Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati.
Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri...