Huyu kijana baada ya baba yake kufariki alikaa kwangu....
kwa kifupi baba yake alikuwa ni rafiki yangu sana,,,tulisafiri nae mikoa mbalimbali ya Tanzania kibiashara.....
HUyu rafiki yangu asili yake ni Uarabuni,,,,na huyu kijana wake mama yake ni mswahili kutoka huko mikoani tunakofanya...