Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana!
2x2 - 2,300
2x3 - 3,300
2x4 - 4,300
2x6 - 6,500
1x4 - 2,300
1x6 - 4,300
1x8 - 7,300
1x10 - 13,000
Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana!
2x2 - 2,300
2x3 - 3,300
2x4 - 4,300
2x6 - 6,500
1x4 - 2,300
1x6 - 4,300
1x8 - 7,300
1x10 - 13,000
Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana!
2x2 - 2,300
2x3 - 3,300
2x4 - 4,300
2x6 - 6,500
1x4 - 2,300
1x6 - 4,300
1x8 - 7,300
1x10 - 13,000
Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
Habari zenu.
Ni ipi ruti rahisi zaidi ya kufika Butiama kwa mwaka huu 2026 kwa kutokea Dar es Salaam.
Naomba kujua, Basi za Kupanda.
Nauli kiasi gani?
Shughuli kuu za kiuchumi za Butiama ni zipi?
Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo
Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea
Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha
Isizidi cc 2000
Ulaji mzuri wa mafuta
Umbo...
bajeti
bongo
gani
gari
gereji
kirahisi
kuanzia
mafuta
magari
matengenezo
mazingira
mikoani
milioni
milioni 30
mwaka
nzuri
pamoja
rahisi
ulaji
urahisi
yanauzwa
Leo nimetimiza siku 54 bila kupiga punyeto naamini hii ndo itakuwa safari yangu ya mwisho katika kutimiza lile nililokuwa napigania muda mrefu. Nimeanza hii shughuli 2012 nikiwa bado nasoma, ilifika mahali kwa siku napiga hata mara 3 mpaka 5.
Kila nikisema niache nitakaa wiki baada ya hapo...
JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content
Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili
Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria
Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama
Hatuwezi...
Nilisikia hii series ikitamba sana na ikapata umaarufu mkubwa watu walipokuwa wanauawa kwenye game na kujishindia pesa nyingi. Tangu game ya kwanza mauaji yaliyokuwa yanafanyika hayakuwa justified lakini ile movie ilipata umaarufu mkubwa. Waliopenda game ile ni watu wengi ikiwemo watu wa haki za...
Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma. Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani wamevaa vazi la uzalendo kumbe ni mipango iliyosukwa kwa ustadi na waroho wa rasilimali za Libya...
1. Maridhiano
2. Ahadi ya Katiba Mpya.
3. Hadaa na ulaghai mwingi anaodhani utawafanya waTanzania wavumilie utawala wake mbovu
Asichoweza kuzungumzia:
1. Mauaji ya waTanzania
2. kukiri na kujutia sababu za msingi zilizopelekea kutokea mauaji
Na. M. M. Mwanakijiji
Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza...
Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku?
Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna ambayo haijawahi kutokea,ili uelewe gharama zako zote na mwisho wa siku ufanye maamuzi sahihi kulingana...
Neno mwanaume siyo suala la kuvaa vizuri na kufuga ndevu
Neno mwanaume linamkataa yule ambae akiachwa na mpenzi wake anaigeukia pombe
Neno mwanaume linamkataa yule ambae akifukuzwa kazi anaanza kutafuta wa kumlaumu
Mwanaume ni yule ambae hata Kama hakuna njia anakwambia songa mbele
Yule...
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.
Siku hiyo kazi ni rahisi sana
Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.
Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu
VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu...
HAUWEZI KUMUABUD Mungu WA KWELI ALAFU UKAOGOPA JAMBO DOGO NA RAHISI LA KUTETEA HAKI AU KUPINGA WAOVU. UTAKUWA HAUMJUI MUNGU WEWE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Mungu haabudiwi na watu waoga. Mtu mwoga atakuwa na sifa nyingine mbaya ya unafiki.
2. Ni rahisi Muuaji na mtekaji au muuza...
Wanafunzi pamoja na jamii huamini kwamba mwaka wa uchaguzi, mitihani huwa rahisi au matokeo huboreshwa ili kuvutia wapiga kura.
Je, hii ni kweli? Au ni kasumba isiyo na ushahidi?
Wengine huamini kwamba serikali haitaki lawama mwaka wa uchaguzi na matokeo mazuri huongeza mvuto kisiasa.
Lakini...
Programming tafsiri rahisi ni kutengeneza programu ,kwamba baada ya kufanya programming ndio inapatikana programu ya kompyuta, undani wa kujua programming ni kufahamu sayansi ya kompyuta.
LAI : Maelezo haya ni ya kiswahili lakini kwa neno ambalo hauja lielewa kabla ya kuendelea chukua muda...