidi uliosimikwa na kufadhiliwa na Israel kuingia ndani ya kambi ya Jeshi Khmeimim Air base Latakia 🚨🇷🇺🇸🇾 Russian Federation Troops at Russia's Khmeimim airbase, Latakia region, has opened its doors...
  16. mcTobby

    Hivi kwenye jela za Tanzania kuna raia wa haya mataifa ?

    Kama kichwa kinavyosema , je kwenye jela za Tanzania hapa kuna raia wa hizi nchi wanaotumikia kifungo? 1.Marekani 2.uingereza 3.Canada. 4.Saudi Arabia 5U.A.E 6.N.K Tafadhalini naomba mnijuze, Lengo la kuuliza hivi ni.kwa sababu kuna kautafiti kangu binafsi nafanya😊
  17. Faana

    Tuvalu: Ifahamu nchi yenye urefu wa Kilomita 12 na mtaa mmoja raia wake wote wanafahamiana

    Ina urefu wa Kilomita 12 Ina kituo kimoja cha polisi Ina sehemu moja tu ya kupata huduma za mawasiliano Ina bank moja tu Ina hotel moja tu Raia wake kwa sehemu kubwa wanafahamiana wote Airport yake hutumika kwa football pia Karibu Tuvalu
  18. Kiranja Mkuu

    Nchi inapigwa sana hii, maghorofa ya Jeshi Mwenge, yanapangishwa kwa raia

    Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia. Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi. Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza...
  19. Yoda

    China ni maswahiba wa Urusi ila raia wake wamajaa Marekani kuliko Urusi!

    Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa. Kuna raia takribani milioni tano na nusu wa China nchini Marekani wanoishi na kufanya kazi huko wakati kuna raia...
  20. MBOKA NA NGAI

    Goma: Raia waandamana kupinga uwepo wa MONUSCO na majeshi ya nje

    Leo hii, tarehe 17 Februari 2025, mjini Goma, asubuhi ya leo kumekuwa na maandamano; lengo likiwa wanajeshi wa UN waliopo Congo,hususani Goma, kwa zaidi ya miaka 20, waondoke, na kwamba usalama wao watahakikisha unatokana na wao wenyewe. Si MOUNUSCO tu, bali na jeshi la SAMIDRC(Afrika kusini...
Back
Top Bottom