pombe

  1. M

    Wale ambao huwa hamnywi kabisa pombe maeneo ya makutano kama Pub au Lounge huwa mna socialize vipi baada ya kazi?

    Sio kwamba mtu lazima aende kila siku, lakini mara nyingine watu hupitia hotelini, lounge, bar au pub. Huko, hata kwa kunywa vinywaji vichache tu, hupatikana nafasi nzuri ya kukaa pamoja, kupiga stori za aina mbalimbali, kujuana, na kubadilishana mawazo bila kujali hali ya kiuchumi, vyeo, dini...
  2. Fbn

    Mfumo wa pombe na Sigara fake umeingiza madawa ya kulevya, ambayo watumiaji tunaona dalili za mateja

    Ukweli useme na mpaka sasa nchi yetu kuna madawa ya kulevya.Kuna siku nilienda kumywa pombe ambazo zinaongoza kwa majina ila unakuta utazani kuna kipindu pindu.wakati sio sehemu. utumbo wako unajiuliza mpaka nzi kutofikia. haya leo.Nimegundulika na tumia madawa ya kulevya wakati sio mtumiaji...
  3. Hance Mtanashati

    Ushauri kwa watu ambao pombe zinawatesa na wameshindwa kabisa kuacha kwa kila mbinu.

    Kuna mbinu mbalimbali wanapewa watu ambao wanataka kuacha pombe. Mfano wa hizo mbinu wanazopewa lakini mwisho wa siku wanarudi kulekule ni hizi. 1)Kupunguza kiasi cha unywaji. Hapa ushauri wanaopewa ni kupunguza idadi ya pombe au siku za kunywa pombe. Mfano kama alikuwa anakunywa bia 10 kwa...
  4. figganigga

    Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaobainika kuuza. MY TAKE; Je, Zanzibar ni Mikoa wa Kiislam? Au washajiunga Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa siri?
  5. figganigga

    Hivi Watu wasiokunywa pombe huwa wana akili timamu kweli?

    Salaam Wakuu, Nahisi baadhi ya watu wasiokunywa au kuonja pombe hawana akili timamu. Wana maongezi ya kindezi ndezi.. Hawana madili hata tone... Wanachojua ni Umalaya, Uasherati, Uzinzi, Umbeya, Wizi, na roho mbaya. Nahisi watu wasio kunywa pombe hawana akili timamu. Watu wanaobaka na...
  6. nzalendo

    Pombe za kijijini Alfajiri

    Raha sana pale unapokuwa ubanda katika hali ya utulivu. Pengine waweza kuwa unazimua au ndio unaanza kukata kiu. Mama muuza anawaweka katika hali ya kuwaficha kukwepa vijineno vya kijijini. Ni alfajiri haswa pale kunapoanza kupambazuka. Moyo huwa na amani sana na furaha pale uvutapo Funda...
  7. M

    Pombe haijawahi kujua kesho ni siku ya kazi, mtihani, kikao cha familia, safari, kwenda mahakamani, n.k. weka kisa chako pombe ilipokuharibia

    Pombe kweli haina kalenda 😂 Nilisema “nakunywa mbili tu, kesho ninaamka mapema.” Zile “mbili” zikawa 3, zikawa, 4, zikawa 6 asubuhi: Alarm inalia → nainyamazisha kwa hasira Kichwa kinapiga ngoma ya mdundiko Mdomo una ladha kama niliweka betri 🌚 Nilifika kazini nikitembea kama Wi-Fi isiyo...
  8. comrade_kipepe

    Kwanini hunywi pombe? Kwanini unakunywa.?

    Toa sababu kwani unalewa?? Kwanini hulewwI??
  9. Troll JF

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kibosho akutwa amefariki, Chanzo chatajwa kuwa ni Pombe

    Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake. Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
  10. Dr Adam Francis

    Uholela wa NGONO, POMBE NA MUZIKI: Ndilo janga kubwa zaidi la kizazi chetu"

    Kwa wakubwa wetu waliozaliwa miaka ya 1960-1970, maarufu kama baby boomers, watakuwa na kumbukumbu nzuri ya usemi maarufu wa enzi hizo, "Sex, drugs, rock and roll" ambao kimsingi ulikuwa ni wimbo wa Ian Durry wa mwaka 1977. "Sex, drugs, rock and roll" haukuwa wimbo au usemi tu wa wakati huo...
  11. mwehu ndama

    Raha ya pombe ulewa haraka

    Wakuu naandika huu Uzi nikiwa mitungi kinoma noma. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ya ULEVI na nimepiga nusu glass na kulewa chakariii.. Kuna bia zimetengenezwa na mkono wa jini wa jomba aminini nawaambia , alcohol ndogo ila Busta lake ni barahaaaa!!!
  12. Ziroseventytwo

    Unaweza kufikiri unakunywa bia kumbe unakunywa pombe

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya bia na pombe. Pombe zote zinazoitwa bia zinatengenezwa na kiwanda cha serengeti sio bia ni pombe. Pombe nyingi za TBL sio bia. Ni pombe. Isipokuwa Castle lite tu. Windhok ni bia Heinken ni bia Castle lite ni bia Hizo nyingine hazijatengenezwa kwa pure shahiri...
  13. M

    Ulevi wa Pombe ni salama zaidi kwa mwanaume kuliko ulevi wa ngono

    Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili. Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala. Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono. Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu...
  14. The Father of All

    Barua kwa John Pombe Magufuli

    JohPombe Magufuli Jiwe, Nikiri. Najua hutasoma barua hii. Najua wafuasi wako wataisoma. Naandika kwa hasira na uchungu. Yote ni kutokana na uliyotufanyia. Uliachia maumivu. Wapo wanaoumia tokana na pengo uliloacha. Pia, wapo wanaoumia kwa sababu ya ubaya ulioacha. Bwana John, ni...
  15. stakehigh

    Ujumbe wa M7 kwa wanaokunywa sana pombe

  16. Royal Son

    Shikamoo Pombe

    Jamaa kala zake vyombo kaopoa asubuhi sasa.
  17. Scott junior

    Kwanini watu wanaipenda pombe?

    Wakuu habari Naomba kufahamu kati ya unywaji wa pombe kali au bia, Issue ya ladha, relaxation na mood ile ya kuhisi vibe fulani, ndio vinawaletea munkali? Ladha gani mnayoipenda kwa bia na pombe kali. For user only🔥
  18. funaku

    Raila Odinga alikuwa rafiki wa mwanaCCM John Pombe Magufuli sio Heche wala Lissu

    Tusitafute kiki bila mpangilio. Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais . Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
  19. N

    Mrejesho wa kuanzisha biashara na kampuni ya Pombe Kali

    Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilitoa uzi wa kuzungumzia hii biashala ya pombe kali lakini changamoto ilikuwa capital. Nikaomba kama kuna MTU anaweza tukaungana tukatengeneza kitu kikubwa lakini bado hakutokea. Leo nimewaletea sample kuwaonesha hatua niliyofikia hivyo tayari nina jina, lable...
  20. kyagata

    Kiukweli sisi wanaume wenye wanawake wasiokunywa pombe tunapitia wakati mgumu sana

    Sina haja ya kuwasalimia coz mara nyingi huwa hamuitikii. Sisi wanaume wenye wake wasiokunywa pombe tunapitia wakti mgumu sana. Tunaongozana vizuri kwenda bar kuinjoy life but kufika huko bar unashangaa mtu anakunywa juice au flying fish tu. Sasa wakuu kweli tuchoshane coz ya flying fish tu?
Back
Top Bottom