Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijafahamika, umeteketeza nyumba za askari wa Jeshi la Polisi katika eneo la Msambweni, Mapinduzi A, Kata ya Ngamiani Kusini, Tanga.
Moto huo umeteketeza baadhi ya mali mbalimbali zilizokuwa ndani ya nyumba hizo, huku thamani ya mali zilizoharibiwa ikiwa...