Video inayoonyesha askari polisi akiwa amelala chini imezua taharuki mitandaoni, huku ikidaiwa imerekodiwa katika kituo cha polisi bandari. Katika ujumbe ulioambatana na video hiyo, askari wanaodai kuwa wa kituo hicho walieleza kuwa wanakabiliwa na unyanyasaji mkubwa kutoka kwa viongozi wao...
Jeshi la Polisi limeona picha mjongeo (Video clip) ikionekana askari amelala chini, iliyoandaliwa eneo ambalo halijulikani na inasambazwa katika mitandao ya kijamii.
Tunajulisha kuwa tumeanza uchunguzi wa kubaini ukweli wake, wapi imetengenezwa na ni wapi maneno yanayoambatana nayo imeandaliwa...
Ila waKenya mnabalaa sana :D :D :D ila kwa upande mwingine ni kweli maana ni pesa za wananchi kwahiyo wanahaki ya kutembea nalo kidogo
================
Mwanaume mmoja nchini Kenya amekamatwa kwa kuiba gari ya Polisi jambo ambalo limezua taharuki na mshangao miongoni mwa watazamaji.
Mwanamume...
Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa madai ya kuzidisha abiria kupita kiasi.
Tukio hilo lilitokea leo asubuhi, majira ya 08:25, ambapo...
Wakili Mwabukusi ambaye pia ni Rais wa TLS (Chama cha Wanasheria Tanganyika), akizungumza na Wakili TV leo, amesema TLS inachukulia suala la polisi kuzunguka katika ofisi zao kwa uzito mkubwa sana. Amesisitiza pia kuwa TLS si wahalifu bali ni chombo cha kisheria kinachotekeleza majukumu yake kwa...
Barabarani hapa karibu kabisa na kituo cha osterbay polisi kuna gari NI la polisi ila linafanana na Yale ya jeshi la IDF kwa juu kina kama radar inazunguka Ile kazi yake ni Ku detect kitu gani naomba mwenye uelewa
Askari wa Jeshi la Magereza mkoani Njombe Erasto Mlelwa (26) amejiua kwa kujirusha kutoka kwenye gari la polisi baada ya kubainika kushiriki mauaji ya askari mwenzake wa jeshi hilo Dickraka Mwamakula (24) huko Lilondo halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma.
Hayo yamebainishwa leo Septemba 21,2025...
Ni mhimu kujifunza hili ; POLISI SIO JAMAA YAKO kama umewahi kuambiwa polisi ni mtanzania mwenzako nadhani afya yako ya akili haipo sawa nenda kapimwe mkojo.
Ipo hivi, Polisi kabla ya kuwa POLISI lazima abadilishwe akili yake na kuwa kama Mbwa yani kule wanapopata mafunzo hubadilishiwa ubongo...
Siwezi shangaa Tanzania ilipofikia kwa sasa maana BASATA na TCRA wanaweza kuwa michepuko ya mtu mwengine.
Sio tu wao hata idara nyingi sasa mfano wizara ya michezo ikaweza kucontrol TRA sasa.
Tuje kwenye mada sasa mfano mahakama kuona polisi wakiingilia mahakama na kufanya kama sehemu ya ofisi...
Jeshi la Polisi mkoani Lindi limetolea ufafanuzi madai ya mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombare Mwiru ambaye alisema vurugu zilizotokea jana kwenye eneo Kilwa Masoko zilisababisha ashindwe kufanya mkutano.
Soma Pia: Chama cha AAFP yaahirisha mkutano wa kampeni...
Wakili Peter Madeleka ameiomba Mahakama kuchukua hatua kutokana na vitendo vinavyofanywa na Jeshi la Polisi kwa kufika maeneo ya mahakama, kukamata pamoja na kupiga raia na hata kumkamata Wakili Deogratius Mahinyila kwa kile alichoeleza kuwa ni kinyume cha sheria na utaratibu.
"Kwa siku za...
Sote tunafahamu juu ya utendaji mbaya kabisa wa jeshi la polisi linapokuja suala la haki. Polisi walio wengi hakuna chochote wanachoelewa, zaidi ya kuoiga watu.
Kuna matukio mengi kwenye mahakama ambapo polisi wamefanya vitendo vya hovyo vya kydhambulia watu, na kuvifanya vounga vya mahakama...
Nimekutana na hii video ikimuonyesha Godbless Lema akishikana mashati na askari polisi katika maeneo tofauti.
Sasa Juzi wakati Wakili Wakili Deogratius Mahinyila anakamatwa pale Mahakamani kihuni, niliona maoni ya watu wengi wakimlaumu sana Lema.
Inawezekana alizingua kiasi lakini Godbless...
Siyo siri moja kati ya majeshi ambayo naweza kukiri imani yake kwa Wananchi wengi ni kama imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matukio mbalimbali yanayowahusu nchini basi ni Jeshi la Polisi.
Polisi wanahusiana na Wananchi moja kwa moja tofauti na majedhi mengine, inawezekana hiyo ikawa...
Polepole: Jeshi la Polisi hamjafanya juhudi zozote za kunitafuta| Mawasiliano yangu rasmi yanajulikana Nimekuwa nikitafutwa kwa mtindo wa KUWINDWA.
Pia soma wito wa Polisi kwa Polepole: Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa
Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasaiasa wasio tutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe.
Au polisi sio watu kama wewe, kama ni kupagania haki yako dhidi ya utawala mbovu haina majadala na haiwezi kuwa kosa la jinai.
Watu mtakao andamana msifanye vurugu...
Najiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa.
Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se
Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM
Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi. Huku akiwa karibu na wakuu wa...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekabidhi magari 8 aina ya Toyotaland Cruiser 2 Hardtop na Toyota Hilux Double Cabin 6 kwa Jeshi la Polisi mkoani humo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3.
Magari hayo yaliyokabidhiwa katika Viwanja vya Polisi Mabatini Jijini Mwanza, yatatumika...
Habari Wana bodi, niende kwenye mada Moja kwa Moja!.
Polisi wetu Wana tabia zinazofanana, wanapenda kutumia nguvu kuliko akili(labda hawana akili), wanapenda ubabe na wanafurahia kupiga raia.
Wanashindwa kufanya na kukamilisha upelelezi kwenye mambo ya maana, ila ya kijinga upelelezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.