rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rafiki yangu ni msaliti na mnafiki nimfanyeje?

    Nisiwachoshe sana, tabia za huyu rafiki yangu ni hizi. *Ananizungumzia vibaya kwa masela nikiwa mbali, inafika point anawaambia wajaribu kuanzisha ugomvi na mimi halafu yeye atawalipa pesa. *Anamponda na kumkosoa kila mwanamke nitakae kuwa nae katika mahusiano ila nikiachana na huyo mwanamke...
  2. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la Vyama nane vya siasa rafiki kwa CCM | vyaishambulia CHADEMA

    19 November 2024 TAMKO LA VYAMA NANE VYA SIASA RAFIKI KWA CCM KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 | VYAISHAMBULIA CHADEMA https://m.youtube.com/watch?v=HFSf_Bu5y9E Vyama hivyo rafiki wa CCM chama dola kongwe, vikiongea na waandishi wa habari kiongozi wa chama cha UMD wametaka vyama...
  3. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anasumbuliwa na shoga. Je, achukue hatua gani za haraka ?

    Wakuu niwape pole kwa maafa yalioikumba nchi yetu kufatia kuporomoka kwa jengo la biashara mjini dar es Salaam mitaa ya kariakoo na pia natoa wito kwa vyombo kuharakisha uokozi ili watu walio chini wafikiwe haraka na wakutwe wako Hai Sasa baada ya utangulizi huo niende kwenye mada kama...
  4. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kama hauuzi basi usiinadi sasa rafiki

    KAMA HAUUZI BASI USIINADI SASA RAFIKI Kama sehemu zako za..sio njia yako namba moja ya uchumi basi acha kujinadi. Naam kila mwanamke anapata pesa kupitia huo...wake Penginepo kwa kuhongwa ama kupata huduma kwa mume wake. Akimhudumia kama mke Lakini kama wewe hutumii sehemu zako hizo kama...
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Usimshauri ndugu au rafiki asomee uandishi wa habari: ni sekta ambayo inaenda kufa na atateseka sana

    Kuna mdau humu ameposti juu ya changamoto zinazowakumba waandishi wa Azam Mikoani eti wameshushiwa ujira kutokea tshs 500,000 mpaka 300,000 kwanza nikagutuka kwamba wanalalamika kwa kulipwa 300,000?!! Kama Azam waandishi mikoani wanalipwa 300,000 basi ITV hali ikoje? Je, hizi media ndogondogo...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Rafiki huwa anapenda kuniambia maneno haya

    “Mhaya, kwenye maisha yako kamwe usiwaingilie watu wa jinsi tofauti ambao wamewahi kulala kitanda kimoja wakiwa uchi.” Anamaanisha nini? Usijifanye sana mshauri kwenye doa za watu, usijifanye kupeleka maneno kule ili watu waachane. Usijifanye kumuwekea dhamana mwanamke ama mwanaume kwamba...
  7. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Demu ninayempenda hanitaki ila rafiki yake ananipenda balaaa!

    Habar wana jf. Bwana katika harakati zangu niliweza kukutana na wasichana wawili " Eliza na Grace" sio majina halisi, macho yangu yalitokea kuvutiwa sana na uzuri wa Eliza japo wote ni wazuri haswaa!, tulianza kuwa kama marafiki, it means mimi Eliza & grace, tulizoeana kwa kipindi cha miezi...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ismail Bayumi Rafiki wa Tom Mboya na Muasisi wa TANU Club Mombasa 1950s

    SMAIL BAYUMI MUASISI WA TANU CLUB MOMBASA 1950s Nimemjua Ismail Bayumi Moshi mimi nikiwa mtoto mdogo wa darasa la pili au la tatu miaka ya mwanzoni 1960s. Naukumbuka utanashati wake na gari yake nzuri aliyokuwa akiendesha. Wakati huo nadhani alikuwa akija Moshi akitokea Mombasa kuja...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mazingira ya Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili - Mwanza siyo rafiki

    Wafanyabishara Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili hapa jijini Mwanza wameendelea kufanya shughuli zetu katika mazingira yasiyo rafiki. Soko hill lipo kando ya Ziwa Victoria ambapo shughuli zote zinafanywa pembezoni mwa ziwa hilo kama kuosha samaki, hali hiyo inaweza kuwa mbaya...
  10. redpill evengalist

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya dunia sio rafiki kwa mwanaume

    YEAH ,mifumo ya dunia haikupi favour wewe mwanaume, huna haki wala mamlaka. Kila siku Natafuta Ajira hua anasema hapa jukwaani kwamba dunia sio rafiki kwa mwanaume hua mnabisha Mfano mzuri mwamba mmoja toka guinea baltazar ,unaona dunia inavomuongelea mwamba kama ni haramia ilihali wanawake...
  11. Half american

    JamiiForums Tanzania Wapi napata spea parts za scania kwa bei rafiki ya jumla?

    Habari za siku wakuu, naomba kujulishwa machimbo ya spea parts za Scania kwa bei ya jumla hasa Temeke na kariakoo. Natanguliza shukrani.
  12. nipo online

    JamiiForums Tanzania Hii dunia hii, rafiki yangu kanyang'anywa gari na mshangazi wake

    Jamaa alikuwa anatamba sana na IST mpya kabisa, apartment kali. Sasa jamaa kajichanganya alikuwa na mtu wake sahihi huyu mshangazi alikuwa anamvuna tu. Swali langu kwenu wakuu kwanini mishangazi inapenda vijana wa makamo?
  13. Infiniteposibilities

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli usimkopeshe rafiki yako kama ni wa kike?

    Mwenzenu Mangi nimepigwa na kitu kizito. Yaani siamini. Nimekuwa na kiherehere cha kuwatetea wanawake kwenye karibu kila nyuzi zinazomponda mwanamke lakini hivi karibuni nimepigwa tukio hadi fikra zangu zimeyumba. Naomba wanawake mtanijibu maswali hapo chini lakini wanaume wenzangu mnisaidie...
  14. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Rafiki wa kweli fuga mbwa! Hawa viumbe hawanaga unafiki

    Wakuu hii nimejionea mbwa wana urafiki wa kindaki ndaki
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Anaanza Mungu rafiki anaefwata n huyu

    Hana ubaya Wala ubwela
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tupe experience yako! Siku ulipomuazimisha au ulipoazimishwa gari na Rafiki au jamaa yako nini kilitokea?

    Wakati kazi inaendelea kule kwingine ni people's power Tushuke kwenye mada Nini kibaya kiliwahi kutokea Ile siku ulipomuazimisha au ulipoazimishwa mchuma/mkoko/dinga na Rafiki yako au jamaa yako
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki wa kike awe Mafinga au Iringa mjini umri awe 35 and above Mimi ni mweusi Nina miaka 43

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi. Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo tapeli nitakupenda na kukujari🙏🏿
  18. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo, baadae awe mke

    Habari wana JF, mimi ni mwanaume, umri miaka 27, dini mkristo, natafuta rafiki wa kike ambae baadae anaweza kuwa mke, kama umevutiwa karibu inbox.
  19. E

    JamiiForums Tanzania Chimbo la miwa kwa bei rafiki

    Wakuu Nafanya hii mishe, wenye kufahamu machimbo yawekeni hapa Karibuni kwa uzoefu
  20. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike umri chini ya miaka 22 wa kubadilishana nae mawazo

    Wakuu Hamjambo?
Back
Top Bottom