Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.
Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea...