Habari za waungwana.
Pamoja na kuwa kuna msemo kuwa samaki mmoja akioza basi wote wameoza, inaweza ikawa tofauti.
Naomba kuuliza je, kuna wakati umekutana na afisa/askari wa polisi akakutendea kwa utu, heshima na huruma?
Kuna mifano mingi, ikiwemo kuwapa chakula mahabusu ambao huwa hawajaletwa...