Kama CHADEMA na watu wanaomuunga mkono wangetengeneza slogan moja rahisi, kwa mfano #FreeTunduLissu, halafu kila siku ikaonekana kwenye mitandao kwenye post za viongozi, taasisi, mastaa, influencers na hata kwenye mijadala ambayo sio ya siasa baada ya muda isingekuwa kelele kubwa sana?
Imagine...