rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Simu Bora za Kichina kwa Bei Rahisi kabisa

    Wadau mimi binafsi sijawahi kuwa mpenzi wa simu. Nimekuwa na simu simple tu sababu matumizi yangu makubwa ya simu ni Internet na Camera. Sina mambo mengi. Nimepata wazo la kuwa na simu ya kichina ambayo itakuwa bora kwa bei nafuu isiyozidi tsh 400,000 simu ya uchumi wa kati. Naombeni ushauri...
  2. JamiiForums Tanzania Recruitment and Outsourcing Business - Fursa Rahisi

    Habari za wakati huu, Kila biashara huwa inakuwa na aina mbili za shughuli kwa kutegemea sector yake.(Nitachanganya lugha) Function za kwanza zinaitwa CORE FUNCTIONS(Shughuli za msingi ambazo hasa ndo zinafanya biashara iwepo yaani ndo zinaingiza pesa au kutengeneza value) Function za pili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama unajiuliza kwanini leo Tetesi za Mchezaji Clatous Chama kutua Yanga SC zimekuzwa jibu rahisi na jepesi tu ni hili hapa

    Kwa Propaganda Machine iliyoko Yanga SC kwa Usajili wa Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata vya Mbinguni kwake Mwenyezi Mungu kutoka nchini Hispania kulihitajika kuwe na Taarifa ya Kushtua na kufanya Counter ili kuweka Mizania na kuhamisha Fikra za Watu na Stori...
  4. JamiiForums Tanzania Tushirikishane Vijumba vya bei Rahisi

  5. L

    JamiiForums Tanzania Waafrika wafurahia huduma ya bei nafuu inayotolewa na kampuni za China

    Kila Jumamosi alasiri, Levin Chama mwenye umri wa miaka 11 anakwenda kwenye Kituo cha Mtandao cha Konnect Hub kilicho kwenye mtaa wa 44 wa Githurai wa mji mkuu wa Kenya, Nairobi, ili kusikiliza masomo ya lugha, utamaduni, hisabadi yanayotolea na walimu wa nchi mbalimbali kupitia mtandao wa...
  6. JamiiForums Tanzania Paa hili licha ya kuhitaji mabati machache pia ni rahisi kujenga muundo wa kuvuna maji ya mvua

    Uvunaji wa maji ya mvua husaidia sana kuondoa shida ya maji. Kwa paa kama hili ni rahisi kukusanya maji na kuyahifadhi katika kisima ulicho kiandaa. Wakati wa ujenzi unapanga sehemu ya vyoo na mabafu yawe upande mmoja na septic tanks ziwe upande huo. Upande wa pili unandaa kusima cha maji...
  7. JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, kumuacha umpendae sio rahisi hivyo

    Nimekuwa nikifuatilia mada za watu wenye changamoto katika mahusiano wakihitaji ushauri. Cha ajabu majibu mengi hayana uhalisia utasikia",piga chini","mrudishe kwao""muolee mke wa pili"etc,hayo majibu ya wadau wengi,ila ukweli kumuacha mke unayempenda sio rahisi hivyo tusidanganyane. Hao...
  8. JamiiForums Tanzania Kibonzo: Mzee Kikwete hapa atakuwa ndio yupi na Rais Samia ndio yupi. Serikali inanichanganya

    Naombeni msaada maana naona kama hapa kuna shida. Jamaa kajichorea watu na kaandika jina la mtu mmoja kuwa ni Kiwete. Polisi wanasema kakosea huyo siyo Kiwete ni Kikwete. Na huyu anayechezea maji kwenye beseni wanasema ni Rais Samia. But mchoraji yeye anasemaje? Kwanini wao waone hivyo na hii...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu rahisi kama kumtongoza demu mbaya

    Kumtongoza demu mbaya ni rahisi kinoma ani unampeleka unavyotaka hata akikataa unamcheka tu
  10. JamiiForums Tanzania Si unajua ni rahisi kumtawala masikini

    Wengi tunadhani maskini ni mtu pekee aliyekosa mahitaji muhim. Lakini ukweli ni zaidi ya hapo. Unajua hizi pia ni sifa za masikini? 1/kushindwa “kufikiria” uzalishaji mali. 2/uvivu 3/kuridhika na ulichonacho 4/kushindwa kua tofauti na wengine. 5/kushindwa kuishi mbali na mazingira hatarishi...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

    Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje. Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti...
  12. JamiiForums Tanzania Hela Rahisi kupata pasipo jasho ni hizi hapa

    Kama mtu angenunua hisa za Amazon mwaka 2001 Octoba hisa moja iliuzwa $5.5 kufika mwaka 2021 July. Hisa moja ilikuwa ina thamani ya $3700. Laiti ungenunua hisa 1000. Kama uliwekeza $5500 mwaka huo Leo hii mwaka huu ungekuwa na $3.7M, Ina Mana 12.65M TZS leo hii ungekuwa na bilioni 8.51 TZS...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanadamu katika dunia ya digitali yamekua usanii na rahisi sana

  14. JamiiForums Tanzania Kwa Picha: Mfundishe mwanao njia rahisi kabisa ya kuchora ndege

    🤗🤗🤗
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msidanganywe eti sasa hivi hali ya maisha ughaibuni ni rahisi

    Mzuka wanajamvi! Nitasema tu ukweli. Hali ya maisha sasa hivi ughaibuni / ulaya ama mamtoni ni ngumu sana. Maisha yamekuwa Magumu sana hasa kwaanzia mwezi wa tatu mwaka jana baadaya hii Corona. Maelfu na Maelfu wamepoteza kazi zao na kujiandikisha kwenye employment benefits. Kazi za kubeba...
  16. C

    JamiiForums Tanzania House4Sale Pata nyumba za bei rahisi

    Kwa Nini ukose nyumba mjini?.Pata nyumba za bei rahisi zote zinapatikana eneo la Mbezi malamba kituo mzalendo ni buku tu kwa bajaji kutoka mbezi stand (Bei na maeelekezo vipo kwenye picha). Vilevile kuna viwanja vya kuanzia Milioni 2 kwa mita kumi kwa kumi na unakatiwa kulingana na hela yako...
  17. JamiiForums Tanzania Powertools aina zote zinapatikana kwa bei rahisi sana

    *Bei Rahisi *Vifaa vyenye ubora *BRAND TOFAUTI TOFAUTI Cordless drill Jigsaws, circular saws. Generators and grinders pamoja na drill bits na misasa. TUPO KKOO MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU Piga 0788622610
  18. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba kwa bei rahisi

    Pata nyumba ya vyumba vitatu, public toilet kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 10 kwa 10 kwa shilingi milioni 7 tu. Pia Kuna nyumba ya vyumba vitano kwenye uwanja wa mita 20 kwa 15 kwa shilingi milioni 10 tu. Nyumba zote zipo mbezi malamba eneo linaitwa mzalendo. Nauli kwa bajaji ni buku tu...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kuna njia rahisi ya kuepuka kelele za nje kwenye recording?

    Nimesetup studio ya kurecord voice over nyumbani chumbani. Nina mic ya behringer b1, audio onterface ya behringer um2. Shida ninaishi karibu na barabara kuna kelele ya magari na boda boda. Na mic inanasa kila kitu. Hivi kuna njia ambayo mtu unaweza fanya kuondoa tatizo. Nimejaribu google na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA fanyeni haya ili Kesi ya Mwenyekiti wenu Taifa, Mbowe iwe rahisi kumalizika naye pia akapumzike

    1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama 2. Punguzeni Vitisho 3. Punguzeni Matusi 4. Punguzeni Mikakati ya Fujo 5. Punguzeni Kuhamasishana 6. Punguzeni Kukamia Kukomoa 7. Punguzeni Propaganda za hovyo 8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno 9. Punguzeni kuwa na Viherehere 10. Punguzeni kulalamika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…