polisi

  1. JamiiForums Tanzania Polisi wa Japan waomba msamaha kwenye kaburi la mtuhumiwa aliyefungwa na kushtakiwa kimakosa

    Maafisa wa Polisi nchini Japan waomba radhi kwa familia ya mfanyabiashara Shizuo Aishima, baada ya kumbebesha mashtaka ya uongo ya kusafirisha mashine zinazoweza kutumika hata kijeshi. Mfanyabiashara huyo alishtakiwa kwa kusafirisha China mashine aina ya spray dryer zinazobadilisha maji kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nimepoteza simu Polisi wameshindwa kunisaidia kabisa

    mambo vipi? Jumamosi majuzi nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za michezo nikajikuta nimedondosha simu yangu kwenye kuifuatilia ikashindikana kuonekana ila kwa kuwa nilikuwa nimeinstall app ya google FIND HUB kwenye iyo simu na nilikuwa nimeicconect kwenye PC kwenye google Find hub pia na kila...
  3. JamiiForums Tanzania Wanajeshi/ polisi na Usalama wafundishwe Ujasiri wa kupinga dhulma na kutetea Haki ndani ya Nchi. Huo ndio ujasiri wa Kweli na sio vinginevyo.

    WANAJESHI/ POLISI NA USALAMA WAFUNDISHWE UJASIRI WA KUPINGA DHULMA NA KUTETEA HAKI NDANI YA NCHI. HUO NDIO UJASIRI WA KWELI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa kuu za mwanajeshi na askari ni kuwa JASIRI na ili Mwanajeshi aitwe Jasiri lazima awe jasiri wa kupigania...
  4. JamiiForums Tanzania Mbona kama Polisi inamsemea Dogo Janja?

    Hawa polisi mbona kama wanamtetea Dogo janja kwanini wamsemee yeye tu na si kumskiliza na aliyejeruhiwa? Wanasema alivamiwa, alivamiwa kivipi mtu yupo kwenye gari lake? mbona wanajaribu kufukia vitu. Wanadhani hatujui chanzo cha DOgo janja kumpiga risasi huyo dogo? Alafu siku hizi kumbe...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mererani wamejazwa polisi wa kutoka Zanzibar, wengi wanaochimba Tanzanite wanatoka ZNZ. Madini hayawanufaishi watu wa Manyara. Samia atamaliza madini.

    Sasa hivi tumeona wimbi la wachimbaji wadogo na wa kati kutoka Zanzibar, siyo wachimbaji tu, hata polisi waliopo sasa hivi hapo Mererani ni wazanzibari, Samia na familia yake wanahusika kwa kiasi kikubwa na uchimbaji wa Tanzanite hapo Mererani, siyo hapo tu, hata huko kwingine kwenye migodi...
  6. JamiiForums Tanzania Nyerere Road (Barabara ya mjini -Airport ) usiku huu imechangamka. Gari heavy za polisi zinafanya movement isiyo kawaida

    Haya wazee wa CC timu mtueleze kuna nini leo. Wazee wa CCM mikataba ya Kimataifa imewashinda na hii convoy ya Nyerere road iwashinde? Kunani leo? Maana hizi gari za heavy duty mara nyingi tunaziona moja moja tu lakini leo nne tano zimeongozana.
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunachunguza tukio la Juma Elisha kuchukuliwa na watu wasiojulikana

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUTOONEKANA KWA ELISHA JUMA HASSAN Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linachunguza na kufuatilia kwa karibu tukio la mtu anayedaiwa kuchukuliwa na watu ambao hawajafahamika anayejulikana kwa jina la Elisha Juma, mkazi wa Mtaa wa Kadisi, Kata ya Katente, Tarafa ya Ushirombo...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Tunalaani Polisi kuwashikiliwa Wanachama wetu wa Kibaha

  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini na Polisi Wasisitiza Utunzaji wa Amani Mtwara

    Watanzania wamekumbushwa kuendelea kuilinda na kudumisha Amani iliyopo hapa Nchini hasa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025. Hayo yameelezwa kati Dua Maalumu iliyoandaliwa na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Mtaa wa Mtepwezi kata ya Likonde Halmashauri...
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wakamata Watu 9 kwa Utapeli Mitandaoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za utapeli na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na WhatsApp. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga alisema watuhumiwa hao walikamatwa kwa nyakati tofauti Agosti 18, katika...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Muliro: Jukumu la Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu. Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na ushahidi wa kwenda kutihibitisha

    Wakuu, Akiwa anaongea leo kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge Madiwani 2025 Kamanda Muliro amesema kuwa kazi ya Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu na machafuko na sio kusubiri yakishatokea ndio wafanyie kazi Amesema "Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tunasikitishwa na Jeshi La Polisi kuwakamata wanachama 10 bila ya kuwapatia haki ya kuonana na mawakili wao

    CHADEMA imelaani kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kuwashikilia wanachama wake 10 waliokamatwa Kibaha bila dhamana na bila kupewa nafasi ya kuonana na ndugu zao. Chama kimesema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na Katiba, kikitoa wito kwa Polisi kuwapatia wanachama hao haki za msingi...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Jeshi la Polisi Pwani limetoa taarifa ya uongo kuhusu kukamatwa kwa wanachama wetu Kibaha

  15. R

    JamiiForums Tanzania Tunaajiri polisi kwa Elimu ya kidato Cha nne, ila kwa Nafasi nyeti za kisiasa zile za juu, wananchi tusikubali

    Salaam! Tumelalamika humu mara nyingi kwamba wasomi sasa ni wengi, tunaweza kuajiri polisi kwa kigezo Cha degree na wakatosha, sababu mtaani kuna wasomi wengi, Sasa hili la kuajiri wagombea wa kisiasa wa Nafasi nyeti kabisa za juu wakiwa na Elimu ya kidato Cha nne failure tusirusu. Yaani...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu

    Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322 kifungu cha 5 (1) ni Kulinda maisha ya watu na mali zao pamoja na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
  18. JamiiForums Tanzania Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi waazimia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani

    Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Nchini wameazimia kuhakikisha kuwa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani, utulivu na usalama na kwamba hawatamuonea muhali mtu yeyote atakaye jaribu kuvunja amani ya nchi. Azimio hilo limefikiwa baada ya kukamilika kwa Mkutano Mkuu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya kuchoshwa na mateso ya Askari wa Maliasili, wananchi waamua kuchoma pori

    Wakuu, Wananchi wa Kijiji cha Rwamgasa, Wilaya ya Geita, wamechoma moto sehemu ya pori la akiba lililopo katika Kitongoji cha CCM wakipinga kile walichokiita uonevu na ukatili unaofanywa na askari wa Maliasili. Tukio hilo limeibuka baada ya watoto wawili kukutwa porini wakiwa wamepigwa na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania IGP: Polisi mnaweza kufanya kazi zenu mkiwa marafiki wa Raia wema!

    Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP. Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi. Sijapenda. Ukiwauliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…