Sikujua kuwa Punyeto ni janga lililo kichini chini

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,412
4,292
Wazee mi nilijuaga hii mishe watu wanaacha automatically wakiwa wanaachana na ule umri wa kubarehe kumbe ni addiction kama addiction nyingine tu.

Kumbe kuna Married men wanapiga punyeto, Womanizers wenye mademu lukuki lakini bado nao ni hivyo hivyo.

Aisee achana na kitu kinaitwa addiction. Yani mtu yupo kwenye late 20s, 30s na 40s bado anaridhika akisugua dude lake na mikono yake mwenyewe.

Mimi sio expert wa afya au mpiga nyeto so sijui faida na hasara za kufanya mustarbation.
 
UPIGAJI WA PUNYETO HUFANYA MTU APUNGUZE HAMU YAKE,

UNASHAURIWA KUPIGA PUNYETO MARA 2 AU 3 KWA WIKI HII ITAKUWEKA KATIKA HALI NJEMA KIAFYA

UPIGAJI WA PUNYETO HUSAIDIA KUKWEPA MAGONJWA YA ZINAA IKIWEMO UKIMWI, KISONONO, KASWENDE NA KADHALIKA

UPIGAJI WA PUNYETO HUSAIDIA MHUSIKA KUJUA MWILI WAKE HASA KUJIANDAA KATIKA FARAGHA.
 
Kuna faida gani kulala na Mwanamke ambae huridhiki nae kingono? Yaan km umelala na Mdoli wa Elon Musk Ila huridhiki nae
 
Kuna faida gani kulala na Mwanamke ambae huridhiki nae kingono? Yaan km umelala na Mdoli wa Elon Musk Ila huridhiki nae
FAIDA HAPO HAKUNA, LAKINI YEYE NI MWANADAMU HAJAKAMILIKA IPASAVYO HIVYO UNAWEZA KUMSHIRIKISHA KATIKA MAONGEZI, AFANYE MAREKEBISHO IKIWA ATASHINDWA BASI UNAWEZA KUFUATA NJIA MBADALA.
 
Nyeto inakuondolea ile "MASCULINE ENERGY"..

Hata ile Masculine Euphoria inapotea,unakuwa kama li poyoyo fulani hivi. Ile inner feeling ya ujasiri na ungangari inapotea kabisa, unakuwa unajifeel hovyohovyo muda wote.

Ku-cum ukiwa una-fvck ni tofauti sana na ku-cum kwa nyeto. Effect ya kwenye mwili ni tofauti sana ktk hizo scenario 2. Huwezi elewa hizi scenario kama huja experience them in the first hand.

Nayaongea haya kama expert mzuri wa nyeto niliyefanikiwa kujicontrol.
 
Fafanua zaidi maana hii wengi wanaifanya sababu ni kutokuridhika wengine wanabaniwa KEI
Siyo kutoridhika,kwa waliooa unakuta usiku ulirudi umechoka ukasema upumzike utapiga mashine asubuhi ile umekurupuka unakuta wife nae kawahi kuwandaa watoto shule.

Kwa wale wanaoamka na kuingia bathroom kama ulishawahi kufanya huo mchezo hutoki salama,(of course ni kama ajali tu hutokea kutegemea na mood siyo kila siku utapiga huwa inapita hata miezi mtu hajafanya hicho kitendo) ila vizuri vijana wajue kwamba punyeto ya kukamia ni mbaya sana ile kijana kujiwekea akilini kwamba kila siku lazima ajichue humletea madhara makubwa baadae.
 
Siyo kutoridhika,kwa waliooa unakuta usiku ulirudi umechoka ukasema upumzike utapiga mashine asubuhi ile umekurupuka unakuta wife nae kawahi kuwandaa watoto shule.

Kwa wale wanaoamka na kuingia bathroom kama ulishawahi kufanya huo mchezo hutoki salama,(of course ni kama ajali tu hutokea kutegemea na mood siyo kila siku utapiga).
Kwamba,it catches you without your awareness?😎
 
Nyeto inakuondolea ile "MASCULINE ENERGY"..

Hata ile Masculine Euphoria inapotea,unakuwa kama li poyoyo fulani hivi. Ile inner feeling ya ujasiri na ungangari inapotea kabisa, unakuwa unajifeel hovyohovyo muda wote.

Ku-cum ukiwa una-fvck ni tofauti sana na ku-cum kwa nyeto. Effect ya kwenye mwili ni tofauti sana ktk hizo scenario 2. Huwezi elewa hizi scenario kama huja experience them in the first hand.

Nayaongea haya kama expert mzuri wa nyeto niliyefanikiwa kujicontrol.
Acha UONGO hizo mythology wadanganye Watoto
 
Back
Top Bottom