rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ismail Bayumi Rafiki wa Tom Mboya na Muasisi wa TANU Club Mombasa 1950s

    SMAIL BAYUMI MUASISI WA TANU CLUB MOMBASA 1950s Nimemjua Ismail Bayumi Moshi mimi nikiwa mtoto mdogo wa darasa la pili au la tatu miaka ya mwanzoni 1960s. Naukumbuka utanashati wake na gari yake nzuri aliyokuwa akiendesha. Wakati huo nadhani alikuwa akija Moshi akitokea Mombasa kuja...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mazingira ya Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili - Mwanza siyo rafiki

    Wafanyabishara Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili hapa jijini Mwanza wameendelea kufanya shughuli zetu katika mazingira yasiyo rafiki. Soko hill lipo kando ya Ziwa Victoria ambapo shughuli zote zinafanywa pembezoni mwa ziwa hilo kama kuosha samaki, hali hiyo inaweza kuwa mbaya...
  3. JamiiForums Tanzania Mifumo ya dunia sio rafiki kwa mwanaume

    YEAH ,mifumo ya dunia haikupi favour wewe mwanaume, huna haki wala mamlaka. Kila siku Natafuta Ajira hua anasema hapa jukwaani kwamba dunia sio rafiki kwa mwanaume hua mnabisha Mfano mzuri mwamba mmoja toka guinea baltazar ,unaona dunia inavomuongelea mwamba kama ni haramia ilihali wanawake...
  4. JamiiForums Tanzania Wapi napata spea parts za scania kwa bei rafiki ya jumla?

    Habari za siku wakuu, naomba kujulishwa machimbo ya spea parts za Scania kwa bei ya jumla hasa Temeke na kariakoo. Natanguliza shukrani.
  5. JamiiForums Tanzania Hii dunia hii, rafiki yangu kanyang'anywa gari na mshangazi wake

    Jamaa alikuwa anatamba sana na IST mpya kabisa, apartment kali. Sasa jamaa kajichanganya alikuwa na mtu wake sahihi huyu mshangazi alikuwa anamvuna tu. Swali langu kwenu wakuu kwanini mishangazi inapenda vijana wa makamo?
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli usimkopeshe rafiki yako kama ni wa kike?

    Mwenzenu Mangi nimepigwa na kitu kizito. Yaani siamini. Nimekuwa na kiherehere cha kuwatetea wanawake kwenye karibu kila nyuzi zinazomponda mwanamke lakini hivi karibuni nimepigwa tukio hadi fikra zangu zimeyumba. Naomba wanawake mtanijibu maswali hapo chini lakini wanaume wenzangu mnisaidie...
  7. JamiiForums Tanzania Ukitaka Rafiki wa kweli fuga mbwa! Hawa viumbe hawanaga unafiki

    Wakuu hii nimejionea mbwa wana urafiki wa kindaki ndaki
  8. JamiiForums Tanzania Anaanza Mungu rafiki anaefwata n huyu

    Hana ubaya Wala ubwela
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tupe experience yako! Siku ulipomuazimisha au ulipoazimishwa gari na Rafiki au jamaa yako nini kilitokea?

    Wakati kazi inaendelea kule kwingine ni people's power Tushuke kwenye mada Nini kibaya kiliwahi kutokea Ile siku ulipomuazimisha au ulipoazimishwa mchuma/mkoko/dinga na Rafiki yako au jamaa yako
  10. JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki wa kike awe Mafinga au Iringa mjini umri awe 35 and above Mimi ni mweusi Nina miaka 43

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi. Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo tapeli nitakupenda na kukujari🙏🏿
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo, baadae awe mke

    Habari wana JF, mimi ni mwanaume, umri miaka 27, dini mkristo, natafuta rafiki wa kike ambae baadae anaweza kuwa mke, kama umevutiwa karibu inbox.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Chimbo la miwa kwa bei rafiki

    Wakuu Nafanya hii mishe, wenye kufahamu machimbo yawekeni hapa Karibuni kwa uzoefu
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike umri chini ya miaka 22 wa kubadilishana nae mawazo

    Wakuu Hamjambo?
  14. JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wengi wenye umri wa miaka 35 mpaka 37 ndoa zao zimevunjika nyingine zipo ICU

    Kama mada inavyojieleza Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
  15. JamiiForums Tanzania RAFIKI vs NDUGU

    Rafiki:Ni mtu unayemwamini katika maisha ya kila siku.Kuna tofauti kubwa kati ya RAFIKI na NDUGU. 👉Una nafasi na uamuzi wa kuchagua RAFIKI utakaye mwamini na yeye kukuamini katika maisha ya kila siku lakini huna nafasi wala uamuzi wa kuchagua ndugu,kwamaana ndugu yako ni mtu yeyote yule...
  16. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kanipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake mwenyewe

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Jirani na hapa nnapoishi mimi kuna home boy fulani ambae tumetokea kuzoeana, kushauriana na hata sometimes kutembeleana. Tulitokea kujuana nae miezi 6 iliyopita baada ya yeye na familia yake kuhamia hapa. Kwa Tanzania ni mzaliwa wa Kinondoni, wakati mimi mzaliwa wa...
  17. JamiiForums Tanzania Guys achana na wanawake rafiki wa kweli ni njaa tu

    Ndoa ni taasisikama serikali. Mwanaume kazi yako kulipabills tamka kodi,mwanamke kazi yake kula kodi, Mwanamke hakupendi bure anatafuta security au kukula hela zako. Mke sio rafiki bali ni beberu mla kodi zako ,j Rafiki wa kweli ni njaa tu,ukiwa huna hela ndio anazidisha kuwa karibu na wewe,bora...
  18. JamiiForums Tanzania My week end is super crazy

    My weekend is wacko. Kuna watoto wazuri wa rafiki yangu watakaa na mimi mpaka katikati ya Nov. ila sijui nisemeje nisionekane wicked aunty ila wamekuja J nne na tayari niko super stressed na Nov. naiona mbali sana Stress zilianzia kwa jinsi mtoto wangu hataki ku share Tv yake na wenzie sbb...
  19. JamiiForums Tanzania Content Creators mnaoanza (Episode I): Unatumia camera gani kutengeneza maudhui yako?

    Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kuona kahawa ya ubuyu. Je kahawa hii ina ubora kiasi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo Nimeweka na kielelezo Dominika njema
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…