quran

  1. Huihui2

    Israel inatambulika kwenye Biblia na Quran, Palestina hatajwi popote

    Uchambuzi wa maandiko matakatifu ya Biblia na Quran unaonyesha kuwa neno Israel lina mizizi ya kina na ya wazi katika vitabu vyote viwili, huku neno Palestina likikosekana kama jina la nchi au taifa ndani ya maandiko hayo ya asili. Katika Biblia, neno Israel linatokea zaidi ya mara 2,500. Jina...
  2. Allen Kilewella

    Bila Quran hakuna amani: Kauli mbinu hii sijaielewa

    Mashindano ya usomaji Quran mwaka huu yamepewa kauli mbiu "bila ya Quran hakuna amani" Mimi sijaelewa inamaanisha nini.
  3. Allen Kilewella

    Kumbe mitaani hakuna Biblia Wala Quran halisi!

    Leo nimekutana na mwanazuoni mmoja mbobevu kwenye masuala ya dini amenihakikishia kuwa hakuna hata mtu mmoja mitaani mwenye Biblia au Quran halisi. Mwanazuoni huyo kaniambia mitaani kuna nakala tu za vitabu hivyo wala si vitabu halisi. Kaniambia ni uchochezi wa kidini tu kuzitakatifusha hizo...
  4. Yoda

    Nani walioandika na kuthibitisha maudhui ya Quran inayotumika leo?

    Waandishi wa Quran walikuwa ni wa kina nani na baada ya uandishi wake kukamilika nani walioithibitisha kwamba maudhui yake ndio Yale yale yaliyotoka kwenye kinywa cha Muhammad bila kupotoshwa au kukosewa kwa bahati mbaya kibinasamh au kwa makusudi na waandishi wenyewe?
  5. Castle_Lite

    Majini na Uislam Kamili - Quran

    Bila shaka hii aya sio ngeni. Quran 46 : 29 - 33 "Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya." "Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada...
  6. Castle_Lite

    Kibra ya Kwanza ni Yerusalem kwa Wayahudi na Wakristo - Quran

    Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine. Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina Ilitokea mwaka 622 BK. Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610 BK. Akiwa na umri wa miaka 40 Huu ndio mwaka Wahyi wa kwanza ulimshukia Tukio lilitokea pangoni...
  7. Allen Kilewella

    Kwa Kiswahili Quran na Biblia zinaitwaje?

    Jina la Quran na Biblia tumetohoa toka lugha zake za asili. Ni kawaida kwa mambo haya ya lugha. Jee Kwa kiswahili hivyo vitabu vinatafsiriwaje. Neno Biblia na Quran kwa kiswahili ni nini?
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

    WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo...
  9. Castle_Lite

    Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

    Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema Quran 3 :52 "Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu. Sasa...
  10. Castle_Lite

    Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

    Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157 Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu. Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili. Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?. 100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu. Kaunganisha unganisha...
  11. Fbn

    Kwani Yesu kwenye Quran inamtambuaje kwanini mnawapinga wakristo na sikukuu ya kuzaliwa

    Kwenye imani yenu mnasherekea sikukuu ya kuzaliwa mtume wenu Muhammad wala hakuna kosa lolote wakristo walisema ni kosa kwao. Huku kwenu mumekuwa na makatazo sana kwamba kusherekea happy birthday ya yesu ni haramu. Naomba kuuliza kwenu kwani Quruan ina yesu gani maana mliyemtaja kwa jina lenu...
  12. Wong Fei

    Quran 15:26 na 15:27

    Waislamu mnisaidie hapa. Allah alikuwa na nani kipindi wanawaumba majini na mtu? Quran 15:26 Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. 15:27 Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto. Quran 7:11 Na hakika tulikuumbeni, kisha tukakutieni sura...
  13. The Magnifico

    Sheikh Shafii: Kicha changu kina pande kuu 3: Kulia Quran, Kushoto Bible, Dunia ipo katikati

    Hiyo kumaanisha kwamba, dini hizi 2 ndizo zinaibalance dunia na sote tunategemeana. Shaloom alley kum ndugu zanguni, muwe na jumapili njema.
  14. S

    Kwanini Mungu wa biblia na quran anapewa sifa ambazo hana?

    Ni Mungu mwenye huruma... Ni Mungu mwenye nguvu.... Kweli huyu ni Mungu wa mchongo.
  15. ngara23

    Jemedari Saidi ahoji ukimya wa BAKWATA wakati Quran ikibagazwa bungeni hadharani

    Maandishi nguli wa habari za michezo Jemedari Saidi amehoji ukimya na unafiki wa BAKWATA huku Quran ikitumika vibaya bila kuzingatia maadili na maamrisho ya uislam Tuliwambia kazi ya BAKWATA ni uchawa na kuutangaza mwandamo wa mwezi 1. Wameonekana wanawake wakishika kitabu hicho bila...
  16. Just Pray

    GE2025 Sugu: Mnawaua kwa risasi watanzania halafu fasta mnaenda kujiapisha kwa kushika Biblia Takatifu na Quran Tukufu KWELI?

    "Yaani mnawaua kwa risasi WATANZANIA wengine wengi wakiwa wamejituliza ndani na familia zao, kwenye sebule zao wanaangalia TAMTHILIA na kadhalika! Halafu fasta mnaenda kujiapisha kwa kushika Biblia Takatifu na Quran Tukufu!KWELI?" - Joseph Mbilinyi (Sugu) Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa
  17. Chizi Maarifa

    Quran inasema Issa bin Maryam ni Mkuu kuliko Mohamad na ndo anastahili kufuatwa

    Isa bin Maryam. Hakuzaliwa kwa uwezo wa Kibinadamu. Jiulize kwa nini anaitwa Bin Maryam jina la mamaye? Ni sababu hakutungwa mimba kwa njia ya Kawaida. Hakuwa na Baba wa Duniani. Maana yake nini? Ushahidi kutoka Qur’an Surat Maryam (19:16–21): “Na mtaje Mariamu katika Kitabu, alipoweka...
  18. hamis77

    QURAN: Wapalestina ni wavamizi

    WAPALESTINA NI WAVAMIZI KWA MUJIBU WA QURAN Qur’an inataja wazi kuwa ardhi takatifu (Ardhi ya Kanaani) ilipewa kwa Waisraeli (wana wa Israel). Kuna aya kadhaa zinazolitaja hilo Qur’an 5:20–21 Na Musa akawaambia watu wake “Enyi watu wangu! Kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu juu yenu...
  19. Damaso

    Tusamehe sana Sheikh; tulipuuza maneno matakatifu ya Quran

    Haikuwa ni bure kuwapatia uongozi wanaume juu ya wanawake ndani ya Uislamu. Huu ni uongozi wa kimaumbile ambao unakubalika ndani ya makabila na mataifa mengi duniani; kwamba mwanamme ndio mkuu wa shughuli za mwanamke. Allaah Anasema ndani ya Qur-aan Tukufu (tafsiri): الرِّجَالُ قَوَّامُونَ...
  20. M

    Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

    Hebu angalia mwenyewe hapa kwenye mgawanyo wa urithi kwa mujibu wa Quran 4:11-12
Back
Top Bottom