rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Vifaa Vifuatavyo kwa Bei Rafiki: Betri ya Lenovo, RAM 8GB na SSD 500GB

    1. Betri ya PC kwa part numbers hizi: L14M3P24 L14S3P24 L16M3P24 L16S3P24 FRU: 5B10H41180 / 5B10H41181 / 5B10H52788 / 5B10M95762 11.1–11.52V, 45Wh, karibu 4050mAh Lenovo IdeaPad/XiaoXin 700‑15ISK type 80SH 2. RAM 8GB DDR4‑2133MHz / PC4‑17000 SO‑DIMM ya laptop, 260‑pin 1.2V, Non‑ECC, Unbuffered...
  2. JamiiForums Tanzania Gademuiti: Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Juzi nimekaa na rafiki yangu fulani, tunaongea tu mambo ya maisha. Katika maongezi shwaa tukamuongelea mkewe. Nikaona nipitishe swali "kwani mkeo unampendea nini?" Akajibu in like 3 seconds, kwa kusema two very beautiful things anapenda kwa mkewe tena ni vitu kuhusu mkewe as a person, sio...
  3. JamiiForums Tanzania Warioba Joseph Butiku amelazwa ICU. Ni rafiki wa Polepole

    Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda. Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara. Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache...
  4. JamiiForums Tanzania Endelea tu kuwaambia ndugu na rafiki zako mipango yako ya maisha. Utakapozeeka maskini ndipo utawafunza watoto wako kutunza siri

    Ndugu na rafiki zako wanachopaswa ni kuona tu au kuambiwa tu Juzi nimeshahamia nyumbani kwangu. Niko Marekani wiki ya pili sasa Karibu kwenye mahafali yangu next week napata masters. Namshukuru Mungu ile nafasi ilikuwa ngumu lakini nimeipata . Ndugu waone tu umepark gari nyumbani kwako au...
  5. JamiiForums Tanzania Nashindwa kumshauri rafiki angu ana penda wanawake Sana

    Nina jamaa angu Msukuma wa Shinyanga, jamaa ni fundi wa kuezeka majumba ni kweli ni fundi mkali tu kwenye mambo ya kupauwa majumba Ishu ni hivi, jamaa hawezi kutulia kabsa na mkewe Yuko radhi ajifanye yuko nje kikazi kumbe amejifungia lodge na mwanmke tena Hawa wauza bar wa Dodoma Kila pisi...
  6. JamiiForums Tanzania Duniani hakuna rafiki, bali uko peke yako

    Wengi huwa wanajidanganya, kwa kusema fulani ni rafiki yangu wa katika shida na raha. Na wengine mpaka wanaitana shoga yangu n.k Ila ukweli ni huu; wote ni wasaka fursa, ila kwa sasa mnapeana tu kampani za kupunguza machungu ya kuungua na jua la utosi. Unafikiri huyo unayemuita rafiki yako wa...
  7. JamiiForums Tanzania Rafiki Wa kike anahitajika kuanzia miaka 35 kuendelea tuienjoy tu akiwa sio mwanasiasa itakuwa vizuri zaidi dm me

    urafiki ni upendo, mawazo na utulivu.
  8. JamiiForums Tanzania Bongo Zozo amempost Humphrey Polepole, anadai amemmiss sana rafiki yake

    Leo nimeona Bongo Zozo amepost video ameweka na Caption "Nimemkumbuka sana rafiki yangu jamani 🥲🥲" Imefanya niwaze, ndugu, jamaa na marafiki wa Humphrey Polepole watakuwa wanaumia sana. Tunakoelekea Watanzania wataanza kuikimbia nchi yao wataanza kudhalilika kwenye nchi za watu kama Wanigeria...
  9. JamiiForums Tanzania Nimetoka kumzika rafiki yangu aliyefariki akiwa 33 years. Aisee, imeniuma sana

    Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari. Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli. Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima...
  10. F

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama simba mzee, hana rafiki na mwishowe huuwawa na mbwa mwitu

    Wakati wa CCM umepita. Chama hiki kwa sasa ni kama simba mzee aliyechoka, anayepigania siku zake za mwisho. CCM sasa haina rafiki wa dhati, wote waliopo ni wanafiki na wanasubiri kwa mbali kuona nini kitatokea. CCM kimepoteza legitimacy ya kutawala nchi hii. Kila aliyepo CCM leo yupo kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mdada yoyote mwenye makebo makubwa hauwezi mkuta rafiki yake ana makubwa yake bali huchagua mwenye madogo ili asishaini ndani yake mbele ya hadhara

    Wanawake ni wajanja sana. Wanawake wanajua kupangilia namna ya kuonwa. Kuanzia make up , nguo lakini pia watu atakao hang nao popote watakapo enda.
  12. JamiiForums Tanzania Responded Hoja ya miundombinu kutokuwa rafiki Ofisi ya PSSSF Iringa, uongozi wasema “Tutafanyia kazi maoni ya Mdau”

    Baada ya Mdau kutoa hoja kuwa Ofisi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) Mkoani Iringa ina changamoto ya miundombinu kwa watu wenye mahitaji maalum kwa kuwa wanashindwa kupanda katika ghorofa ili kupata huduma, PSSSF imesema “Tunashukuru kwa mrejesho kutoka kwa mdau, tumepokea kwa ajili ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Unamtongoza mdada akikutolea nje kwa hasira unamtongoza rafiki yake au ndugu yake alafu unamtafuna. Huu ni uhuni

    Nimeshuhudia sana hii tabia kwa wanaume wengi. Mtu akikataliwa na mdada anaamua kukomoa anamtongoza rafiki yake alafu anamgonga. Wakati mwingine ndugu yake ana mgonba na anaonyesha hadharani. Huu ni uhuni na ushamba mkubwa.
  14. JamiiForums Tanzania Je, Maisha katika Nchi za Ulaya kama Uingereza (UK) ni Rafiki kwa Wahamiaji Wanaotafuta Maisha Bora?

    Kwa miaka mingi, nchi za Ulaya, hususan Uingereza (UK), zimekuwa kivutio kikubwa kwa watu wanaotafuta maisha bora. Wengi huamini kuwa huko kuna ajira nyingi, mishahara mikubwa, huduma bora za afya na elimu, pamoja na fursa za kujenga maisha yenye utulivu. Hata hivyo, swali la msingi ni: Je...
  15. JamiiForums Tanzania Gari zinazotumia umeme kujiendesha si rafiki kwa nchi za afrika.

    Teknolojia imekuja kwa kasi ila kasi ya afrika kwenye kuipokea inachangamoto kubwa. Kwa magari ya umeme nimegundua mfumo wake wa betri umewekwa chini na si rafiki kwa nchi yetu. kwa nini sio rafiki?.Embu tuangalie barabara zetu zenye mashimo,mawe,madimbwi,rafu na n.k. Kwa uvumilivu wa betri...
  16. JamiiForums Tanzania RIP Rafiki yangu

  17. JamiiForums Tanzania Pale rafiki unayemwamini anapokugeuza fursa huku akikuona wewe bwege na mshamba

    Kama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk Sasa katika cycles zako za marafiki unaona fulani ndio anafaa.. Wewe kutokana na kutokuwa mjuzi ama kukosa...
  18. JamiiForums Tanzania Nimegundua rafiki yangu kawa chawa wa kiwango wa Airport

    Nilikuwa na rafiki yangu mzuri ambaye tulifahamiana ofisini lakini baadaye alikuja kuhama pale ofisini sasa yapata miaka 8 hatuko pamoja Lakini wakat huo wote tuliendelea kuwasiliana na kusaidiana katka changamoto mbalimbali za kimaisha Kilichonishtua ni kuwa mwaka Jana alinipigia simu...
  19. JamiiForums Tanzania Vipi umeshawahi kuharibu kitu cha rafiki yako? Mlimalizanaje?

    yaani unaachiwa kitu na rafiki yako mfano laptop mara inakuzimikia na bahati mbaya kuna vingine hata ukipeleka kwa fundi havifai tena kutibika au spea unakosa. hapo ni mawili ulipe pesa au urafiki pia ufe mazima. mm kama mimi sinaga tabia ya kulipisha mtu kitu. iliwahi nitokea nimenunua...
  20. JamiiForums Tanzania Q net na rafiki yangu wa utotoni Mungu anawaona kwa mlichonifanyia

    Ila Q net mnanifanya naishi kama digi digi kwenye mji wa watu 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥹😭😭. Ndugu zangu mwenye kazi yoyote mwanza naomba Nina hali ngumu sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…